Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,902
- 3,984
Ndo hivyo mkuu
Ndo hivyo mkuu
Kwanza kabisa hongera kwa kupata binti anaejielewa.Habari wanaJamiiForums
Niende kwenye mada. Kuna binti mmoja ambaye nimemtongoza yapata miezi 5 iliyopita, japokuwa alikuwa ananisumbua kidogo jinsi ya kumpata ilibidi nitumie pesa kiasi hapo ndipo alipoanza kulainika na nikamtia mikononi mwangu.
Sasa nimeishi naye yapata miezi 5 bila ya kumuomba mechi ila niliendelea kumuhudumia kama kawaida kwa mahitaji yake. Sasa Jumamosi iliyopita nikatoka naye nje ya mji kidogo kwa matembezi ya hapa na pale, wakati tupo maeneo nikaanza kwa kumchokoza anipe ROMANCE.
Huwezi kuamini binti aliniruka kwa kuniambia hawezi kunipa romance mpaka tukapime kwanza kwa kuwa haamini mtu, nilijitahidi kumbembeleza lakini wapi alinikatalia katakata kunipa romance wala kuutoa mwili wake mpaka tukapime. Tulibishana ikafika muda kila mtu akashika njia yake kuelekea anakokujua yeye. Akaniambia kama sitaki kupima hanipi chochote kila mtu ashike njia zake.
Kinachoniuma amekula hela zangu nyingi halafu ananibania na sio kwamba naogopa kupima ila kwanini anipangie masharti yeye kama nani wakati hela hajawahi kuniambia sitaki nimpe mpaka tukifunga ndoa. Inaniuma sana.
Ushauri wenu wakuu, nifanyeje maana tukienda kupima ninaweza kwenda lakini nahofia siku nyingine atakuja na mada anayotaka yeye niitimize ili niweze kupata kitu fulani
Ahsanteni
Ama ni yeye jamaa hajiamin, haiwezkan Ashindwe kupima Afya kukosa anachotaka..Jamaa itakuwa Kaungua sijuianataka amuue mtoto wa watu kisa vihela alivyompaaa...
hapaa nimechek sanaatyping error, kunikimbia
sio kwamba naogopa,ila naona binti anataka control kwamba kila atakacho yeye nifanyeMkuu anachoona ni kwamba akitimiza sharti la kupima basi Manzi ndio ataona jamaa ni wa kufuata command zake so baada ya hapo mengine yatayofuata itakuwa manzi ndio dereva.. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Ila mkuu kubali tu uumie ili lengo lako litimie. otherwise piga chini mademu bado wengi
Chuki za kijinga zinakushushia heshima.wee endelea kufuga chuki tuuWasukuma wana tabu kwelikweli
Mi nakuita wewe BOYAHabari wanaJamiiForums
Niende kwenye mada. Kuna binti mmoja ambaye nimemtongoza yapata miezi 5 iliyopita, japokuwa alikuwa ananisumbua kidogo jinsi ya kumpata ilibidi nitumie pesa kiasi hapo ndipo alipoanza kulainika na nikamtia mikononi mwangu.
Sasa nimeishi naye yapata miezi 5 bila ya kumuomba mechi ila niliendelea kumuhudumia kama kawaida kwa mahitaji yake. Sasa Jumamosi iliyopita nikatoka naye nje ya mji kidogo kwa matembezi ya hapa na pale, wakati tupo maeneo nikaanza kwa kumchokoza anipe ROMANCE.
Huwezi kuamini binti aliniruka kwa kuniambia hawezi kunipa romance mpaka tukapime kwanza kwa kuwa haamini mtu, nilijitahidi kumbembeleza lakini wapi alinikatalia katakata kunipa romance wala kuutoa mwili wake mpaka tukapime. Tulibishana ikafika muda kila mtu akashika njia yake kuelekea anakokujua yeye. Akaniambia kama sitaki kupima hanipi chochote kila mtu ashike njia zake.
Kinachoniuma amekula hela zangu nyingi halafu ananibania na sio kwamba naogopa kupima ila kwanini anipangie masharti yeye kama nani wakati hela hajawahi kuniambia sitaki nimpe mpaka tukifunga ndoa. Inaniuma sana.
Ushauri wenu wakuu, nifanyeje maana tukienda kupima ninaweza kwenda lakini nahofia siku nyingine atakuja na mada anayotaka yeye niitimize ili niweze kupata kitu fulani
Ahsanteni
Usichukulie kila kitu serious..Chuki za kijinga zinakushushia heshima.wee endelea kufuga chuki tuu

Kubali ukapime au unaogopa kuja kubainika umesha nasa?Wewe bwege huoni huyo ndio mtu mzuri? Vipi kama yeye ndio ana ngoma hataki kukuambukiza?au wewe unaogopa nini?
Mimi sio mtoa uzi jombaaKubali ukapime au unaogopa kuja kubainika umesha nasa?
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app