Binti Mariam

Binti Mariam

Mkuu
Mentor, umekwisha mpata wa badala ya Mary?

Duh mamii tangu 2013...unafukua makaburi leo!

POLE SANA...ILA NILIWAHI KUSIKIA KUWA INAWEZEKANA KABISA MKAOA SEHEMU MOJA NA KAKA YAKO...SIJUI KWENYE MILA YENU

Mila zetu ni za kichagga...vipi hapo!??

Mi ninaye fahamu hilo,,mi lilinitokea nikaamua kuowa tu na Leo tunaishi ,,Hapo uamuzi ni kwenu,,Sometime unatikiwa uwe wrong kwenye chaguzi sahihi,Ukiamgalia kwamba wewe hutakuwa wa kwanza,duniani nilipiga mimba nikasema bahati mbaya kwa ndugu lakini Leo ndio mke sahihi wa maisha yangu na tunapendana,, na Leo siishi maisha yangu ya zamani yaani leaving my dream life,,coz we know each other since ,,Childhood,, mpaka Leo 30+,,,

Nadhani wewe ilikuwa rahisi maana sasa ulisham-mimba wangefanyaje. Ungejaribu kupeleka posa kabla ya mimba unadhani wangekubali kirahisi mkuu?

Pole sana Kaka

Nishapoa zamani mkuu na kuokoteza maumivu mapya...

Kaoe acha ushamba wasukuma nyie vipi?? Hakuna zuio la mtu kumuoa shemeji yake! Kikwetu shemeji yako ata kama siyo kuoa ukiomba mzigo huwezi nyimwa. Oa acha umami wa kisukuma.

Cc: RRONDO, Nyani Ngabu, Ng'azagala mwallu simiyu Simiyu Yetu shinyanga1 Baricky mgaya
 
Back
Top Bottom