enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,097
- 3,654
Sasa wewe ulitoaje hela nyingi hivyo kabla ya mzigo?siogopi mkuu ila hela anapenda mzigo anazingua na kwann asiseme siku zote tulipoanza mahusiana aane juzi tu
Mi kama demu sijamla mwisho wa kumpa huwa ni buku 5 na hiyo ni kwa demu ambaye nimekamatika beki hazikabi.
Ila kama sijadata sana sitoi hata mia mbovu unless nmekula mzigo.