Block watu aina hii katika Mitandao ya Kijamii na Instant Messaging App

nimekuwa member wa jf since 2010, wakati huo nilikuwa natumia ID tofauti na hii ninayotumia sasa.

kwa miaka yote ambayo nimekuwa mshiriki wa mtandao huu, nimebaini vitu kadhaa.

*kila mtu hupenda kujipambanua kwamba yeye ni wa kipato cha kati(middle class citizen).

*maelezo ya wengi ni kwamba hawajishughulishi na whatsapp status, licha wengi kutumia whatsapp.

*maelezo ya wengi ni kwamba hawatumii mitandao mengine ya kijamii tofauti na jf.
Uko sahihi mkuu
 
Kumblock mtu asiangalie post zako ni kukosa kujiamini au unaishi maisha fake ya show off. Ukiwa unaumia kuona watu wanaoonyesha mafanikio au kula bata mitandaoni jua wivu unakusumbua.

Mimi bora mtu anayepost picha kali, kwenye mahotel yuko na pisi kali, anakula bata au anaendesha gari kali. Kuliko anayepost mambo ya kuchambana na kulialia shida mitandaoni.

Mimi simblock mtu. Akipost kitu nimekipenda huwa sijivungi nacheka kwelikweli kwenye comment au txt. Nikiidharau au ya mauzi napotezea tu. Husda, chuki, wivu na roho mbaya huwezi kuvikimbia, utavikimbia mtandaoni utavikuta hata mtaani jibu ni kuishi navyo tu.
 
Kama ni mtu wa kuendeshwa na mihemko ushauri wako Wafaa Sana.

Lakini Kama ni mtu unayejua namna ya kuendana na mazingira na wakati ushauri wako hauna maana yoyote.

Upande wangu sijawahi kumblock mtu na siwezi mblock mtu.

Nafanya ninachotaka kinachonipendeza,
Natumia simu nitakavyo,

Naweza chochote nikitakacho kulingana na jinsi akili yangu inavyonituma na jinsi ninavyotaka nifurahi.

Hao Ma-HR, sijui Nani, wakiingia kwenye account zangu au Status zangu za WhatsApp ni mapenzi Yao na hiyari Yao.

Ikiwauma shauri Yao, ikiwapendeza shauri Yao.

Siishi Kwa kumhofia Yeyote.

Sina mazoea ya kipuuzi.

Simpangii mtu maisha nami sipangiwi Maisha.

Nafuata sheria za Mungu, nchi na sheria zangu.

Kuishi Kwa kuogopa wengine ni Dalili ya kutojiamini na kutojitambua.
 
Huyo ni mtu asiyejiamini

Ati umblock mtu kisa ni HR sijui Boss wako, huo ni upuuzi.

Alitaka aangalie asipotaka asiangalie.

Mimi naangalia status za watu hata Kama zinaudhi naangalia tuu ilimradi ninabando,
Watu tuko tofauti,
 
ushauri wako hauna maana yoyote.
.
giphy.gif
 
tunaishi katika ulimwengu wa kidigitali ambao umerahisisha mawasiliano.

hii ni orodha ya watu ambao hupaswi ku-interact nao kwenye social platforms.

platform ninazozizungumzia hapa ni zile zenye wafuasi wengi tanzania. nazo ni Facebook,Instagram, Twitter, Whatsapp nk.

HR wako
kama umeajiriwa, usiruhusu HR wako aone content zako unazopost kwenye mitandao ya kijamii. hata kama ni mshikaji wako, piga block haraka sana. ipo siku utakuja kunishukuru.

Mkuu wako wa Idara
huyu ni boss wako, jitahidi asijue mambo yako unayo share kwenye social platforms. avoid any casual interaction with him/her on social media.

inawezekana uliomba ruhusa ya uwongo ya siku tatu, ukamdanganya kuwa umepatwa na msiba. halafu anaona status zako upo kendwa rock beach zanzibar unakula bata.

please block him as soon as possible, you will thank me later. whatsapp ina option ya ku-select nani aone status zako na nani asione. don't wait to press the block button, do it now.

Mfanyakazi mwenzako ambaye huna upepo nae mzuri
usiruhusu interaction yoyote na mtu huyu kwenye social platforms. let his/her negative vibe stay away from you.

hata kama atakutumia friend request, usi accept.mpige block instagram, facebook, twitter na whatsapp status.

the only place anaweza kuona content zako ni kwenye whatsapp group la pamoja la idara yenu.

