Una wezere?Nitafte inbox mkuu Nina o -ve
Wezere mama yakiUna wezere?
Pesa ngapi?Ndugu hapo sijatoa amri kama upo tayari njoo kwa PM
Mtakuja kukalia Msumari kwa tamaa ya pesa wandugu. Chukueni tahadhari na matangazo ya mitandaoniMimi ni 0 negative nipo dar, sina HIV wala homa ya inni weka namba nikupigie
Mtakuja kukalia Msumari kwa tamaa ya pesa wandugu. Chukueni tahadhari na matangazo ya mitandaoni
Usalama wako je? Umejiridhisha na ukweli wa mtoa mada? Watanzania tuache kuishi ki-ujima mambo yamebadilika. Usimuamini mtu kirahisi tuSiuzi damu natoa bure, sina shida ya pesa mshahara unanitosha
Pesa isiuze utu wako ndugu. Chukua tahadhari usije kutolewa dv kwa tamaa ya senti kidogoPesa ngapi?
DuhUsalama wako je? Umejiridhisha na ukweli wa mtoa mada? Watanzania tuache kuishi ki-ujima mambo yamebadilika. Usimuamini mtu kirahisi tu
Aise kijana am sor sana, najua waleta masahara katika jambo hili nyeti kabisa ila ninaomba jambo hili lichukuliwe serious na si kama unavyowaogofya kama hivi...!!Mtakuja kukalia Msumari kwa tamaa ya pesa wandugu. Chukueni tahadhari na matangazo ya mitandaoni
Ahsante Mungu kwa kunipa damu group AB+.....NAPOKEA DAMU ZOTE NA KUMPA WA GROUP AB+ MWENZANGU TU...
Ahsante Mungu
M b oo nayo unapokea?
Pole sana Ndugu. Tupo pamojDaaah ni kweli ila ukweli jamaa yangu anaumwa sana
Kupokea ni kitu kimoja, kupata huyo wa kukupa ni kitu kingine.Ahsante Mungu kwa kunipa damu group AB+.....NAPOKEA DAMU ZOTE NA KUMPA WA GROUP AB+ MWENZANGU TU...
Ahsante Mungu