Bodaboda na wake za watu

Bodaboda na wake za watu

Ni hivi:-
Wanawake wengi bila kujali vipato vyao wanapenda sana urahisi, yaani hawako tayari kupata taabu kwa kitu ambacho kuna sehemu kinapatikana hata kwa gharama ya mwili.
Kiujumla mwanamke ana safari nyingi kwa siku kuliko mwanaume; ataondoka kwenda sokoni (bodaboda), vikoba(bodaboda), kumjulia hali mgonjwa Hosp(bodaboda), Saluni(bodaboda) nk. Ukipiga hesabu kwa siku wengine wanafikisha elfu 6 kwa bodaboda tu.
Taabu inaanza pale bodaboda huyo anapokubali kumkopesha huduma hiyo, mwisho wa siku malipo ya fedha yanageuka malipo ya mwili.
Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thread Closed
 
Tutapona kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi bodaboda huwa huwa tunapewa penzi na wake za watu kutokana na sababu zifuatazo:
1.Huwa tunapewa penzi kama mbadala wa nauli
2.Wake za watu ambao huwa wana bifu na waume zao huwa wanatupa penzi la bure kama kulipiza kisasi kwa wanaume zao!
3.Wake za watu wengi waume zao huwa wako busy na kazi kwa hiyo huwa hawatoshelezi wake zao na wake zao huwa wanaishia kutushobokea
4.Sababu nyingine ni urafiki na ukaribu mkubwa uliopo kati yetu sisi na wake za watu kutokana na kuwababe kila siku
5.Sisi bodaboda tupo sexy na tuna miili mizuri kuliko hao waume zao!
Duuuh...! Kwa hiyo nyie ni kimbilio kwa sasa. kwenye anga zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini, hali ngumu ya kimaisha na kuwa na tamaa, kutokuwa na elimu ya dini nayo huchangia mporomoko wa maadili kwa kasi kubwa sana.
Sister hapo utakuta wengine wana kipato kizuri tu,kama wale jamaa kwenye thred za juzi wanawalalamikia wake zao kuwahonga bodaboda-kwa hiyo labda hao wanaangukia ktk kuporomoka kwa maadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa
Avator🥰
 
Sisi bodaboda huwa huwa tunapewa penzi na wake za watu kutokana na sababu zifuatazo:
1.Huwa tunapewa penzi kama mbadala wa nauli
2.Wake za watu ambao huwa wana bifu na waume zao huwa wanatupa penzi la bure kama kulipiza kisasi kwa wanaume zao!
3.Wake za watu wengi waume zao huwa wako busy na kazi kwa hiyo huwa hawatoshelezi wake zao na wake zao huwa wanaishia kutushobokea
4.Sababu nyingine ni urafiki na ukaribu mkubwa uliopo kati yetu sisi na wake za watu kutokana na kuwababe kila siku
5.Sisi bodaboda tupo sexy na tuna miili mizuri kuliko hao waume zao!
Nasikia ule mnesoneso was bodaboda huwatekenya na hivyo kupandwa na mzuka haraka. Na bodaboda walishaligundua hili, wanawapitisha sana sehemu mbovu za barabara ili kuzalisha minesoneso mingi hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mnapenda kuwapa kesi wake za watu dah! Hayo yapo lakini mnaandikaga kama vile karibia kila mke wa mtu analiwa!

Wekeni heshima kidogo kwa wanawake mnapo address matatizo yao na msisahau hata mama zenu ni wake za watu. Zipo ndoa nyingi mno zisizo na matatizo kama hayo ila baadhi tu.

Mbaya zaidi unaweza kukuta wachangiaji wengi si wanandoa achilia mbali tunajadiliana na vijana waliobalehe majuzi!

Hii ni kwa hisani ya taasisi ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom