PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapo katika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekuja kushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma

Hao bodaboda ukiwapatia hela tu hata bodaboda za mkataba wanakuachia.Ni hela tu.
 
Huenda yupo sahihi
Muunge mkono kwa kufanya midahalo ili kuboresha jamii

Sisi wengine tunaitaji kwanza kudhibiti chanzo cha haya ambacho ni hiyo katiba ya hovyo inayowezesha mafisadi kuiba pesa na kuhonga bodaboda ambao kimsingi wana hali ngumu ya maisha na wana njaa na unajua njaa ilivyo
Hivi wewe unadhani kinacho sababishwa waibe ni katiba?

Most of all kinachasababisha ni hali ya Watanzania kutokuwa wazalendo in the first place, nchi ngapi za Africa kuna rushwa na matumizi mabaya ya nyadhifa?

The issue might not be that... Issue ni sisi wenyewe kama jamii tunauzalendo kweli? Hata hawa mnao sema sijui wana nia ya kulikomboa taifa, kweli wa namaanisha ama wanatumia vyama pinzani kujimegea mkate wa kila siku?

Haki, ni kitu subjective, hata kwa nchi zilizoendelea. Ila kinacho wa saidia wenzetu jamii zao zinaelimu na ustaarabu. Wanajua haki na mipaka yao kama wananchi. Na wako accountable kuhakikisha jamii inastawi.

Leo hii, tembelea mitaa, angalia uchafu, angalia wananchi wa navyo ishi bila kujali. Jitu lina amka na kutupa taka ovyo, halijui impact na madhara ya kuacha uchafu, jamii imejawa na watu wasio wazalendo alaf uje useme katiba italeta mabadiliko?

Tuache ndoto za mchana, kama jamii hilo haiwezi leta mabadiliko yoyote, tutailaumu serikali wakati, ndo sisi wenyewe.
 
Mambo hayatabadilika kama sisi sote hatuko tayari kubadilika.Ama kama baadhi tumebadilika lakini kundi Fulani haliko tayari kubadilika.

Hata Sasa Kuna watu wamebadilika,ila Sasa changamoto ndio kama hiyo uionayo,bado Kuna machawa everywhere,watu walio tayari kupokea buku kumi wakasafishe uovu wa wanaoficha mabilioni.
Wakati nyinyi mnajenga wenzenu kule wanapewa hongo wanakuja kubomoa.bila kujifungua fikra zao kwamba kile mnachojenga ni Kwa faida Yao pia.Wakibadili fikra zao wataungana nanyi.

Lakini kama Hali ikiendelea hivi safari bado ni ndefu sana.
It's more deep, than that leo ukimuuliza mtu kuhusu katiba hajui lolote. Ila mwambie akafanye usafi barabara ni chafu... Atakwambia ni jukumu la serikali.
 
Tazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapo katika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekuja kushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma

Mbwa takataka ninyi na mama Malaya wenu huyo ,rubbish kabisa.Ninyi na mama yenu hamna tofauti na kinyesi cha nguruwe
 
Hivi wewe unadhani kinacho sababishwa waibe ni katiba?

Most of all kinachasababisha ni hali ya Watanzania kutokuwa wazalendo in the first place, nchi ngapi za Africa kuna rushwa na matumizi mabaya ya nyadhifa?

The issue might not be that... Issue ni sisi wenyewe kama jamii tunauzalendo kweli? Hata hawa mnao sema sijui wana nia ya kulikomboa taifa, kweli wa namaanisha ama wanatumia vyama pinzani kujimegea mkate wa kila siku?

Haki, ni kitu subjective, hata kwa nchi zilizoendelea. Ila kinacho wa saidia wenzetu jamii zao zinaelimu na ustaarabu. Wanajua haki na mipaka yao kama wananchi. Na wako accountable kuhakikisha jamii inastawi.

Leo hii, tembelea mitaa, angalia uchafu, angalia wananchi wa navyo ishi bila kujali. Jitu lina amka na kutupa taka ovyo, halijui impact na madhara ya kuacha uchafu, jamii imejawa na watu wasio wazalendo alaf uje useme katiba italeta mabadiliko?

Tuache ndoto za mchana, kama jamii hilo haiwezi leta mabadiliko yoyote, tutailaumu serikali wakati, ndo sisi wenyewe.
Haya
 
Mambo hayatabadilika kama sisi sote hatuko tayari kubadilika.Ama kama baadhi tumebadilika lakini kundi Fulani haliko tayari kubadilika.

Hata Sasa Kuna watu wamebadilika,ila Sasa changamoto ndio kama hiyo uionayo,bado Kuna machawa everywhere,watu walio tayari kupokea buku kumi wakasafishe uovu wa wanaoficha mabilioni.
Wakati nyinyi mnajenga wenzenu kule wanapewa hongo wanakuja kubomoa.bila kujifungua fikra zao kwamba kile mnachojenga ni Kwa faida Yao pia.Wakibadili fikra zao wataungana nanyi.

Lakini kama Hali ikiendelea hivi safari bado ni ndefu sana.
Haya
 
HII NI NYAVU KUWENI MAKINI
Screenshot_2026-08-06_010136.jpg
 
well done Tanzanians,
ndio maana makanisani kwa wale wanafiki palikua patupu tu 🐒
We chawa mnafiki,
Kanisani patupu??
Wewe na uongo ni 🤞
Em angalia hapo

Mimi naona lema yuko sahihi... Tena sana.

Wengi tunalilia mabadiliko, ila hayapo kwenye katiba, hasa hasa msingi bora wa mabadiliko huanzia kwenye jamii,

In this country wengi hawajui chochote kuhusu katiba, hawajui boundaries na rights zao. We'd raher stop focusing on katiba na tuanze ku lead society yenye utambuzi..
How do we lead society yenye utambuzi.
 
Lema was right all along, uwe na katiba mpya kwa fikra hizi na umasikini huu bila uzalendo you're doomed.

Hapo watu wamewekewa lita 5 za petrol na elfu kumi kumi tu and they portray their stupidity to the world.
Mh. Lema yuko sahihi lakini nadhani katiba mpya ndio iwe chachu ya kubadili fikra za watanzania. Katiba mpya itakapotupatia viongozi waadilifu, hao ndio watakataa rushwa kama wanaopewa hao vijana, watakuwa ni viongozi kweli. Na katiba mpya ikiruhusu viongozi kuondolewa impunity hapo hao hao viongozi watakuwa waadilifu na watawaliwa watawafuata viongozi waadilifu wanafanya nini ama kusema nini
Ni ngumu sana sana kubadilisha fikra za watanzania kwa katiba iliyopo sasa.
 
Back
Top Bottom