macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,796
- 39,591
Hivi kum-block mtu ndiyo kumfanya asijue unacho-post? Mbona ziko njia nyingi kabisa za watu kujua nyendo zako bila kuku-follow? Kwenye mtandao ukishatumia ID yako halisi hakuna siri yoyote. Unachotakiwa kufanya ni kuwa makini na mambo unayo-post tu. Hasa Bongo, ni shida. Watu wanapost vitu hovyo hovyo, bila umakini, bila kujua kuwa social media ni njia rahisi sana za mtu kukusoma personality yako, nyendo zako na kila kitu chako.asante kwa maoni yako great sinker.