Blood group O-ve (Negative) anahitajika haraka sana..!!

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
568
1,000
Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!!
Ndugu zangu kama nilivyowaeleza hapo juu, kuna jirani yangu hapa ana tatizo la "Sickle cell" lakini amepungukiwa na DAMU kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo anahitaji mtu mwenye Damu group tajwa hapo juu ili kuweza kupata damu haraka, kwani pia huwa anaongezewa Damu mara kwa mara ila kuwa watu 2 huwa ndio wanaomchangia sema mmoja amesafiri kwenda Msumbiji na hawezi kurudi karibu hii na huyu mwingine anaumwa na Dengue.

Please mwenye kuwa na damu group O-ve naomba aje PM haraka mgonjwa yupo Morogoro. But kama wewe uko Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga naomba niambie tu nitakuelekeza jinsi ya kutoa Damu na kumfikia mgonjwa.
 
Mr Miller

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
11,185
2,000

poleni sana, umejaribu kuulizia benki ya damu hapo morogoro?
sickle cell sio nzuri hasa kama huyo mtu ni mgonjwa
 
Linko

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
2,207
2,000
Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!!
Ndugu zangu kama nilivyowaeleza hapo juu, kuna jirani yangu hapa ana tatizo la "Sickle cell" lakini amepungukiwa na DAMU kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo anahitaji mtu mwenye Damu group tajwa hapo juu ili kuweza kupata damu haraka, kwani pia huwa anaongezewa Damu mara kwa mara ila kuwa watu 2 huwa ndio wanaomchangia sema mmoja amesafiri kwenda Msumbiji na hawezi kurudi karibu hii na huyu mwingine anaumwa na Dengue.

Please mwenye kuwa na damu group O-ve naomba aje PM haraka mgonjwa yupo Morogoro. But kama wewe uko Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga naomba niambie tu nitakuelekeza jinsi ya kutoa Damu na kumfikia mgonjwa.
Pesa mbele mkuu sema bei
 
fred1149

JF-Expert Member
May 30, 2016
205
250
Mkuu una million tufanye biashara? Km ipo Niambie na unipe direction mi nitoe
Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!! Dharura...!!
Ndugu zangu kama nilivyowaeleza hapo juu, kuna jirani yangu hapa ana tatizo la "Sickle cell" lakini amepungukiwa na DAMU kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo anahitaji mtu mwenye Damu group tajwa hapo juu ili kuweza kupata damu haraka, kwani pia huwa anaongezewa Damu mara kwa mara ila kuwa watu 2 huwa ndio wanaomchangia sema mmoja amesafiri kwenda Msumbiji na hawezi kurudi karibu hii na huyu mwingine anaumwa na Dengue.

Please mwenye kuwa na damu group O-ve naomba aje PM haraka mgonjwa yupo Morogoro. But kama wewe uko Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Dodoma, Tanga naomba niambie tu nitakuelekeza jinsi ya kutoa Damu na kumfikia mgonjwa.
 
kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
568
1,000
ndugu naona unanikashf wakat nimewalenga wachangiaji wasiochukulia hili swala kiuzito kuku saidia wewe,
haina mbaya mzee, still nakupa pole kwa matatzo labda ndio chanzo cha kutonielewa
Ahsante kwa kukuelewa vibaya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom