PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

PostGE2025 Bodaboda wakiimba 'Mama' 'Mama' Dodoma leo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Uchafu huo , leo ni kumbukumbu ya mauaji makubwa ya October 29.

Mauaji ya kutisha kuwahi kutokea ardhi ya Tanganyika.
 
Tazama mamia ya BODABODA walivyopata bahati ya kutembelea Mji wa serikali Mtumba na hapa wapo katika wizara ya Maji ambayo siku ya Leo wamekuja kushuhudia majengo na namna ambavyo miundombinu ilivyobora Katika mji wa serikali mtumba jijini Dodoma

Unaujuwa umbali wa kutoka Dodoma mjini mpaka Mtumba ni kilometer ngapi?

Ni kwa nini serikali inachezea pesa za umma kuwalipa watu wa kufanya maigizo?
 
Uchafu huo , leo ni kumbukumbu ya mauaji makubwa ya October 29.

Mauaji ya kutisha kuwahi kutokea ardhi ya Tanganyika.
Ni makusudi tu Spinning hapo zinatumika pesa za El nino kuwagawia Bodaboda.

Mimi ndio maana huwa siwahurumii hawa Makenge wanasanifiwa kwa kupachikwa cheo bandia eti maafisa usafirisha shenzi kabisa.
 
Wanayofanya vijana wamarekani ni sa sawa na wanayofanya vijana wa huku tanzania?

Ku compere marekani na Tanzania ni kichekesho mkuu

Sasa kama hamtaki katiba mpya ili kuweka viongozi watakaoboresha elimu
Ustawi uchumi nk......

Sasa mnataka nini?
ShesRise_1 hakuna asietaka katiba mpya.ni muhimu ni lazima,lakini itafanyaje kazi Kwa ufanisi kama hakuna muamko toka upande mkuu ambao ni wananchi?
Wananchi fikra zao zimelala,wachache wameamka lakini hawana nguvu za kupigania sababu asilimia kubwa wamelala.
Ustawi Bora wa kijamii,kiuchumi,maendeleo,elimu Bora,ajira,kuzuia ufisadi nk inawezekana
Katiba mpya inaweza kusaidia hayo,lakini je wanachi wako tayari kuyapokea hayo kama haki zao?wako tayari kuyapigania pale yanapokiukwa?
Hawapo tayari.Amsha fikra kwanza.katiba ikifuatia

Inaweza kuja katiba mpya,kiongozi akafanya ubadhirifu hadharani,ukajitokeza umma kumtetea,ukapokea rushwa kibindonu.watajitokeza vyombo vya Dola kumlinda na asifanywe chochote kwanini?
Sababu hao bado fikra zao zimelala.
Polisi fikra zimelala,wanajeshi fikra zimelala..
Kama katiba tuliyonayo Ina vipengele vingi vinakiukwa mchana kweupe na wananchi wanalalama tu mwisho wanaendelea nayo,hiyo mpya itasaidia pekee yake bila sisi kua na mwamko?

Deogartius hajafikisha umri tajwa wa kukalia KITI Cha umakamu,katiba imekataza,watu wachache wakaongea,majority wakalala.siku zikaenda kama vile hakuna kilichokiukwa.
Katiba mpya watashindwa vipi kuikiuka?
 
MASKINI ya Mungu utakuta wamelipwa elfu kumi kumi..

Kwaiyo kwako ulitaka waache japo hiyo elf kumi kuweka mifukoni
mwao ‼️

Waje Kanisani badala yake muwatoze wao Tozo pesa za kuingia Kanisani mnaitaga Sadaka

Uruma yako kuwaita masikini ulitaka waende wp✍️
 
Serikali inatumia hali duni ya misha kufanya maigizo makubwa

Kuteketeza pesa za umma kwenye mambo ya kijinga
Na ndio maana ccm haina malengo ya kutokomeza umaskini kwa sababu ndio mtaji wake.

Pita kwenye mitandao ya kijamii huko visuper star uchwara vikitangaza kutowa offer ya ela ya lunch au vocha utashangaa idadi ya watu wanaoshoboka mbaya zaidi mpaka wanaume wapo lakini source ni ufukara.