Mwanafamilia ambaye ana wivu sana na mafanikio yako
katika familia zetu za kiafrika ni kawaida kuwa na ndugu ambaye hafurahii chochote kizuri kuhusu wewe. he/she is a number one hater of your success.

mtu aina hii hapaswi kuona status zako whatsapp au picha zako za instagram. piga block fasta.

Hawala/Mchepuko wako(hii ni kwa wale walio ndani ya Ndoa)
sehemu peke ambayo itakukutanisha wewe na hawala/mchepuko wako ni lodge na maeneo mengine ya starehe yenye privacy ya uhakika, period.

hawala/mchepuko wako hapaswi kupata access ya yale unayo share kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii. hata kama mlikutania huko, baada kuanzisha mahusiano, mpige block. pia usimruhusu aone status zako za whatsapp.

Bullies
waliobuni social platforms app hawakuweka kitufe cha block kwa makosa. walijua wapo psychopath wanaopata furaha kuwafanyia bullying watu wengine. bully anaweza kuwa ni mtu anayekujua au hakujui lakini akaingia katika mkumbo wa kuku bully bila sababu. chochote unachopost yeye ana ki-judge negative. piga block mtu wa aina hiyo.

.......ONGEZA WENGINE.......

NB: njia pekee ya kudumu katika kujiepusha na kero zinawezoweza kujitokeza kutokana na niliyoandika hapo juu, ni kuacha kutumia mitandao ya kijamii.

achana na facebook,instagram na twitter. na kama inawezekana, pia achana na jamiiforum.

if you can't avoid all that, create a ghost account with a fake username.limit yourself from sharing anything by it on social media. use it silently to view/read other people's content.

kama unatumia whatsapp, usipost chochote kwenye status na wewe mwenyewe usijizoeshe kutazama status za watu wengine. smartphone yako itumie kutuma sms na kupiga simu tu
.
Huu ni ujinga tu na kutojiamini, tatizo vijana na wengi wanafuatilia huu puuzi. Mfano kwanini udanganye kuwa unaenda msibani wakati huendi, kama una shida yoyote kwanini usichukue leave kisheria tu. Tuacheni hizi janja janja na mawazo ya kishirikina shirikina ndio maana hatuwezi kuishi mazingira mengine zaidi ya haya ya kichawi chawi. Jiamini fanya mambo yako kwa kufuata haki sheria na taratibu, bee free.
 
Kama ni mtu wa kuendeshwa na mihemko ushauri wako Wafaa Sana.

Lakini Kama ni mtu unayejua namna ya kuendana na mazingira na wakati ushauri wako hauna maana yoyote.

Upande wangu sijawahi kumblock mtu na siwezi mblock mtu.

Nafanya ninachotaka kinachonipendeza,
Natumia simu nitakavyo,

Naweza chochote nikitakacho kulingana na jinsi akili yangu inavyonituma na jinsi ninavyotaka nifurahi.

Hao Ma-HR, sijui Nani, wakiingia kwenye account zangu au Status zangu za WhatsApp ni mapenzi Yao na hiyari Yao.

Ikiwauma shauri Yao, ikiwapendeza shauri Yao.

Siishi Kwa kumhofia Yeyote.

Sina mazoea ya kipuuzi.

Simpangii mtu maisha nami sipangiwi Maisha.

Nafuata sheria za Mungu, nchi na sheria zangu.

Kuishi Kwa kuogopa wengine ni Dalili ya kutojiamini na kutojitambua.

Safi sana, wewe ni kiumbe huru, ishi kwa uhuru utaishi muda mrefu.
 
tunaishi katika ulimwengu wa kidigitali ambao umerahisisha mawasiliano.

hii ni orodha ya watu ambao hupaswi ku-interact nao kwenye social platforms.

platform ninazozizungumzia hapa ni zile zenye wafuasi wengi tanzania. nazo ni Facebook,Instagram, Twitter, Whatsapp nk.

HR wako
kama umeajiriwa, usiruhusu HR wako aone content zako unazopost kwenye mitandao ya kijamii. hata kama ni mshikaji wako, piga block haraka sana. ipo siku utakuja kunishukuru.

Mkuu wako wa Idara
huyu ni boss wako, jitahidi asijue mambo yako unayo share kwenye social platforms. avoid any casual interaction with him/her on social media.

inawezekana uliomba ruhusa ya uwongo ya siku tatu, ukamdanganya kuwa umepatwa na msiba. halafu anaona status zako upo kendwa rock beach zanzibar unakula bata.

please block him as soon as possible, you will thank me later. whatsapp ina option ya ku-select nani aone status zako na nani asione. don't wait to press the block button, do it now.

