Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 771
- 1,707
Dunia sio…, Maisha yanatesa mno…, ukiona unafurahi basi kuna watu wako nyuma yako wanatesekea furaha yako leo…, siku na wao wakifurahi basi furaha yako itakatishwa kama sio kudhoofika..,.
Maisha yanatesa, ile furaha ya kuona wanawake wakiwa na mimba, kwa sasa naona ni laana.
Unazaa!! For what!! Unafurahi? for what!!
Watu wanahangaika kila sehemu kwa uchungu na mateso kwa laana za starehe ya wazazi wawili walio amua wao bila kuwaza uyo kiumbe wanamleta kwenye nini..!, ili afaidike na nini..! , na je?, akiwa tofauti watafanya vipi?
Unabeba mimba, huna kitu maisha yako mwenyewe yamekushinda, isitoshe huna hata mume anaeleweka au yule ambae kusema mtashinda hata hadui njaa hapana, ukiangalia kushoto mtaani kwenu wote kaya masikini, anayefanikiwa kwenu basi malaya, tapeli, ujanja ujanja n.k still unabeba mimba na unamwomba mungu ujifungue salama!! Ili umlete mtoto kwenye mateso, mind set ya masikini hua mtoto ni mtaji, yani mateso na maisha yaliokushinda ndo unayazalia mtoto ili yeye ndo aje kuteseka kukutoa uko matopeni. {UZAO WA LAANA}.
Assum umezaa mtoto wako wakiume/kike now, ukampa kilakitu kuanzia mali, malezi ya kiimani, kitamaduni (kikwenu) n.k, but amekua sasa na kwenye kujitambua kaangukia kwenye ushoga, ufuska, utapeli, ulevi n.k vipi ushawaza utafanya nini mwanao tegemezi akiwa kama gigy money? Na kama maamuzi yako sio yakumsapport ili awe na furaha kwenye kujipata kwake unafikiri unamtendea haki? Kabla ya kutungisha /kubeba mimba hukuwaza why atakuja akiwa na kichwa na ubongo wake mwenyewe na sio wako?
Kuna mtu anazaliwa akiwa mbaya hana shepu hana akili za darasani na hana connections za kukutoa matopeni, wanaume wanamlaghai kisa anatabia njema, unatumika ukizani ni upendo, anasalitiwa na anatafutiwa makosa mwisho anatelekezwa, anabaki kutegemea watoto wake. Upande mwingine anagundua kuna kudanga kunalipa unaenda kujiuza bar bado wateja wanashobokea wadada wenye mashepu anajisikia unyonge, mwisho anagundua maisha ni laana, hayana huruma unapaswa kufanikiwa kwa njia yoyote, ila ukishafaniwa unagunduka dooh kumbe kunakufa kufukiwa na kuoza (Maisha!!!)
Unazaliwa ukiwa huna title wala kwenu hamna lolote lile likalokufanya ujivunie, unaenda shure unakomaa unasoma mpaka unamaliza na vile mungu sio mruguru basi anakubariki unafanikiwa kupata kazi kitengo, mambo yanakua super, unasema sasa nioe mke mwenye akili, unapata, mwisho unakuja kukosa furaha kumbe mkeo alishalala na vidume shababi kupita wewe ila tu wewe ndo muoaji, ila maumbile yako sio matamu kama ya hao wengine, unalala usiku ukijua mke wako anasuguliwa na mtu fulani unakosa raha tena , mnagombana, unatoa taraka, mwanamke anaondoka na watoto, (mwanzo wa laana nyingine kwa watoto) unagundua furaha sio pesa labda ungepata uume mkubwa na wewe ungesugua wanawake vzuri wakatulia, (Maisha).
Dunia sio sehemu salama, eti watu wanaenda sehemu za ibada kufwata majina ya WATU walio inuliwa na mungu, wengine sijui kwa mamentol sijui nini, now kama una akili zimekamilika utagundua hayupo mtakatifu Duniani, as long as mtu anamwagiwa shahawa, na mwingine anaingia kwenye ilo shimo katikati ya mapaja ya mwanamke basi hakuna huokovu wala utakatifu hapo. (Kama huelewi usijali, ipo siku utaelewa).
Unao waamini leo ndo watakuja kukufunza kutokuamini watu siku ukiwafahamu vizuri, ni swala la muda tuu, kila mtu unayemwona ana uzinzi ndani yake, tamaa, ubinafsi, ukatili, n.k tunatofautiana tu katika muda, wakati na nafasi kudhihirika wazi kwa yale yaliyo ndani yetu.
~KUZAA NI BARAKA KUZALIWA NI LAANA~