Bodaboda na wake za watu

Bodaboda na wake za watu

Hao miaka ya nyuma huko moshi ndo zilikuwa zao. Unakuta mke wa kibosile analazwa na muuza bucha

duh...ila sidhan km alikua analala naye kisa anapewa nyama..hao hiendawalitokea kuclick tu mapenzi yakamea..maana mapenz hayana adabu kbs..ila mm siwez na haiji tokea
 
duh...ila sidhan km alikua analala naye kisa anapewa nyama..hao hiendawalitokea kuclick tu mapenzi yakamea..maana mapenz hayana adabu kbs..ila mm siwez na haiji tokea
Wengi miaka hiyo (naomba nisiitaje) walitaka upendeleo wa nyama nzuri. Usisahau hapo karibu na CCP kulikuwa na uhaba wa nyama. Hii kitu ya kutoa utamu ili upate kitu wengi wanayo na wanadai si utanawa tu enzi hizo kabla ya ukimwi
 
hapana ipo had leo 31st 12..ipo bado mkuu ila.sidhan km ni kwa nyama...ipo tu
 
Mwanamke anaweza akawa na VOGI akampa papuchi mtu aliyemuwekea wese la buku 30 na kumsaliti aliyemnunulia VOGI wakati angemwambia huyo aliyemnunulia VOGI angeweza kumuwekea hata wese la laki.
USIKARIRI HIVYO!...wewe ukimnunulia simu mtu ukiombwa vocha huwa unalalamika sembuse mafuta? Wanawake hawapendi kupangiwa safari, aliyemnunulia Vogi akimuomba hela ya mafuta lazima atamuuliza unaenda wapi n.k Hawapendi kufuatiliwa
 
Mimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa
Wewe uliwahi kukiri humu kwamba uliwahi kuchepuka, tunajiuliza alikua boda boda pia?
Heshimu ndoa dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom