Block watu aina hii katika Mitandao ya Kijamii na Instant Messaging App

Block watu aina hii katika Mitandao ya Kijamii na Instant Messaging App

nilikuwa Mwenyeketi wa ASSA A' Level, Mimi napenda kucheza muziki hasa ku-shake na ku-dance, siku ya mahafali kuna rafiki yangu akaniambia ati nisicheze jukwaani Kwa sababu Mimi ni mwenyeketi wa dini Kwa wanafunzi wa sekondari shuleni kwetu.

Nikamwambia nitacheza Kwa sababu hakuna popote ninapofanya makosa.

Nilicheza mbele ya shule, mchungaji akiwepo, waalimu na wanafunzi wengine.

Nilienjoi Sana.


Huwaga nipo Real na sipendi ku-fake.

Na nnapenda watu Real
Hahaha [emoji16]
 
Nimesoma comments zote, kuna ninayokubaliana nayo na ninayopingana nayo, hata mimi kuna wakati nilikuwa silent, situmii fb wala insta wala sipost chochote nilipoanza biashara nikajikuta natumia na najipost
Kwahiyo msisapotiane kipuuzi sio kila mtu anatakiwa kuishi private life

Ni kweli kuna watu hutakiwi kuingiliana nao hao wanafaa kublokiwa lakini si kuacha kabisa kuona wala kuonwa na yeyote huo ni utoto na bhangi

Wachangiaji wengi nimegundua wana husda, wivu, kijicho na roho mbaya, eti likiona mtu anapost mafanikio linaumia wewe mchawi? Majitu ya namna hii yanayochukia mafanikio yetu na furaha yetu ndio huwa nayablock
Wapuuzi tu
 
tunaishi katika ulimwengu wa kidigitali ambao umerahisisha mawasiliano.

hii ni orodha ya watu ambao hupaswi ku-interact nao kwenye social platforms.

platform ninazozizungumzia hapa ni zile zenye wafuasi wengi tanzania. nazo ni Facebook,Instagram, Twitter, Whatsapp nk.

HR wako
kama umeajiriwa, usiruhusu HR wako aone content zako unazopost kwenye mitandao ya kijamii. hata kama ni mshikaji wako, piga block haraka sana. ipo siku utakuja kunishukuru.

Mkuu wako wa Idara
huyu ni boss wako, jitahidi asijue mambo yako unayo share kwenye social platforms. avoid any casual interaction with him/her on social media.

inawezekana uliomba ruhusa ya uwongo ya siku tatu, ukamdanganya kuwa umepatwa na msiba. halafu anaona status zako upo kidimbwi unakula bata.

unadhani atakukufikiriaje?.please block him as soon as possible, you will thank me later.

whatsapp ina option ya ku-select nani aone status zako na nani asione. don't wait to change your privacy settings.

Mfanyakazi mwenzako ambaye hana Maelewano mazuri na wewe
usiruhusu interaction yoyote na mtu huyu kwenye social platforms. keep him away.

hata kama atakutumia friend request, usi accept.mpige block instagram, facebook, twitter na whatsapp status.

the only place anaweza kuona content zako ni kwenye whatsapp group la pamoja la idara yenu.

Mwanafamilia ambaye ana wivu sana na mafanikio yako
katika familia zetu za kiafrika ni kawaida kuwa na ndugu ambaye hafurahii chochote kizuri kuhusu wewe. he/she is a number one hater of your success.

mtu aina hii hapaswi kuona status zako whatsapp au picha zako za instagram. piga block fasta.

Hawala/Mchepuko wako(hii ni kwa wale walio ndani ya Ndoa)
sehemu peke ambayo itakukutanisha wewe na hawala/mchepuko wako ni lodge na maeneo mengine ya starehe yenye privacy ya uhakika, period.

hawala/mchepuko wako hapaswi kupata access ya yale unayo share kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii. hata kama mlikutania huko, baada kuanzisha mahusiano, mpige block. pia usimruhusu aone status zako za whatsapp.

Bullies
waliobuni social platforms app hawakuweka kitufe cha block kwa makosa. walijua wapo psychopath wanaopata furaha kuwafanyia bullying watu wengine. bully anaweza kuwa ni mtu anayekujua au hakujui lakini akaingia katika mkumbo wa kuku bully bila sababu. chochote unachopost yeye ana ki-judge negative. piga block mtu wa aina hiyo.

.......ONGEZA WENGINE.......

NB: njia pekee ya kudumu katika kujiepusha na kero zinawezoweza kujitokeza kutokana na niliyoandika hapo juu, ni kuacha kutumia mitandao ya kijamii.

achana na facebook,instagram na twitter. na kama inawezekana, pia achana na jamiiforum.

if you can't avoid all that, create a ghost account with a fake username.limit yourself from sharing anything by it on social media. use it silently to view/read other people's content.

kama unatumia whatsapp, usipost chochote kwenye status na wewe mwenyewe usijizoeshe kutazama status za watu wengine. smartphone yako itumie kutuma sms na kupiga simu tu
.
I got you
 
Mkuu watu wanaopinga ushauri wako ni either hawajaajiriwa, ni watoto, malimbukeni wa mitandao au hayajawapata
 
Mimi ndio nimeacha kupost kabisa..sio kwa kupenda, ila mambo mengine ni kuamua kuachana nayo tu...
 
Mkuu watu wanaopinga ushauri wako ni either hawajaajiriwa, ni watoto, malimbukeni wa mitandao au hayajawapata
Wanaokubali yote ni aidha hawana kazi ama shughuli za kuwashughulisha

Huwezi kuwablock watu wote au kuacha kutumia kabisa mitandao ikiwa kipo unachotaka watu waone
 
Huwezi kuwablock watu wote au kuacha kutumia kabisa mitandao ikiwa kipo unachotaka watu waone

hakuna sehemu ktk uzi wangu nimezungumzia kublock watu wote.

nime specify kwa kutaja aina ya watu. halafu nilichoandika kwenye uzi huu sio msahafu, ishi vile unataka.
 
hakuna sehemu ktk uzi wangu nimezungumzia kublock watu wote.

nime specify kwa kutajaja aina ya watu. halafu nilichoandika kwenye uzi huu sio msahafu, ishi vile unataka.
Hata ukichukia utaambiwa tu
 
Back
Top Bottom