Binti wa namna hii unamfanyaje?

Binti wa namna hii unamfanyaje?

Endelea kumhudumia huenda akabadilika. Lakini ujue kuna wenzako wanamtafuna kiulaini sana.
 
Aisee biashara gani hiyo yakukaa miez 5 dry??? Niheri unipe guni 5 zamchele nuhesabi punje mojamoja kuliko kufanya huo ujinga
 
ila wanaume tunaisha asee
badala ya kumuita mwanamke lodge/geto wewe unamuita NJE YA MJI! kweli?

nje ya mji ndo wapi huko chifu tuanzie hapa kwanza.
Hahaha hilo litakuwa ni jina la lodge ambayo ipo humu humu JF
 
Habari wanaJamiiForums

Niende kwenye mada. Kuna binti mmoja ambaye nimemtongoza yapata miezi 5 iliyopita, japokuwa alikuwa ananisumbua kidogo jinsi ya kumpata ilibidi nitumie pesa kiasi hapo ndipo alipoanza kulainika na nikamtia mikononi mwangu.

Sasa nimeishi naye yapata miezi 5 bila ya kumuomba mechi ila niliendelea kumuhudumia kama kawaida kwa mahitaji yake. Sasa Jumamosi iliyopita nikatoka naye nje ya mji kidogo kwa matembezi ya hapa na pale, wakati tupo maeneo nikaanza kwa kumchokoza anipe ROMANCE.

Huwezi kuamini binti aliniruka kwa kuniambia hawezi kunipa romance mpaka tukapime kwanza kwa kuwa haamini mtu, nilijitahidi kumbembeleza lakini wapi alinikatalia katakata kunipa romance wala kuutoa mwili wake mpaka tukapime. Tulibishana ikafika muda kila mtu akashika njia yake kuelekea anakokujua yeye. Akaniambia kama sitaki kupima hanipi chochote kila mtu ashike njia zake.

Kinachoniuma amekula hela zangu nyingi halafu ananibania na sio kwamba naogopa kupima ila kwanini anipangie masharti yeye kama nani wakati hela hajawahi kuniambia sitaki nimpe mpaka tukifunga ndoa. Inaniuma sana.

Ushauri wenu wakuu, nifanyeje maana tukienda kupima ninaweza kwenda lakini nahofia siku nyingine atakuja na mada anayotaka yeye niitimize ili niweze kupata kitu fulani

Ahsanteni
Zingati masomo kwanza
 
Huyu binti anajielewa na yupo muwazi. Hongera kwa wazazi waliompa elimu ya kujielewa na kujicontrol.
 
Hivi kupima Bei gani? Acha upuuzi kapime kula utakavyo pimbi wewe
 
Yani wewe Ni bwege kabisa. Yani huoni huyo anakupenda kwa dhati mkuu..
 
una akili gani wewe?? mtu kujali afia yake unauliza ufanyeje?? nendeni mkapime hii ni muhimu sana na sio kwake tu inawezekana hata yeye ameadhirika ukaepuka matatizo yasiyo ya lazima
 
Back
Top Bottom