Mfanyakazi mwenzako ambaye huna upepo nae mzuri
usiruhusu interaction yoyote na mtu huyu kwenye social platforms. let his/her negative vibe stay away from you.

hata kama atakutumia friend request, usi accept.mpige block instagram, facebook, twitter na whatsapp status.

the only place anaweza kuona content zako ni kwenye whatsapp group la pamoja la idara yenu.

Mwanafamilia ambaye ana wivu sana na mafanikio yako
katika familia zetu za kiafrika ni kawaida kuwa na ndugu ambaye hafurahii chochote kizuri kuhusu wewe. he/she is a number one hater of your success.

mtu aina hii hapaswi kuona status zako whatsapp au picha zako za instagram. piga block fasta.

Hawala/Mchepuko wako(hii ni kwa wale walio ndani ya Ndoa)
sehemu peke ambayo itakukutanisha wewe na hawala/mchepuko wako ni lodge na maeneo mengine ya starehe yenye privacy ya uhakika, period.

hawala/mchepuko wako hapaswi kupata access ya yale unayo share kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii. hata kama mlikutania huko, baada kuanzisha mahusiano, mpige block. pia usimruhusu aone status zako za whatsapp.

Bullies
waliobuni social platforms app hawakuweka kitufe cha block kwa makosa. walijua wapo psychopath wanaopata furaha kuwafanyia bullying watu wengine. bully anaweza kuwa ni mtu anayekujua au hakujui lakini akaingia katika mkumbo wa kuku bully bila sababu. chochote unachopost yeye ana ki-judge negative. piga block mtu wa aina hiyo.

.......ONGEZA WENGINE.......

NB: njia pekee ya kudumu katika kujiepusha na kero zinawezoweza kujitokeza kutokana na niliyoandika hapo juu, ni kuacha kutumia mitandao ya kijamii.

achana na facebook,instagram na twitter. na kama inawezekana, pia achana na jamiiforum.

if you can't avoid all that, create a ghost account with a fake username.limit yourself from sharing anything by it on social media. use it silently to view/read other people's content.

kama unatumia whatsapp, usipost chochote kwenye status na wewe mwenyewe usijizoeshe kutazama status za watu wengine. smartphone yako itumie kutuma sms na kupiga simu tu
.
Mimi nafanya hayo, na inasaidia sana
 
Safi sana, wewe ni kiumbe huru, ishi kwa uhuru utaishi muda mrefu.

nilikuwa Mwenyeketi wa ASSA A' Level, Mimi napenda kucheza muziki hasa ku-shake na ku-dance, siku ya mahafali kuna rafiki yangu akaniambia ati nisicheze jukwaani Kwa sababu Mimi ni mwenyeketi wa dini Kwa wanafunzi wa sekondari shuleni kwetu.

Nikamwambia nitacheza Kwa sababu hakuna popote ninapofanya makosa.

Nilicheza mbele ya shule, mchungaji akiwepo, waalimu na wanafunzi wengine.

Nilienjoi Sana.

Huwaga nipo Real na sipendi ku-fake.

Na nnapenda watu Real
 
uko sahihi........
kuna dogo mmoja nilimwambia hii kitu...........akakutana na boss wake night club waka self......jamaa akausha kila idara.....wala hakumaliza mwezi.....yuko mtaani anasugu 11...
 
boss hakutaka picha yake akiwa nightclub isambae. tujifunze kuheshimu privacy za watu.hapo dogo alikosea sana.
 
boss hakutaka picha yake akiwa nightclub isambae. tujifunze kuheshimu privacy za watu.dogo akisambaza. hapo alikosea sana.
yes,,,, sbb waliserebuka na kupiga mtungi akajua ni his best friend....kajisahau......
 
if you can't avoid all that, create a ghost account with a fake username.limit yourself from sharing anything by it on social media. use it silently to view/read other people's content.

kama unatumia whatsapp, usipost chochote kwenye status na wewe mwenyewe usijizoeshe kutazama status za watu wengine. smartphone yako itumie kutuma sms na kupiga simu tu.

Hapa ndo penyewe sasa mwaka huu ukiisha nakamilisha mwaka mmoja bila kujipost whatsApp status...hii mitandao ni ya kiwaki amna raha kama kuwa anonymous/Fake ID/Fake username/Fake profile you'll surf/explore tha internet confidently & conviniently
 
Back
Top Bottom