Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Waislamu tusiposimama kidete kudai haki zetu wakristo watatuwala daima na kutuamulia mambo yetu daima.....
 
Hili jamaa TISS linajulikana, amejivika uaskofu feki ili kupingana na Maaskofu kila wanapokuwa kinyume na Serikali. Jamaa huyu ana wake wawili na mjini Moshi tunaujua uhuni wake, askofu gani mwenye wake wawili????

unashangaa huyu ana wanawake wawili? Mwenzake gwajima anatembea na wake zawatu halafu anatafuna kondoo wake haina mfano.
 
Hili jamaa TISS linajulikana, amejivika uaskofu feki ili kupingana na Maaskofu kila wanapokuwa kinyume na Serikali. Jamaa huyu ana wake wawili na mjini Moshi tunaujua uhuni wake, askofu gani mwenye wake wawili????

Kama ni kweli,ni mzizi tu kama wazinzi wengine hapa duniani!!!
 
Eti Askofu. Uaskkofu unagawiwa kama maharagwe? Kanisa lenyewe halijai kingaji kesha kuwa Askofu. Si kwanza basi angekuwa mchunganji tukajua? Mradi anajua kuongea kwa sauti kwenye vipaza sauti keshakuwa askofu.
Askofu ni mtu mwenye cheo cha juu katika Kanisa. Kwa kawaida huliongoza katika eneo la jimbo au dayosisi akisimamia shirika au usharika au parokia nyingi. Neno letu "askofu" limetokana na Kiarabu أسقف "uskufu" ambalo ni umbo la Kiarabu la neno la Kigiriki επισκοπος "episkopos". Neno hilo katika mazingira ya Wakristo wa kwanza lilitumika kumtajia mwangalizi au msimamizi wa shughuli mbalimbali serikalini, katika shirika za wananchi au penye ujenzi.
Leo mtu anaanzisha kikanisa na kusimika wachungaji hata bila kwenda shule ya theologia anajiita askofu au mchungaji. Kuongoza kanisa si kujua kuongea tu pia ni pamoja na kuwa mteule wa Mungu na watu, kuwa mtu mwenye busara na kiongozi mwenye karama mbali mbali. Kuongoza ni kushauri, kukemea na kusimamia ukweli
Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri

Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....

Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....

Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ...
attachment.php

Tamko la askofu La Piusi Ikongo

View attachment 239683

Picha ya askofu ikongo wa PENTEKOSTE PASTARS FELLOWSHIP
Mwenyekiti wa PPFT
 
Mbona kama anavuta bangi.
Njaa mbaya sana. Kwanza kasoma wapi huyu....tujue elimu yake kwanza.
 
Huyu atatengwa na maaskofu wa chadema kwa kusimamia ukweli.
 
Ndo nani huyu mbona hatumjui kwa hamjui kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo?
 
Waislamu tusiposimama kidete kudai haki zetu wakristo watatuwala daima na kutuamulia mambo yetu daima.....

Umeongea Jambo la Msingi sana.Ni udhalilishaji uliopitiliza kwa Mambo ya Msingi ya Waislamu kuamuliwa Bungeni badala ya Misikitini.Tusipoligundua hili tutakuwa Watwana Milele.
 
Mbona hamumshangai gwajima yeye ni nabii kabisa?teh teh teh wagalatia mmefulia.
 
huyo ni tapeli la mjini kama matapeli mengine.kwanza kanisa lake lipo wapi? uaskofu kapewa na nani? maaskofu wenzake wa hl dhehebu wapo wapi?
 
Maasikofu wameshakosa uhalali, kwani hawana jipya hawasemi nini hakipo kwenye katiba ambacho wao walipeleka kama pendekezo na kikaachwa
 
Huyu atatengwa na maaskofu wa chadema kwa kusimamia ukweli.

Inaonekana Maaskofu wa CHADEMA wana Nguvu kuliko Mashekh wa CCM maana hata Muswada wa Mahakama ya Kadhi umeondolewa kwa Amri yao.Tuombe Mungu wasiamrishe Watanzania wapigie kura CHADEMA maana itakuwa ndio mwisho wa CCM.
 
Askofu huyu anatafuta kondoo kwa lazima hajitambui
 
Maasikofu wameshakosa uhalali, kwani hawana jipya hawasemi nini hakipo kwenye katiba ambacho wao walipeleka kama pendekezo na kikaachwa

Wamesema Katiba ilipitishwa Kibabe na Hongo ya Ahadi ya Mahakama ya Kadhi kwa Waislamu.Kitu kinachopatikana kwa hila na Ujanjaujanja hakina Uhalali hivyo Kipigiwe Kura ya HAPANA.
 
Huyu naye ngoja Gwajima apone ili akupe vidonge vyako. Inaonekana unaumwa sana wewe. Kanisa lako liko wapi ili tuone aina ya waumini ulionao?

Hapa nimekukubali mkuu.

Ngoja Gwajima apone amnyooshe huyu alorogwa.

Mm namkubali sana Gwajima tangu amweke sawa pandikizi pengo.
 
Back
Top Bottom