PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu, hata leo kuna sheria nyingi ukiacha katiba ambazo kama waliopewa madaraka wangeweza kuzisimamia taifa lingekuwa mbali sana, changamoto ni mindsets. Ukiona nchi kama za huko Scandinavia kinachowabeba pamoja namengine mengi ni uzalendo kwa nchi zao, kitu ambacho sisi hatuna.
You nailed it so perfectly sir.. 🙏
 
Mimi naona lema yuko sahihi... Tena sana.

Wengi tunalilia mabadiliko, ila hayapo kwenye katiba, hasa hasa msingi bora wa mabadiliko huanzia kwenye jamii,

In this country wengi hawajui chochote kuhusu katiba, hawajui boundaries na rights zao. We'd raher stop focusing on katiba na tuanze ku lead society yenye utambuzi..
Gunner niaje
 
ukitaka kugundua hilo angalia tu kijana wa marekani akija hapa bongo
na kijana mtanzania akienda marekani nani ana ng'ang'ana kukaa kwa mwenzie
Huu ni mfano mfu. Ni ulimbukeni tu unaosababisha watu fulani kung'ang'ania kwenye taifa la watu.
Mfano wako unge make sense vi nchi kama Burundi huko ila sio Tanzania.
 
Kwani mimi kujibu comment yako hata kama unajadili na mwingine sio sawa? Nina uhuru wa kusema endapo nitaona inafaa hata kama ume QUOTE mtu mwingine.

Hakuna limit ya mtu ku quote au kuweka opinions zake.

Hiyo ni kama uko na ubaguzi wa nani msikilize na nani umwache, angalia hoja na sio mtu.
Basi yaishe mkuu au unaonaje
 
Back
Top Bottom