Binti Anayedai kubakwa na Kapuya

Binti Anayedai kubakwa na Kapuya

Hizi njaa zitawafanya mpaka muwauze wazazi wenu kama si ninyi wenyewe kuuzwa. Kwa shilingi ngapi ulizopewa hadi kukurupuka na uharo huu?

Nenda kafie mbele huko

Huuu unaitwa wivu wa kuku mbona mtu anapoongea ukweli unaona amepewa buku saba wewe umepewa buku ngapi? DJ wa mbowe hotel
 
Kwa taarifa za aliyeleta hii mada kapuya mwenyewe alikubali kuwa alilala naye. Unajua ukilala na mtoto chini ya umri wa miaka 18 hata kama alikukubalia, unakuwa umembaka kwani bado ni minor. Kwanini wanaume msisubiri hadi mtoto afikie umri wa kujitolea maamumuzi mwenyewe ndipo ulale naye? Hapa babu kabaka utake usitake! Mwenyewe kakubali! Sasa wewe unamtetea vipi!!!! Huyo rafiki yako hana akili. Kama binti alimwambia yeye ni yatima alikuwa anachukua advantage ya kumsaidia ili alale naye? Kwa nini alilala naye?? Ashukuru Mungu angekuwa lupango sasa!! Men Be on guard all the time!!!!
Wanajamvi, nimefanya utafiti wakina kuhusu huyu binti. Kisa cha kufanya utafiti huu ni baada ya kuona maelezo yanayotolewa humu jamvini kuhusu huyu yanafanana kabisa na binti aliyemsumbua sana rafiki yangu mwaka jana. Nimefikia hata hatua ya kuuliza huyo binti umbo lake likoje.

Binti huyu aliwahi kuishi nyumba ya familia ya rafiki yangu mwaka 2011. Ni binti mwembamba na mweusi. Jina alilotumia ni Amina. Na alisema ni mtoto yatima na ansoma Sekondari huko Songea. Rafiki yangu alimpeleka hadi nyumbani kwa mama yake Kigamboni. Akidhani anamsaidia mtoto yatima. Binafsi nimewahi kumkuta pale nyumbani kwa mama wa rafiki yangu na katika maelezo yake alisema kuna mtu yupo jela kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kumbaka.

Wanajamvi, huyu binti alileta sokomoko pale Kigamboni kwa mama wa rafiki yangu, na details zake zipo polisi kigamboni, central na polisi Chang'ombe.

Ni binti hatari. Ana mtoto mmoja na anamume. Kama siyo mumewe kujakutoa ushahidi mahakamani, basi rafiki yangu angefungwa.
Kosa alilofanya rafiki yangu ni kulala na huyo binti. Hivyo basi kwakuwa Kapuya kalala naye basi kazi kwake.

Pale central police anafahamika kwani alishamtapeli hata mama Salma Kikwete. Yaani, Kapuya ajitahidi ampeleke tu pale Central Police basi kesi itaisha.

Kwakuwa binti mwenyewe ni huyu, basi hili jambo tulipe muda tu ukweli utajulikana muda mfupi. Mwisho naomba vyombo vya kutetea haki za binadamu, visaidie baada ya ukweli ukiwa wazi, basi wafuatilie yule aliyefungwa kwa kosa la kumbaka huyu binti atakuwa alionewa tu. Jamani binti huyu ni hatari, mengi sikutaka yaweka wazi ili nisimvue nguo rafiki yangu. Ila ushahidi ukihitajika nipo tayari kumleta huyu aliyesumbuliwa na binti huyu tapeli.
 
Cha kujiuliza hapa ni kwanini Tanzania daima wameachana na hii story...
 
Tapeli huwa hatumii jina moja, hata Shigongo naye ametapeliwa na binti huyo huyo akitumia majina tofauti

Mmmmh naye bwana magazeti alikula mzigo???!!!!
Maana inaonesha yeye anatapeli kwa maumbile yake ya kike as per other stories!!!!!!
Alivytapeliwa akakaa kimya licha ya kuwa na.uwezo wa kutoa tahadhari kwa jamii au ali conspire???!!!

Kuweni makini na majina ya watu,mtawachafua!!!!!
 
