Nina rafiki yangu mmoja, yeye pia huwa aposti chochote, na wala haview status ya yoyote wala hata hatizami..if you can't avoid all that, create a ghost account with a fake username.limit yourself from sharing anything by it on social media. use it silently to view/read other people's content.
kama unatumia whatsapp, usipost chochote kwenye status na wewe mwenyewe usijizoeshe kutazama status za watu wengine. smartphone yako itumie kutuma sms na kupiga simu tu.
Hapa ndo penyewe sasa mwaka huu ukiisha nakamilisha mwaka mmoja bila kujipost whatsApp status...hii mitandao ni ya kiwaki amna raha kama kuwa anonymous/Fake ID/Fake username/Fake profile you'll surf/explore tha internet confidently & conviniently
yap yapNina rafiki yangu mmoja, yeye pia huwa aposti chochote, na wala haview status ya yoyote wala hata hatizami..
Unaweza jua jamaa hana smartphone, ila kila ukikutana nae achat normal na anaperuzi tu Insta na twitter.
Ila hii sio wote wanaweza.
Mimi Whatsapp Status zote nimemute. The only person I share Status with is my Wife. Na wengi wanaopenda kupostpost Status mambo yao binafsi Whatsapp ni watu ambao wako Stressed.tunaishi katika ulimwengu wa kidigitali ambao umerahisisha mawasiliano.
hii ni orodha ya watu ambao hupaswi ku-interact nao kwenye social platforms.
platform ninazozizungumzia hapa ni zile zenye wafuasi wengi tanzania. nazo ni Facebook,Instagram, Twitter, Whatsapp nk.
HR wako
kama umeajiriwa, usiruhusu HR wako aone content zako unazopost kwenye mitandao ya kijamii. hata kama ni mshikaji wako, piga block haraka sana. ipo siku utakuja kunishukuru.
Mkuu wako wa Idara
huyu ni boss wako, jitahidi asijue mambo yako unayo share kwenye social platforms. avoid any casual interaction with him/her on social media.
inawezekana uliomba ruhusa ya uwongo ya siku tatu, ukamdanganya kuwa umepatwa na msiba. halafu anaona status zako upo kendwa rock beach zanzibar unakula bata.
please block him as soon as possible, you will thank me later. whatsapp ina option ya ku-select nani aone status zako na nani asione. don't wait to press the block button, do it now.
Mfanyakazi mwenzako ambaye huna upepo nae mzuri
usiruhusu interaction yoyote na mtu huyu kwenye social platforms. let his/her negative vibe stay away from you.
hata kama atakutumia friend request, usi accept.mpige block instagram, facebook, twitter na whatsapp status.
the only place anaweza kuona content zako ni kwenye whatsapp group la pamoja la idara yenu.
Mwanafamilia ambaye ana wivu sana na mafanikio yako
katika familia zetu za kiafrika ni kawaida kuwa na ndugu ambaye hafurahii chochote kizuri kuhusu wewe. he/she is a number one hater of your success.
mtu aina hii hapaswi kuona status zako whatsapp au picha zako za instagram. piga block fasta.
Hawala/Mchepuko wako(hii ni kwa wale walio ndani ya Ndoa)
sehemu peke ambayo itakukutanisha wewe na hawala/mchepuko wako ni lodge na maeneo mengine ya starehe yenye privacy ya uhakika, period.
hawala/mchepuko wako hapaswi kupata access ya yale unayo share kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii. hata kama mlikutania huko, baada kuanzisha mahusiano, mpige block. pia usimruhusu aone status zako za whatsapp.
Bullies
waliobuni social platforms app hawakuweka kitufe cha block kwa makosa. walijua wapo psychopath wanaopata furaha kuwafanyia bullying watu wengine. bully anaweza kuwa ni mtu anayekujua au hakujui lakini akaingia katika mkumbo wa kuku bully bila sababu. chochote unachopost yeye ana ki-judge negative. piga block mtu wa aina hiyo.
.......ONGEZA WENGINE.......
