John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
View attachment 3688338
awa watu wanataka kutufanya tugombane wenyewe kwa wenyewe tusipo kuwa makini...hali ni mbaya sanaHizi ni hila na njama hizi siyo Bure
Mbona mbinu za kizamani sana hizi?John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
View attachment 3688338
Wanatumia nguvu kubwa sana kumuangusha heche na kukiaribu Chamaawa watu wanataka kutufanya tugombane wenyewe kwa wenyewe tusipo kuwa makini...hali ni mbaya sana
Ndiyo wanachokiweza. Nchi imewashinda kuongoza, wamegeuka mafisadi kila sehemu wananchi wanateketea kwa umaskini wao wanachojua ni kuteka, kuua na kutafuta kashfa za bandia za kuwatupia wanaowakosoa. Bila shaka hii ni mipango la Mwingulu baada ya ile clip yake ya kweli anayokoroma kama trekta bovu kuonekena. Anataka kuchakachua aibu.mbogamboga wana mbinu zilezile
Muslim na baadhi ya wahalifu wakiwa kwenye missionHilo vazi wanavaa watu wa dini gani?
Siwaelewi, binti wa msimamo mkali wa kidini halafu anafanya umalaya. Huo umalaya ndo msimamo mkali wa dini yake?John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
View attachment 3688338