Bla-bla za Watanzania ndani ya JamiiForums

Bla-bla za Watanzania ndani ya JamiiForums

Mara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga .

Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili kufanikiwa kiuchumi gademitt.

Walokole hawafanyi yote hayo ila wamepigika kuliko watu wote. Life is for the living. Enjoy
 
Mwanamke shepu sura hata mbuzi anayo šŸŽµ mario
f8c95fbc-b7ae-4844-a9e3-e55a8d6aaa4f.jpeg
 
Back
Top Bottom