Binti wa namna hii unamfanyaje?

Binti wa namna hii unamfanyaje?

Tangu mwaka 2015, niliponea chupuchupu kuambukizwa HIV, tangu mwaka huo sijawahi kupiga show bila kupima.

JALI AFYA YAKO PESA SI KITU KWENYE SUALA LA AFYA

Kwa uandishi wako huu wa maoni ni dhahiri sahiri kuwa unaogopa sana kitu kinachoitwa KIFO
 
Habari wanaJamiiForums

Niende kwenye mada. Kuna binti mmoja ambaye nimemtongoza yapata miezi 5 iliyopita, japokuwa alikuwa ananisumbua kidogo jinsi ya kumpata ilibidi nitumie pesa kiasi hapo ndipo alipoanza kulainika na nikamtia mikononi mwangu.

Sasa nimeishi naye yapata miezi 5 bila ya kumuomba mechi ila niliendelea kumuhudumia kama kawaida kwa mahitaji yake. Sasa Jumamosi iliyopita nikatoka naye nje ya mji kidogo kwa matembezi ya hapa na pale, wakati tupo maeneo nikaanza kwa kumchokoza anipe ROMANCE.

Huwezi kuamini binti aliniruka kwa kuniambia hawezi kunipa romance mpaka tukapime kwanza kwa kuwa haamini mtu, nilijitahidi kumbembeleza lakini wapi alinikatalia katakata kunipa romance wala kuutoa mwili wake mpaka tukapime. Tulibishana ikafika muda kila mtu akashika njia yake kuelekea anakokujua yeye. Akaniambia kama sitaki kupima hanipi chochote kila mtu ashike njia zake.

Kinachoniuma amekula hela zangu nyingi halafu ananibania na sio kwamba naogopa kupima ila kwanini anipangie masharti yeye kama nani wakati hela hajawahi kuniambia sitaki nimpe mpaka tukifunga ndoa. Inaniuma sana.

Ushauri wenu wakuu, nifanyeje maana tukienda kupima ninaweza kwenda lakini nahofia siku nyingine atakuja na mada anayotaka yeye niitimize ili niweze kupata kitu fulani

Ahsanteni
Huoni aibu , mwanaume mzima unamkosa demu kisa unaogopa kupima ngwengwe.
 
AhsanteniHivi siku hizi wanaume wenye uanaume hivi tumepungua kiasi hiki kweli! Kila siku ni vijanaume uchwara kucha kuchwa ni kulialia tu! Nyambafu! Umeambiwa ukapime mayo hiyo ni habari, kwani kupima shingapi? Kapimeni acha kulialia humu ebo!
 
wewe utakuwa una magonjwa mtambuka unataka kumuambukiza mtoto wa watu...nadhani yupo sahihi..kwakuwa amekulia pesa zako basi ndio unamuamini kwa asilimia zote...ebu kuwa kiakili kwanza
 
Habari wanaJamiiForums

Niende kwenye mada. Kuna binti mmoja ambaye nimemtongoza yapata miezi 5 iliyopita, japokuwa alikuwa ananisumbua kidogo jinsi ya kumpata ilibidi nitumie pesa kiasi hapo ndipo alipoanza kulainika na nikamtia mikononi mwangu.

Sasa nimeishi naye yapata miezi 5 bila ya kumuomba mechi ila niliendelea kumuhudumia kama kawaida kwa mahitaji yake. Sasa Jumamosi iliyopita nikatoka naye nje ya mji kidogo kwa matembezi ya hapa na pale, wakati tupo maeneo nikaanza kwa kumchokoza anipe ROMANCE.

Huwezi kuamini binti aliniruka kwa kuniambia hawezi kunipa romance mpaka tukapime kwanza kwa kuwa haamini mtu, nilijitahidi kumbembeleza lakini wapi alinikatalia katakata kunipa romance wala kuutoa mwili wake mpaka tukapime. Tulibishana ikafika muda kila mtu akashika njia yake kuelekea anakokujua yeye. Akaniambia kama sitaki kupima hanipi chochote kila mtu ashike njia zake.

Kinachoniuma amekula hela zangu nyingi halafu ananibania na sio kwamba naogopa kupima ila kwanini anipangie masharti yeye kama nani wakati hela hajawahi kuniambia sitaki nimpe mpaka tukifunga ndoa. Inaniuma sana.

