PreGE2025 Bodaboda, Bajaji na Wajasiriamali Dar wagomea maandamano CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.

Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.

"Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo," amesema Lusinde.

Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni 'kazi ya laana, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva Bajaji wenye Ulemavu katika soko la Kariakoo, Gosbart Kajaramba akitoa msimamo wao kuhusu kushiriki kwenye maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyotangazwa kufanyika Aprili 24, 2025.

“Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo,” amesema Lusinde.

Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni ‘kazi ya laana’, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.

“Leo wanatuita tushiriki maandamano, ilhali waliwahi kudharau kazi zetu—kazi zilizotuwezesha kujenga nyumba, kulea familia zetu na kushiriki maendeleo ya nchi,” amesema Kagomba.

Naye Mwenyekiti wa Waendesha Bajaji wenye ulemavu wa Kariakoo, Gosbart Kajaraba, ameeleza kuwa wao wanatanguliza utulivu na maendeleo.

“Tunataka mazingira salama ya kufanya kazi, siyo maandamano yanayoweza kuvuruga shughuli zetu,” amesema.

Katika hatua nyingine, viongozi wa machinga kutoka Soko la Ilala wakiongozwa na Bakari Mkupa, wamesema tayari wamewasiliana na masoko mengine kuhakikisha hakuna mfanyabiashara atakayeshiriki maandamano hayo.

“Siku hiyo ni ya kazi kama kawaida. Masoko hayatatumika kwa shughuli za kisiasa,” amesema Mkupa.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui

View attachment 3311038
Chanzo: Nipashe
Waache kutafuta riziki wanye kumsikiliza kichaa Lema na Mdude
 
Wanywa gongo siku hizi ni wajasiriamali ?? CCM ni laana nchi hii.
Ndio shida ya kiburi hicho.Wapiga kura wamewakataa na mtakuja na kashfa na matusi kama kawaida yenu.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva Bajaji wenye Ulemavu katika soko la Kariakoo, Gosbart Kajaramba akitoa msimamo wao kuhusu kushiriki kwenye maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyotangazwa kufanyika Aprili 24, 2025.

Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.

Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.

“Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo,” amesema Lusinde.

Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni ‘kazi ya laana’, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.

“Leo wanatuita tushiriki maandamano, ilhali waliwahi kudharau kazi zetu—kazi zilizotuwezesha kujenga nyumba, kulea familia zetu na kushiriki maendeleo ya nchi,” amesema Kagomba.

Naye Mwenyekiti wa Waendesha Bajaji wenye ulemavu wa Kariakoo, Gosbart Kajaraba, ameeleza kuwa wao wanatanguliza utulivu na maendeleo.

“Tunataka mazingira salama ya kufanya kazi, siyo maandamano yanayoweza kuvuruga shughuli zetu,” amesema.

Katika hatua nyingine, viongozi wa machinga kutoka Soko la Ilala wakiongozwa na Bakari Mkupa, wamesema tayari wamewasiliana na masoko mengine kuhakikisha hakuna mfanyabiashara atakayeshiriki maandamano hayo.

“Siku hiyo ni ya kazi kama kawaida. Masoko hayatatumika kwa shughuli za kisiasa,” amesema Mkupa.
Kuna mtu alijua yupo nchi hii? Tell him no body give a f**k about speech yake, nchi hii inasikiliza wenye powers tu
 
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa.

Akizungumza katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Ilala, Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, amesema wanachama wao wameamua kutumia siku hiyo kwa shughuli za kiuchumi badala ya kushiriki maandamano.

"Hatuko tayari kupoteza muda kwenye maandamano. Tunajitambua na tunathamini kazi zetu za kila siku ambazo zinatuletea riziki na maendeleo," amesema Lusinde.

Lusinde ameongeza kuwa wanapinga vitendo vya uchochezi, na badala yake wanahamasisha amani na utulivu. Pia amekumbusha kauli ya zamani ya mmoja wa viongozi wa CHADEMA aliyewahi kudharau kazi ya bodaboda kwa kusema ni 'kazi ya laana, jambo ambalo bado halijapokewa vizuri na wahusika.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Shirikisho la Maofisa Wasafirishaji nchini, Said Kagomba, amethibitisha kuwa wamepata taarifa za maandamano kupitia vyombo vya habari, lakini hawatashiriki. Ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha amani inadumishwa.
View attachment 3311038
Chanzo: Nipashe
Hawa wapotoshaji wanatia aibu kwa kukurupuka, hakuna kiongozi wa Chadema aliyeitisha maandamano.
 
1. Hakuna aliye itisha maandamano tarehe 24.
2. Tarehe 24 wanachama na wapenzi wa CHADEMA wataenda kusikiliza kesi ya Tundu Lissu kisutu, siyo boda boda au wafanya biashara ndogo ndogo.
3. Mmepoteza hela zenu kujaribu kutengeneza uongo kwa kutumia watu wenu.
 
Kama nilivyosema kabla na nitaendelea kusema Divide and Rule ndio Ujanja wa Watawala miaka yote.., Na upinzani wanapitia mulemule miaka nenda rudi..., Ugumu wa Maisha na mambo kwenda ndivyo sivyo wanavi-politisize ndio maana vinakuwa ni vitu / matakwa ya kundi fulani wakati kiuhalisia kama yangekuwa ni Maandamo ya kudai haki, au kitu kinachowagusa moja kwa moja wabangaizaji, muitikio ungekuwa mkubwa.., Sasa ukishasema maandamo ya Chadema watu ambao sio Chadema utawakosa...

Anyway hizi sarakasi zitaendelea sana na huenda hazitabadilika katika kizazi chetu ila huko tunapoelekea watu watakapoanza kuandamana na kudai sio chao tu hata chako kwamba umekipata sababu ya kuwanyonya wao itakuwa too late..., (ila mbegu za upuuzi huu zinapandwa leo); Trailer ilionekana Kenya na Gen Z ambao na sasa sio kwamba vimekwisha bali imeweka pause...; Bongo hatujafika huko (watu kukosa hope) ila vizazi vijavyo tunawajengea maisha magumu...
 
Back
Top Bottom