Bora uniambie dau hapa hapa ili nikimface nijue naongea nae vipi. Una sh ngapi?Mpe elimu ya pesa kwani ipo pesa ya uhakika ya sikukuu
Unapotoa dam sio lazima sana kupima so mkuu we nenda katoe damWatu wapo ila wanaogopa kupima.
Poleni saana aisee.Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!!
Ndugu zangu kama nilivyowaeleza hapo juu, kuna jirani yangu hapa ana tatizo la "Sickle cell" lakini amepungukiwa na DAMU kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo anahitaji mtu mwenye Damu group tajwa hapo juu ili kuweza kupata damu haraka, kwani pia huwa anaongezewa Damu mara kwa mara ila kuwa watu 2 huwa ndio wanaomchangia sema mmoja amesafiri kwenda Msumbiji na hawezi kurudi karibu hii na huyu mwingine anaumwa na Dengue.
Please mwenye kuwa na damu group O-ve naomba aje PM haraka mgonjwa yupo Morogoro. But kama wewe uko Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga naomba niambie tu nitakuelekeza jinsi ya kutoa Damu na kumfikia mgonjwa.
Nitafte inbox mkuu Nina o -veDharura...!! Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!!
Ndugu zangu kama nilivyowaeleza hapo juu, kuna jirani yangu hapa ana tatizo la "Sickle cell" lakini amepungukiwa na DAMU kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo anahitaji mtu mwenye Damu group tajwa hapo juu ili kuweza kupata damu haraka, kwani pia huwa anaongezewa Damu mara kwa mara ila kuwa watu 2 huwa ndio wanaomchangia sema mmoja amesafiri kwenda Msumbiji na hawezi kurudi karibu hii na huyu mwingine anaumwa na Dengue.
Please mwenye kuwa na damu group O-ve naomba aje PM haraka mgonjwa yupo Morogoro. But kama wewe uko Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga naomba niambie tu nitakuelekeza jinsi ya kutoa Damu na kumfikia mgonjwa.
Ahsante kwa marekebiasho ya Kiswahili kijanaShida ulivyowasilisha hiyo hoja ndo ukakasi ulipo,
Uliposema Mwenye damu group Hilo anahitajika haraka Sana hapo ndipo ulipokosea, Mtu ulimwambia haraka Sana maana yake Kuna hell Hivyo aache SHUGHULI zake achangamkie fursa hiyo ya pesa!!
Sasa anapoingia anasoma Uzi wako anakuta Hakuna dau la pesa Bali NI ombi la bure!!!! Hapo ndipo unapopata majibu ya kebehi.
ULIPASWA utangulize kuomba mf, Ungeweza kysema NDUGU ZANGU WANA JF NINAOMBA MSAADA WA DAMU WA GROUP O, no.
Jinga kubwa ww sijui ili jukwaa lina watu wa aina gan msidhan kila kitu n jokes kuna mda wa kaz sasa kama hawawez kutoa unamwambia ili iweje
[emoji7]Nina O negative lakini niko mbali sana ningekuwa karibu ningejitolea bure kabisa
Pole sana kwa kuuguliwa nakuombea umpate wa kukusaidia aisee
Ungekaa kimya tu sasaNina wawili ila hawawezi toa
Shida ulivyowasilisha hiyo hoja ndo ukakasi ulipo,