Mimi naichukia sana ccm kwa kuwageuza Watanzania mateka kwenye nchi yao.
 
Hakika swala kubwa ni umasikini
Hata uwe na akili vipi kama una njaa ni rahisi mnoo kuingia kwenye mtego

CCM wanajua hilo na wameshikilia sana hapo
 
Hayo umesema wewe
Ni wewe ndio umeleta mfano wa marekani hapa

Na mimi nikakuambia hakuna cha ku compere kwa marekani na Tanzania

ukitaka kugundua hilo angalia tu kijana wa marekani akija hapa bongo
na kijana mtanzania akienda marekani nani ana ng'ang'ana kukaa kwa mwenzie

Hawa wana njaa maisha tu watanzania wengi kali ya uchumi ni ya kawaida au chini ya kawaida

Adui yako muombee
Kungekua na uchumi imara nani angekubali kuhongwa 10k na kushika Bango la samuya
Uchumi imara haujui kwa katiba, unakuja kwa uzalishaji mkubwa na sio consumption.
 
ShesRise_1 hakuna asietaka katiba mpya.ni muhimu ni lazima,lakini itafanyaje kazi Kwa ufanisi kama hakuna muamko toka upande mkuu ambao ni wananchi?
Wananchi fikra zao zimelala,wachache wameamka lakini hawana nguvu za kupigania sababu asilimia kubwa wamelala.
Unadhani watu hawana fikra dada ?
Watu wana fikra vizuri tu tatizo la nchii hii ni umasikini

Hata uwe na PhD kama una njaa huna ujanja na CCM hilo wanalijua vizuri sana
Ustawi Bora wa kijamii,kiuchumi,maendeleo,elimu Bora,ajira,kuzuia ufisadi nk inawezekana
Katiba mpya inaweza kusaidia hayo,lakini je wanachi wako tayari kuyapokea hayo kama haki zao?wako tayari kuyapigania pale yanapokiukwa?
Tuipate hiyo katiba kwanza
Tupate viongozi bora
Watakaoboresha mazingira ya elimu

Na kingine Watanzania sio wajinga kwa kiwango hicho issue ni ujasiri tu wa kuchukua action
Siku hao vijana wa bodaboda wakija kugundua kua hiyo 10 haitoshi na kutaka kuongezewa 29k na wasipewe hao hao ndio watafanya kitu
Hawapo tayari.Amsha fikra kwanza.katiba ikifuatia
Anzeni mijadala wala hakuna shida juu ya hilo ila bila katiba hata hiyo mijadala utaiona michungu

Wewe unadhani nani atakupatia platform ya kuamsha vijana kama sio viongozi wenye utashi na ambao hawawezi kupata madaraka bila katiba mpya
Inaweza kuja katiba mpya,kiongozi akafanya ubadhirifu hadharani,ukajitokeza umma kumtetea,ukapokea rushwa kibindonu.watajitokeza vyombo vya Dola kumlinda na asifanywe chochote kwanini?
Sababu hao bado fikra zao zimelala.
Polisi fikra zimelala,wanajeshi fikra zimelala..
Kama katiba tuliyonayo Ina vipengele vingi vinakiukwa mchana kweupe na wananchi wanalalama tu mwisho wanaendelea nayo,hiyo mpya itasaidia pekee yake bila sisi kua na mwamko?
Hawa wote unaosema ndio wanaweza kua fikra zao kua zimelala au hazijalala vile vile ni kwa vile wao wameshika kwenye makali
Deogartius hajafikisha umri tajwa wa kukalia KITI Cha umakamu,katiba imekataza,watu wachache wakaongea,majority wakalala.siku zikaenda kama vile hakuna kilichokiukwa.
Katiba mpya watashindwa vipi kuikiuka?
Katiba sio mpya tu
Ila katiba iwe Bora na pia katiba inatakiwa kuja na mabadiliko mengineo ikiwemo kwenye mihimili ya nchi uhuru wa mahakama ,bunge nk..........
 
Back
Top Bottom