Swiper
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 444
- 168
mentor toa kabila, ingawa kwa uelewa wangu makabila yanaruhusu kuoa sehemu na familia moja!! hivyo wewe utaoa huyo mary wako na itakuwa bomba sana kwa koo zote mbili yako na ya Mary. Unajipa hofu tu, au kama unataka kutengeneza Movie!!!!(kamwone Ndauka na Ray) Hii wala siyo kitu cha kuomba ushauri. after next month wewe peleka posa, Mary siyo ndugu yako hivyo wewe oa, watu wanaoa binam!!