kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 616
- 789
- Thread starter
- #61
Kijana nakukumbusha tu kuwa Hata kama ukiwa umechangia mara 3 au zaidi na kupata KADI ya uanachama wa uchangiaji wa Damu Salama.. Usije thubutu kusema sababu unachangiaga ndio utaikuta Damu kwa Blood bank ili upewe bure bila kuchangia tena...Ndugu yangu utaKUFA wakati uko na Kadi yako mfukoni.Aisee..kwani wewe huwa hauchangiagi damu kwa hiari..ili ukapata ya serikali iliyohifadhiwa bank ya damu bure??
Wandugu muhimu kuchangia damu ili unapojipata na shida kama hizi iwe rahisi kuokoa maisha yako na ya mpendwa wako.
Changia Damu patiwa Damu kwa wewe mwenyewe na Ndugu yako.