Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 592
- 1,285
Some people are just lucky sio kwamba eti wametoka kwenye familia tajiri au yenye kusapotiana au nchi iliondelea au labda ni juhudi zao, hapana au ni wezo mkubwa wa kiakili, ni basi tu kila wanacho fanya hawakitolei machozi, jasho na damu kama wewe.
Wanaokuambia eti Hardwork beats Luck ni njia tu za kuwapa hamasa ili msichokee kuwafanyia kazi ila waenjoy kile bahati yao inaendeleea kuwa-offer.
Tunahimizwa tufanye kazi kwa bidii sanaa na tutapasua, lakini bidii hii haitufaidishi kulingana na jitihada tuliowekeza sio kwa sababu eti mazingira, muda, exposure, taarifa au factors za uchumi ndio zilizopelekea ukakosa hapana ni kwamb level ya bahati yako ndio ilipokufikisha.
Hata wewe hapo mtaani kuna watu huwa unawashangaa ni jinsi gani wanavyo shinda odds za maisha despite ya kuwa sio special sanaaa au eti wako very sharp na informartive, ni basi tu bahati yake ndio umuongozea njia.
Guys life is tough ila tusikate tamaa.