NB: njia pekee ya kudumu katika kujiepusha na kero zinawezoweza kujitokeza kutokana na niliyoandika hapo juu, ni kuacha kutumia mitandao ya kijamii.
achana na facebook,instagram na twitter. na kama inawezekana, pia achana na jamiiforum.
if you can't avoid all that, create a ghost account with a fake username.limit yourself from sharing anything by it on social media. use it silently to view/read other people's content.
kama unatumia whatsapp, usipost chochote kwenye status na wewe mwenyewe usijizoeshe kutazama status za watu wengine. smartphone yako itumie kutuma sms na kupiga simu tu.
Sasa kama ni hvo si ue unamtumia tu inbox[emoji1787]Mimi Whatsapp Status zote nimemute. The only person I share Status with is my Wife. Na wengi wanaopenda kupostpost Status mambo yao binafsi Whatsapp ni watu ambao wako Stressed.
Aisee umenistua inabidi nianze kufanya hivyo🤣🤣🤣🤣Sasa kama ni hvo si ue unamtumia tu inbox[emoji1787]
Pole sana, jaribu kumtafuta mama wa kimasai amchue mkeo, atapewa na dawa mitishamba atakaa sawa na mtoto Mtapata.Nimeacha kutumia fb muda sasa, wenzangu kila siku wanapost watoto wao mimi na mke wangu mwaka wa 3 huu hatuna mtoto, hivyo sikutaka mawazo yanitawale
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
you did the right thing....kufatilia interaction za mpenzi wako kwenye social media ni kujitafutia presha.he heh...
nilimblock husb kwa acc ya fb...
nilikuwa napata wazimu kwa coment za watu....na huwez amini nilimjua mpk mchepuko wake.
ila baada ya kufanya vile nilipata amani ya moyo..
kwa sasa tumebakiza mawasiliano kwa wsap tu..nina amani km yote
This is what I do and it works for me.if you can't avoid all that, create a ghost account with a fake username.limit yourself from sharing anything by it on social media. use it silently to view/read other people's content.
kama unatumia whatsapp, usipost chochote kwenye status na wewe mwenyewe usijizoeshe kutazama status za watu wengine. smartphone yako itumie kutuma sms na kupiga simu tu.
Hapa ndo penyewe sasa mwaka huu ukiisha nakamilisha mwaka mmoja bila kujipost whatsApp status...hii mitandao ni ya kiwaki amna raha kama kuwa anonymous/Fake ID/Fake username/Fake profile you'll surf/explore tha internet confidently & conviniently
[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431]Nimeacha kutumia fb muda sasa, wenzangu kila siku wanapost watoto wao mimi na mke wangu mwaka wa 3 huu hatuna mtoto, hivyo sikutaka mawazo yanitawale
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Wa kupuliza huyo[emoji1787] wa kupulizaThat is type of show off [emoji38] ,Kuna wengine hawajui status ilipo
Mimi sijawahi kuwa nayoMimi hata no ya simu ya boss wangu sijaisave najua nikiingia grp la whtsapp la kazini ntazikuta hivyohivyo kwa wakuda wote wa kazini sina haja ya kuwa na no zao
😄😄😄 Naona motivational speakers mmeshaanza.Nimesoma comments zote, kuna ninayokubaliana nayo na ninayopingana nayo, hata mimi kuna wakati nilikuwa silent, situmii fb wala insta wala sipost chochote nilipoanza biashara nikajikuta natumia na najipost
Kwahiyo msisapotiane kipuuzi sio kila mtu hatakiwi kuishi private life
Ni kweli kuna watu hutakiwi kuingiliana nao hao wanafaa kublokiwa lakini si kuacha kabisa kuona wala kuonwa na yeyote huo ni utoto na bhangi
Wachangiaji wengi nimegundua wana husda, wivu, kijicho na roho mbaya, eti likiona mtu anapost mafanikio linaumia wewe mchawi? Majitu ya namna hii yanayochukia mafanikio yetu na furaha yetu ndio huwa nayablock
Cha msingi ni kuangalia unapost nini na nani hutaki aone.[emoji1][emoji1][emoji1] Naona motivational speakers mmeshaanza.
Na wenzako wanaona unavyotumia pia Ni ujinga.Cha msingi ni kuangalia unapost nini na nani hutaki aone.
Mfano kwenye whatsapp status zangu napost memes tu hiyo ni njia pekee ya kujikeep private na nikipost maisha halisi ni biashara yangu.
Na kule kwenye mitandao mingine kuna watu nwablock sitaki wanijue lakini sio kuacha kabisa kutumia huo ni ujinga