Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

shida sasaivi kila mtu ni askofu, na kama siasa ya nchi itakua mbovu ajue hata uhuru wa kuabudu hautokuepo kwani siasa inaingia kila mahali, na me nina tamko langu naomba waandishi wa habari mje tafadhali.
 
Huyu hayuko sawa kichwani.

kama anapinga wa hapana mbona hawagombeshi wanaopigia debe ndiyo?

tatizo lake hapana ila wale wandio kwakwe wanatenda sewa!!!
 
Maneno ya Gwajima yanamhusu mnafiki huyu
 
Inaonekana Maaskofu wa CHADEMA wana Nguvu kuliko Mashekh wa CCM maana hata Muswada wa Mahakama ya Kadhi umeondolewa kwa Amri yao.Tuombe Mungu wasiamrishe Watanzania wapigie kura CHADEMA maana itakuwa ndio mwisho wa CCM.

waamrishe marangapi wakati tayari mmeshatangaziwa kanisani kura zote chadema?masheikh mmewanyima mahakama yao basi hawana la kufanya.mwenye nguvu mpishe apite au siyo.
 
Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri

Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....

Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....

Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ...
attachment.php

Tamko la askofu La Piusi Ikongo

View attachment 239683

Picha ya askofu ikongo wa PENTEKOSTE PASTARS FELLOWSHIP
Mwenyekiti wa PPFT
Huyu nae askofu au kala maharage kavimbiwa na kujiita askofu.huyo ni kinyesi cha choo cha lumumba kalishwa linbwata na nape
 
waamrishe marangapi wakati tayari mmeshatangaziwa kanisani kura zote chadema?masheikh mmewanyima mahakama yao basi hawana la kufanya.mwenye nguvu mpishe apite au siyo.

Kanisani wamesema tuipigie kura ya HAPANA katiba inayopendekezwa.Bado Wakristo wanasubiri Amri ya kuipigia CHADEMA kwenye uchaguzi Mkuu ujao kama Waislamu walivyoambiambiwa misikitini mwaka 2010 waipigie Kura CCM.
 
Kasema mambo mengine tuwaachie wananchi ambao ni Ukawa na CCM, kwani yeye ni mkimbizi?
 
Huyu askofu ni shabiki wa CCM tu. Anadai katiba imetoa uhuru wa kuhubiri injili na kuabudu, kwani iliyopo haitoi uhuru huo?
 
Ukute kanisa lenyewe ni yeye, mke wake, watoto na majirani wawili watatu.
 
Huyu hayuko sawa kichwani.

kama anapinga wa hapana mbona hawagombeshi wanaopigia debe ndiyo?

tatizo lake hapana ila wale wandio kwakwe wanatenda sewa!!!

Yeye mwenyewe kasema ni nzuri akimaanisha tuipigie kura ya ndiyo, sasa anawalaumu vipi waliotaka tuipigie kura ya hapana?
 
Hawa maaskofu wa kuchonga hatari tupu,NGO yake iko wapi huyu au ndo kutafuta ajulikane na waumini?
 
Bichwa lenyewe limekaa kifisadi sasa akilo zimo kweli??
-akhahaha bishop bwanaaa…………!
 
Bichwa lenyewe limekaa kifisadi sasa akilizo zimo kweli??
-akhahaha bishop bwanaaa…………!
 
Kwanza siasa na dini wapi na wapi
Yakaisali muachie kaisali katiba ya wakristo ni bibilia
Tunapo pinga katiba tupinge kama wananchi na si waumini wa dini
 
eti mambo mengine hayawahusu??? Huyu siyo askofu na bila shaka atakuwa anaongozwa na roho mtaka vitu na sio roho mtakatifu
 
Kwa jicho la pili huyu ni askofu aliyehudhulia uzinduzi wa chama Fulani kilichozinduliwa hivi juzijuzi akishiriki kama mfurukutwa wa chama!

Nimepata mapya kumbe aligombea ubunge kwa CCM huku akiwa hana vigezo vya kugombea being a foreigner!

Haya yapo Tanzania tuu
 
Back
Top Bottom