Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Anajikuta analiwa kwa nyongeza ya nyama kidogo kama pua ya msomali
Sent using Jamii Forums mobile app
inashangaza...
Anajikuta analiwa kwa nyongeza ya nyama kidogo kama pua ya msomali
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia bodaboda ndio waongoza kwa kuvunja kibubu naomba niishie hapo.Mimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa
Mimi nimenukuu maneno yake tuu, aliwahi kukiri humu kumsaliti mpenzi wake, Leo naona anatoa ushuhuda kuhusu wengine....Hawa wanawake wanafanana mkuu na si ajabu alikunjwa na boda boda tena uchochoroni tu kapandisha gauni then imo halafu hapa anavyowaponda wenzie
Hawaaminiki
😂😂😂Na pia bodaboda ndio waongoza kwa kuvunja kibubu naomba niishie hapo.
Maendeleo hayana chama
Money leo ntakupimia nyama nzuri kama wewe
Hawa wanawake wanafanana mkuu na si ajabu alikunjwa na boda boda tena uchochoroni tu kapandisha gauni then imo halafu hapa anavyowaponda wenzie
Hawaaminiki
Money leo ntakupimia nyama nzuri kama wewe
Maendeleo hayana chama
Mimi nimenukuu maneno yake tuu, aliwahi kukiri humu kumsaliti mpenzi wake, Leo naona anatoa ushuhuda kuhusu wengine....
Ndugu zangu tuheshimu ndoa zetu hata kama kuna karaha
Sent using Jamii Forums mobile app
pointSuruhisho :Mnunulie Gari Mkeo
Bodaboda wengi ni vibaraka wa mabeberunchi ilifika pabaya sana sana
😂😂😂😂😂✌✌Bodaboda wengi ni vibaraka wa mabeberu
Maendeleo hayana chama
Salute umemaliza kila kitu.Ni hivi:-
Wanawake wengi bila kujali vipato vyao wanapenda sana urahisi, yaani hawako tayari kupata taabu kwa kitu ambacho kuna sehemu kinapatikana hata kwa gharama ya mwili.
Kiujumla mwanamke ana safari nyingi kwa siku kuliko mwanaume; ataondoka kwenda sokoni (bodaboda), vikoba(bodaboda), kumjulia hali mgonjwa Hosp(bodaboda), Saluni(bodaboda) nk. Ukipiga hesabu kwa siku wengine wanafikisha elfu 6 kwa bodaboda tu.
Taabu inaanza pale bodaboda huyo anapokubali kumkopesha huduma hiyo, mwisho wa siku malipo ya fedha yanageuka malipo ya mwili.
Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂nimewaponda wanawake nimewaponda mabodqboda??hebu uwe unasoma vzr usiniletee stress zako mie ..ovyo
Nikirudi shule ujue masters tena,muda huo unavyokazana kunipa mie ushauri ungerudi tu kwanza shuleni..