Pesa zinauza utu jamaa anatetea kwa udi na uvumba kisa shiling tatu alizopewa na Kapuya lol huoni ata huruma kwa binti yatima kama huyu si bure wewe pia ni m“bakaji kama Kapuya
 
Kumbe ndo wale wale wazee wa ukanda lazima ukatae kwani kwako ndiyo sio na sio sio. Wazee wa matukio ninyi vipi? Shoga wa Arusha

Trailling in Kapuya's course huh..!! what a shame..!
 
waliotapeliwa kwa nini wasiripoti polisi? je mke wa mtu hawezi kubakwa? je unafahamu kua msichana wa miaka chini ya kumi na nane hata akiridhia kisheria ni amebakwa statutory rape, na what is to be proved is that there z penetration and mwenye umri zaidi ya miaka 17 she only has to prove that there was no consent, and there z also attempt rape am not intend to condemn no body, but bare it in mind that our law is not impotent, sexual offense special provision act is very certain
 
Wanajamvi, nimefanya utafiti wakina kuhusu huyu binti. Kisa cha kufanya utafiti huu ni baada ya kuona maelezo yanayotolewa humu jamvini kuhusu huyu yanafanana kabisa na binti aliyemsumbua sana rafiki yangu mwaka jana. Nimefikia hata hatua ya kuuliza huyo binti umbo lake likoje.

Binti huyu aliwahi kuishi nyumba ya familia ya rafiki yangu mwaka 2011. Ni binti mwembamba na mweusi. Jina alilotumia ni Amina. Na alisema ni mtoto yatima na ansoma Sekondari huko Songea. Rafiki yangu alimpeleka hadi nyumbani kwa mama yake Kigamboni. Akidhani anamsaidia mtoto yatima. Binafsi nimewahi kumkuta pale nyumbani kwa mama wa rafiki yangu na katika maelezo yake alisema kuna mtu yupo jela kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kumbaka.

Wanajamvi, huyu binti alileta sokomoko pale Kigamboni kwa mama wa rafiki yangu, na details zake zipo polisi kigamboni, central na polisi Chang'ombe.

Ni binti hatari. Ana mtoto mmoja na anamume. Kama siyo mumewe kujakutoa ushahidi mahakamani, basi rafiki yangu angefungwa.
Kosa alilofanya rafiki yangu ni kulala na huyo binti. Hivyo basi kwakuwa Kapuya kalala naye basi kazi kwake.

Pale central police anafahamika kwani alishamtapeli hata mama Salma Kikwete. Yaani, Kapuya ajitahidi ampeleke tu pale Central Police basi kesi itaisha.

Kwakuwa binti mwenyewe ni huyu, basi hili jambo tulipe muda tu ukweli utajulikana muda mfupi. Mwisho naomba vyombo vya kutetea haki za binadamu, visaidie baada ya ukweli ukiwa wazi, basi wafuatilie yule aliyefungwa kwa kosa la kumbaka huyu binti atakuwa alionewa tu. Jamani binti huyu ni hatari, mengi sikutaka yaweka wazi ili nisimvue nguo rafiki yangu. Ila ushahidi ukihitajika nipo tayari kumleta huyu aliyesumbuliwa na binti huyu tapeli.

Wewe tutolee upumba wako hapa chizi mkubwa wewe, na mtaumbuka tu
 
Niliwaambia mapema sana kwamba there is something fishy hapa. Ndiojl jamaa ni fusika mkubwa lakini alikuwa amenaswa kwenye mtego wa tapeli aliyekubuhu
Pesa akipewa anachukua mkwanja umekata nimebakwa ....!
 
Baada ya utafiti wako huo fake nani anaekulipa! Nchi hii ina mabwege wengi.

Nchaby inaelekea ww ni bingwa wa kuhukumu kwa kusikia unaposema nchi hii ina mabwege wengi je? Wewe nawe ----- maana upo ndani ya nchi hii. Bac naona anaekulisha maneno ili uandike me nasema ni TUTUSA
 
Cha kujiuliza hapa ni kwanini Tanzania daima wameachana na hii story...

