Ya nini? Usije ukamuibaPicha yake
Ya nini? Usije ukamuibaPicha yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] tuliza njaaMkuu vp unaweza kwa bahati ukajaaliwa kuwa na namba ya huyo binti na Mungu akubariki?
Witty wewe unaweza kutuliza njaa? Njaa inatulizwa na chakula yakhee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] tuliza njaa
Imeisha hiyoNitakuwepo harusini nina kadi ya double na nipo mwenyewe kama vipi twende.
Huyu kitonga live asee[emoji848]Witty wewe unaweza kutuliza njaa? Njaa inatulizwa na chakula yakhee
Okay jiandae mapema.Imeisha hiyo
Wa kawaida ehhh wewe ulingo'a upi mkuu hahaaaaahaaa sidhani hata kama ungeweza kufungua mdomo mkuu pesa INA utiisho sana asikwambie mtu endelea kujipa moyo.... hekaya za mswahili!
Binti kawaogopa wapopo wenzie. TB Joshua mwaka huu kakaa sana Bongo tangu msiba wa mwendazake inaonesha anapapendaMbona mzigo wa kawaida sana, kama Wanaija wenyewe wameususa pamoja na mimali yote hiyo basi huyu meku atakuwa ameona fursa, ila asisahau ya Ben Paul, kuolewa na mtoto wa kishua jua ndugu zako pamoja na wazazi wako watakuwa kama mashamba boy tu.
hiyo sisi wachaga huwa hatuangalii kabsaa..Mbona mzigo wa kawaida sana, kama Wanaija wenyewe wameususa pamoja na mimali yote hiyo basi huyu meku atakuwa ameona fursa, ila asisahau ya Ben Paul, kuolewa na mtoto wa kishua jua ndugu zako pamoja na wazazi wako watakuwa kama mashamba boy tu.
Daah!!! Hatere...naifaham hii familiaHuyu muoaji namjua kwao mambo safi,wala hawana njaa..babake na mamake huwa wanafuatana kama Chai na sukari ibadani, kila MTU anavutiwa nao kwakweli ile ndoa kwa nje ni mfano sijajua kwa ndani ,wako Ungalimited Arusha parokia ya moyo safi wa maria huyu mama anakuwa kama ana asili Fulani au alichanganya damu ya kizungu ni mweupe pee anatupia viwalo balaa mke ya Rais weka pembeni...kuna na binti yao ni kisu hatare yaani wale wa kuogopwa...Mama ni mwekahazina wa parokia....huyo mama aliyevaa kofia ya malkia Elizabeth ndio mama wa kijana baba wa kijana huyo ambaye hajavaa suti nyeusi kwenye cake acheni wivu jamaa yuko njema.
Tuwakilishe huko na mapicha kama yote yaniJumamosi ntaenda moyo safi kuushuhudia hii harusi
Chalii mwenyewe wakishuaMbona mzigo wa kawaida sana, kama Wanaija wenyewe wameususa pamoja na mimali yote hiyo basi huyu meku atakuwa ameona fursa, ila asisahau ya Ben Paul, kuolewa na mtoto wa kishua jua ndugu zako pamoja na wazazi wako watakuwa kama mashamba boy tu.
Ya kwanza ni ya KimilaKwani si tayari ni wanandoa hao toka Desemba 2020?
Au ndio yale mambo wa wapopo unakuta kuna ndoa kama mbili, ya kimila na nyingine ya church!
![]()
Yupi hapo?