Ushauri wenu wakuu, nifanyeje maana tukienda kupima ninaweza kwenda lakini nahofia siku nyingine atakuja na mada anayotaka yeye niitimize ili niweze kupata kitu fulani

Ahsanteni
Kwanini utaki kupima au unaeneza goma ? Demu kakushitukia
 
Chizi maarifa wewe mtu anakuokoa unaleta ujinga. Kapime
 
Kuwa mpole nenda kapime nae alaf kula mzigo tena ukila piga forinkoko zote yani mpaka usimamie ukucha alaf temana nae asikuletee zengwe shwain kabisa
 
Habari wanaJamiiForums

Niende kwenye mada. Kuna binti mmoja ambaye nimemtongoza yapata miezi 5 iliyopita, japokuwa alikuwa ananisumbua kidogo jinsi ya kumpata ilibidi nitumie pesa kiasi hapo ndipo alipoanza kulainika na nikamtia mikononi mwangu.

Sasa nimeishi naye yapata miezi 5 bila ya kumuomba mechi ila niliendelea kumuhudumia kama kawaida kwa mahitaji yake. Sasa Jumamosi iliyopita nikatoka naye nje ya mji kidogo kwa matembezi ya hapa na pale, wakati tupo maeneo nikaanza kwa kumchokoza anipe ROMANCE.

Huwezi kuamini binti aliniruka kwa kuniambia hawezi kunipa romance mpaka tukapime kwanza kwa kuwa haamini mtu, nilijitahidi kumbembeleza lakini wapi alinikatalia katakata kunipa romance wala kuutoa mwili wake mpaka tukapime. Tulibishana ikafika muda kila mtu akashika njia yake kuelekea anakokujua yeye. Akaniambia kama sitaki kupima hanipi chochote kila mtu ashike njia zake.

Kinachoniuma amekula hela zangu nyingi halafu ananibania na sio kwamba naogopa kupima ila kwanini anipangie masharti yeye kama nani wakati hela hajawahi kuniambia sitaki nimpe mpaka tukifunga ndoa. Inaniuma sana.

Ushauri wenu wakuu, nifanyeje maana tukienda kupima ninaweza kwenda lakini nahofia siku nyingine atakuja na mada anayotaka yeye niitimize ili niweze kupata kitu fulani

Ahsanteni
brother, Sizani kama ingkua rahisi kwa yeye kukataa pesa.. Pesa zinalimit pia, Uez nunua roho ya mtu....Inadhihirisha wazi as anajali Afya yake kulko io pesa unayompaga, mridhishe kwa kupima coz io ndo sababu ya msingi then anglia atkuja na kcngzio gan kingine
 
Jamaa itakuwa Kaungua sijui anataka amuue mtoto wa watu kisa vihela alivyompaaa...
 
Habari wanaJamiiForums

Niende kwenye mada. Kuna binti mmoja ambaye nimemtongoza yapata miezi 5 iliyopita, japokuwa alikuwa ananisumbua kidogo jinsi ya kumpata ilibidi nitumie pesa kiasi hapo ndipo alipoanza kulainika na nikamtia mikononi mwangu.

Sasa nimeishi naye yapata miezi 5 bila ya kumuomba mechi ila niliendelea kumuhudumia kama kawaida kwa mahitaji yake. Sasa Jumamosi iliyopita nikatoka naye nje ya mji kidogo kwa matembezi ya hapa na pale, wakati tupo maeneo nikaanza kwa kumchokoza anipe ROMANCE.

Huwezi kuamini binti aliniruka kwa kuniambia hawezi kunipa romance mpaka tukapime kwanza kwa kuwa haamini mtu, nilijitahidi kumbembeleza lakini wapi alinikatalia katakata kunipa romance wala kuutoa mwili wake mpaka tukapime. Tulibishana ikafika muda kila mtu akashika njia yake kuelekea anakokujua yeye. Akaniambia kama sitaki kupima hanipi chochote kila mtu ashike njia zake.

Kinachoniuma amekula hela zangu nyingi halafu ananibania na sio kwamba naogopa kupima ila kwanini anipangie masharti yeye kama nani wakati hela hajawahi kuniambia sitaki nimpe mpaka tukifunga ndoa. Inaniuma sana.

Ushauri wenu wakuu, nifanyeje maana tukienda kupima ninaweza kwenda lakini nahofia siku nyingine atakuja na mada anayotaka yeye niitimize ili niweze kupata kitu fulani

Ahsanteni
katafute pesa,ngawila,maoney ukishazipata za kutosha wapo wengti ambao hata hawahitaji kupima wapo wenye gono, kaswende UTI, na wengine wana ngoma kabisa watakupigia ucheze nenda nao taratibu
 
Back
Top Bottom