Guevara Jr
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 302
- 816
Pole sana Mkuu. Hakika hilo ni pigo kubwa. Unga juhudi labda anaweza kutia nia
siogopi mkuu ila hela anapenda mzigo anazingua na kwann asiseme siku zote tulipoanza mahusiana aane juzi tuWewe bwege huoni huyo ndio mtu mzuri? Vipi kama yeye ndio ana ngoma hataki kukuambukiza?au wewe unaogopa nini?
typing error, kunikimbia



mkuu nipo serious naumiaPole sana Mkuu. Hakika hilo ni pigo kubwa. Unga juhudi labda anaweza kutia nia
Sijui hata huwa mnawaza nini, hamjifikirii kabisa afya zenu?
First time Me pia nishawahi kumkimbia mtu aisee,
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna kikao cha wanaume wote kasoro mashoga .....leo usiku saa 7 maana uchebe na huyu mleta uzi wamezingua vibayaila wanaume tunaisha asee😂😂
badala ya kumuita mwanamke lodge/geto wewe unamuita NJE YA MJI! kweli?
nje ya mji ndo wapi huko chifu tuanzie hapa kwanza.🤣🤣🤣
nisaidie hiyo mbinu baharia maana naona huko mbele anaweza nigeuka tena akaleta mashauzi mengineKikatiba ya mabaharia mpaka hapo ushafeli!
Hukufanya tathmini vizuri wewe ukawa unampa tu vibunda arifu halafu wahuni wanakupigia kiulaini ..
Piga chini au mtafutie mbinu nyingine aingie kwenye Target then mpige Pumb* la kibabe halafu unabwaga mazima.!
Naelewa sana Mkuu ila kama kuna ulazima wa kuwa na huyo binti basi kapime tu.....Kama vipi unaweza enda mwenyewe kwanza then na yeye baada ya kupata majibu yako. Siku mnatoka kupima na majibu fresh ndo kamwage oil saa hiyohiyomkuu nipo serious naumia
daaaaah itaonekana namtii sana mkuuinaelekea haujali kabisa afya yako, uyo binti anajitambua katoa sababu za msingi, nendeni mkapime alafu akikataa tena ndo uje kulalam
nimekusoma bossKosa la kwanza nikuzindua nyumba kwa sherehe wakati hujaiamia..
Umenielewa