Dah, hata mimi mawazo yalienda kulekule kwenye post ya AmKATRINA. Halafu siioni tena sijui imeondolewa!
Anyway, ngoja niende kwenye mada husika. Kwanza inaonekana kama hamkuwa serious sana wewe na huyo mchumba wako Mary. Ilikuwa inatakiwa immeadiately baada ya kufahamu kuwa kaka yako na dada pendo wameanzisha mahusiano na wewe wakati ule ulitakiwa either uongee na kaka yako kuhusu mahusiano yako na mary au wazazi wenu ili muafaka ungepatikana kabla hawajafikia hatua ambayo wamefikia sasa. Ila don't give up kiurahisi hivyo, fanya ufatiliaji kuhusu mila pamoja na mamho ya dini kama yanaruhusu wewe kuoa tena kwenye ukoo huo. Kwa upeo wangu mdogo SIONI TATIZO wewe kuendelea na mary, kama mtoto wa shangazi na mjomba wanaoana sembuse nyie? Embu chukua hatua na ulifanyie utafiti wa kina shirikisha watu wazima walio karibu na familia yako na mary ashirikishe watu wa familia yake. Ikionekana kuna pingamizi then dio muachanane.
Asikwambie mtu kuanzisha mahusiano mapya na mpaka ikafika mahali ukamkubali mwenzako kama wewe kwa mujibu wa maelezo yako ulivyomkubali mary ni NGUMU sana hasa kwa kipindi hiki cha digitali.