TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,297
- 28,006
Tanzania inavibweka vingi ambavyo tunaanza kuvizoea ....hivi mnakubuka issue ya Ditopile (R.I.P) kuua iliishaje...?
Umemaliza, nenda kapate buku zako 7 kiroho safi kabisa!
Mkuu asante kwa kututahadhalisha, ila naomba rejea stori nzima ili ujue jinsi alivyomfahamu mheshimiwa, nadhani hakuokotwa mitaani bali kuna watu maalumu walimtambulisha kuomba msaada kumbe kuna wahusika wengi ambao wanaweza kutusaidia kumuelezea huyu binti hatari. Mazingira ya huyo rafiki yako kidogo ni tofauti maana yy alikutana naye mitaani tu. Ila nakubaliana nawe kwamba inatubidi tujihadhali sana nyakati hizi katika kutoa misaada, kama tunatoa basi isiwe na masharti ya urafiki wa kudumu, msaidie mara moja na mwache atafute kwingine na hata usichuku namba ya ke ya simu.Wanajamvi, nimefanya utafiti wakina kuhusu huyu binti. Kisa cha kufanya utafiti huu ni baada ya kuona maelezo yanayotolewa humu jamvini kuhusu huyu yanafanana kabisa na binti aliyemsumbua sana rafiki yangu mwaka jana. Nimefikia hata hatua ya kuuliza huyo binti umbo lake likoje.
Binti huyu aliwahi kuishi nyumba ya familia ya rafiki yangu mwaka 2011. Ni binti mwembamba na mweusi. Jina alilotumia ni Amina. Na alisema ni mtoto yatima na ansoma Sekondari huko Songea. Rafiki yangu alimpeleka hadi nyumbani kwa mama yake Kigamboni. Akidhani anamsaidia mtoto yatima. Binafsi nimewahi kumkuta pale nyumbani kwa mama wa rafiki yangu na katika maelezo yake alisema kuna mtu yupo jela kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kumbaka.
Wanajamvi, huyu binti alileta sokomoko pale Kigamboni kwa mama wa rafiki yangu, na details zake zipo polisi kigamboni, central na polisi Chang'ombe.
Ni binti hatari. Ana mtoto mmoja na anamume. Kama siyo mumewe kujakutoa ushahidi mahakamani, basi rafiki yangu angefungwa.
Kosa alilofanya rafiki yangu ni kulala na huyo binti. Hivyo basi kwakuwa Kapuya kalala naye basi kazi kwake.
Pale central police anafahamika kwani alishamtapeli hata mama Salma Kikwete. Yaani, Kapuya ajitahidi ampeleke tu pale Central Police basi kesi itaisha.
Kwakuwa binti mwenyewe ni huyu, basi hili jambo tulipe muda tu ukweli utajulikana muda mfupi. Mwisho naomba vyombo vya kutetea haki za binadamu, visaidie baada ya ukweli ukiwa wazi, basi wafuatilie yule aliyefungwa kwa kosa la kumbaka huyu binti atakuwa alionewa tu. Jamani binti huyu ni hatari, mengi sikutaka yaweka wazi ili nisimvue nguo rafiki yangu. Ila ushahidi ukihitajika nipo tayari kumleta huyu aliyesumbuliwa na binti huyu tapeli.
Wanajamvi, nimefanya utafiti wakina kuhusu huyu binti. Kisa cha kufanya utafiti huu ni baada ya kuona maelezo yanayotolewa humu jamvini kuhusu huyu yanafanana kabisa na binti aliyemsumbua sana rafiki yangu mwaka jana. Nimefikia hata hatua ya kuuliza huyo binti umbo lake likoje.

Your name is Incredible, (very difficult to believe) hivyo sishangai kwa ww kutoamini kama huyo the Prrroooofesa katenda aliyotenda!
wewe unaamini jambazi anaweza kupewa M50 ili akamuue mtu ;halafu akishafika kwa mlengwa aanze kujitambulisha? "mm ni jambazi nimetumwa kuja kukuua na mtu fulani"
Kapuya kabaka na kaambukiza UKIMWI. Shut up...watu wachache sana wana akili kwenye hii forum. kwa kweli, kwa akili kama hayo bado sana kupata maendeleo nchi hii. For your information,mwandishi wa Tanzania Daima hata kuona huyo binti hajamuona.story yake ni udako. hajamuona jamani. Endeleeni kupiga fofofofofofofo...........open your minds.some of us are smart enough enough to read between the lines.wacheni ujinga.Nobody needs Kapuya's money but the truth must be told.Tuache siasa za kijinga.lets be mature. