kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,971
- 2,643
Me kila wakiniunga group la kazini na exit. Mpaka uongozi ukaniita, nikagoma katakata, et info utapataje? Nikawaambia nitumieni text kawaida.
Walichoka! Kwenye ma group huko would wanakusoma sn mitazamo yako na falsafa zako za maisha. Mpaka sasa kuna ka heshima fulani nimekajenga kwa kila mtu, hadi uongozi wa respect sana kwangu.
Usifanye watu wakakujua deep down, utanikumbuka.
We nae mswahili tu kwani group la kazini unaenda ku expose mambo ya familia uko