Cha kujiuliza pia ni kwa nini mpaka sasa hautujui kesi imefunguliwa wapi lini na.mahakama gani na japo namba. Halafu baada ya kuachana nayo kwa nini kina mama na taasisi zao hawajanyanyua ukope!!!!!
 
Pesa zinauza utu jamaa anatetea kwa udi na uvumba kisa shiling tatu alizopewa na Kapuya lol huoni ata huruma kwa binti yatima kama huyu si bure wewe pia ni m“bakaji kama Kapuya

Njaa ni mbaya sana ikipanda kichwani.... kuna mijitu imeingia hapa inamtetea mbakaji KAPUYA hadi inakata viuno..... hawana tofauti na punda wa sembe..
 
yale yaliyoandikwa na Tanzania daima ni ukweli mtupu ila kinachotokea hapa ni muendelezo wa ukoo wa panya ni full kulindani.....nachoshukuru hukumu halali ipo hapa hapa dunia na sio jela

"hakuna mwisho wa dunia bali kufa kwako wewe ndiyo mwisho wako wa dunia"
 
Njaa ni mbaya sana ikipanda kichwani.... kuna mijitu imeingia hapa inamtetea mbakaji KAPUYA hadi inakata viuno..... hawana tofauti na punda wa sembe..

Yaani Mkuu
mijitu kama hii inakera sana ila naamini nyonyoni mwao hawa watetezi wa kapuya nafsi zao zinakiri na kuwasuta

Mwisho wa siku ukweli utabaki pale pale kapuya ni m“bakaji
 
Mmmmh naye bwana magazeti alikula mzigo???!!!!
Maana inaonesha yeye anatapeli kwa maumbile yake ya kike as per other stories!!!!!!
Alivytapeliwa akakaa kimya licha ya kuwa na.uwezo wa kutoa tahadhari kwa jamii au ali conspire???!!!

Kuweni makini na majina ya watu,mtawachafua!!!!!

Mama salma Kikwete kupitia taasisi yake ya WAMA naye amewahi kutapeliwa na mtu huyu huyu akitumia majina tofauti
 
Ila huyu mzee nilikuwa namuamini sana kumbe mbakaji tu? atakuwa amebaka maranyingi sana ila amebainika mara moja.......
 
Mama salma Kikwete kupitia taasisi yake ya WAMA naye amewahi kutapeliwa na mtu huyu huyu akitumia majina tofauti

Taasisi makini kama hiyo inapotapeliwa na tapeli kuachiwa aendelee tu kuumiza wengine wewe haifikirishi ubongo wako!!!!!!?????

Kesi iliendeshwa mahakama gani,ilifunguliwa lini na hukumu ilikuwaje!!!!?????

Majina ya watu na taasisi yasitumike bila kuwa na taarifa kamili!!!!!!!
 
mungu wangu wee baba mt mzima anagegedwa?
anagombana na mamake wa kambo ajili hatak kujitegemea? uh hii ni hasara kwa wazaz,wacha ninyamaze.. make dadake ni rafk yangu!
 
Kapuya kwa kumtishia kumuua hilo ni kosa la jinai. Pia Kapuya hana moral authority kwakuwa atakuwa alitembea naye. Ila ninachosema huyu binti Amina siyo mwanafunzi, na hana miaka 16. Ni mtu mzima na ameolewa na wanamtoto mmoja. Sasa ninachoshindwa kuelewa huyo mume huwa anayachukuliaje haya matukio ya huyu mke? Ila kwenye kesi ya rafiki yangu, huyu mme alitusaidia sana maana alijileta mwenyewe mahakamani kutoa ushahidi.
Mbona unatokwa povu wakati hata hakujapambazuka wakati unaandika hii mambo! Dah, unatumia nguvu mpaka aibuu
 
Yaani Mkuu
mijitu kama hii inakera sana ila naamini nyonyoni mwao hawa watetezi wa kapuya nafsi zao zinakiri na kuwasuta

Mwisho wa siku ukweli utabaki pale pale kapuya ni m“bakaji

Hawa wajinga mioyo yao imetiwa ganzi kutokana na tamaa za pesa, hawana utu tena. wamebaki kuwa binadamu tu..
 
Back
Top Bottom