Blood group O-ve (Negative) anahitajika haraka sana..!!

Aisee..kwani wewe huwa hauchangiagi damu kwa hiari..ili ukapata ya serikali iliyohifadhiwa bank ya damu bure??

Wandugu muhimu kuchangia damu ili unapojipata na shida kama hizi iwe rahisi kuokoa maisha yako na ya mpendwa wako.
Kijana nakukumbusha tu kuwa Hata kama ukiwa umechangia mara 3 au zaidi na kupata KADI ya uanachama wa uchangiaji wa Damu Salama.. Usije thubutu kusema sababu unachangiaga ndio utaikuta Damu kwa Blood bank ili upewe bure bila kuchangia tena...Ndugu yangu utaKUFA wakati uko na Kadi yako mfukoni.

Changia Damu patiwa Damu kwa wewe mwenyewe na Ndugu yako.
 
Duh..unataka kusema kuwa hats ukiwa na kadi ya kuchangia damu..haupewo damu Bure??
 
AHSANTENI SANA KWA KUWA PAMOJA NAMI KATIKA KUMSAIDIA HUYU KIJANA MWENZETU JUU YA UPATIKANAJI WA DAMU GROUP O-VE (NEGATIVE).

AHSANTE KWA WOTE AMBAO TUMEWASILIANA KWA SIMU NA WENGINE WENGI KUAMUA KUJITOLEA HATA BURE NA KUFANIKISHA KIJANA MWENZETU KUWA NA IMANI NA KURUDISHA UHAI WAKE...

NAWAOMBA TENA TUSICHOKANE KATIKA WAKATI MWINGINE TUTAKAPOHITAJI MSAADA WENU.

HAKIKA JF KUNA UPENDO ZAIDI YA NDUGU WA KARIBU YAKO...

4 UNIT OF BLOOD COLLECTED TO 4 PEOPLES

WATU WATATU DAR NA MMOJA MOROGORO.

AHSANTENI KWA KUOKOA UHAI WA NDUGU YETU...

RAMADHANI KAREEEM........!!!
Yaani watu watatu wote wamepatikana dar, wanaume wa mkoani mnafeli wapi???
Kidding.

Anyway hongera mkuu, mpe pole mgonjwa wetu.
 
Aisee..kwani wewe huwa hauchangiagi damu kwa hiari..ili ukapata ya serikali iliyohifadhiwa bank ya damu bure??

Wandugu muhimu kuchangia damu ili unapojipata na shida kama hizi iwe rahisi kuokoa maisha yako na ya mpendwa wako.
Kuna ukweli kwenye hili swala lako,!? Au nawewe ni agent wa damu salama???
 
Mimi nina group O ila siju kama ni O-negative au O + positive kama unavyomaanisha. Ila kama unamaanisha maambukizi mi ni HIV -. Maana sometime huwa wanatafutwa walioathirika wanaoendana na mgonjwa mwenye maambukizi (HIV +).

Pili haiwezi kuwa rahisi hivyo naanza kuondoka kuja Morogoro japo kimsingi siwezi nikauza uhai. Practically naanzaje nitoke Dar kuja Morogro katikati ya pilika pilika zote hizi. Tatu naweza toa damu ikaishia kuuzwa. Mimi nikitoa damu lazima nishuhudie inawekwa kwa mgonjwa na mgonjwa nimuone na wajue natoa bure. SIUZI DAMU NA SITAK DAMU YANGU IUZWE.
 
Utakuwa ni kaka yangu wa kabila flani sio kwa mashauzi haya mfyuuuuu
Mimi nina group O ila siju kama ni O-negative au O + positive kama unavyomaanisha. Ila kama unamaanisha maambukizi mi ni HIV -. Maana sometime huwa wanatafutwa walioathirika wanaoendana na mgonjwa mwenye maambukizi (HIV +).

Pili haiwezi kuwa rahisi hivyo naanza kuondoka kuja Morogoro japo kimsingi siwezi nikauza uhai. Practically naanzaje nitoke Dar kuja Morogro katikati ya pilika pilika zote hizi. Tatu naweza toa damu ikaishia kuuzwa. Mimi nikitoa damu lazima nishuhudie inawekwa kwa mgonjwa na mgonjwa nimuone na wajue natoa bure. SIUZI DAMU NA SITAK DAMU YANGU IUZWE.
 
Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!!
Ndugu zangu kama nilivyowaeleza hapo juu, kuna jirani yangu hapa ana tatizo la "Sickle cell" lakini amepungukiwa na DAMU kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo anahitaji mtu mwenye Damu group tajwa hapo juu ili kuweza kupata damu haraka, kwani pia huwa anaongezewa Damu mara kwa mara ila kuwa watu 2 huwa ndio wanaomchangia sema mmoja amesafiri kwenda Msumbiji na hawezi kurudi karibu hii na huyu mwingine anaumwa na Dengue.

Please mwenye kuwa na damu group O-ve naomba aje PM haraka mgonjwa yupo Morogoro. But kama wewe uko Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga naomba niambie tu nitakuelekeza jinsi ya kutoa Damu na kumfikia mgonjwa.
Mkuu nipo dom na sasa nipo kwenye swaumu panapo uwezekano nitoe kwa jioni.
 
Mkuu umefanikiwa kupata? kama tayr basi kheri ila kama bado usisite tutafutane mimi nipo dom hapa mjini ukifika hosp.yyt nipo tayr kufika na kutoa tumsaidie ndugu yetu damu zenye rhesus ya - ni shida sana unakufa hivihivi na watu wanakuangalia wanashindwa kukusaidia,tafadhari panapo uhitaji nitafute nitatoa bure maana hata mimi sijui nani ataniongezea siku nikipungukiwa ila naomba kwa Mwenyezi anihifadhi na suala la upunguaji wa damu,inshaallah!!
 
Kijana hakika umekuwa na utu sana aisee, ps ni PM ili next time nikutafute ila kwa leo imepatikana Chupa 4 zitamsaidia kwani mchango mkubwa wa JF ndio umefanikisha jambo hili
 
AHSANTENI SANA KWA KUWA PAMOJA NAMI KATIKA KUMSAIDIA HUYU KIJANA MWENZETU JUU YA UPATIKANAJI WA DAMU GROUP O-VE (NEGATIVE).

AHSANTE KWA WOTE AMBAO TUMEWASILIANA KWA SIMU NA WENGINE WENGI KUAMUA KUJITOLEA HATA BURE NA KUFANIKISHA KIJANA MWENZETU KUWA NA IMANI NA KURUDISHA UHAI WAKE...

NAWAOMBA TENA TUSICHOKANE KATIKA WAKATI MWINGINE TUTAKAPOHITAJI MSAADA WENU.

HAKIKA JF KUNA UPENDO ZAIDI YA NDUGU WA KARIBU YAKO...

4 UNIT OF BLOOD COLLECTED TO 4 PEOPLES

WATU WATATU DAR NA MMOJA MOROGORO.

AHSANTENI KWA KUOKOA UHAI WA NDUGU YETU...

RAMADHANI KAREEEM........!!!
InshaAllah
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom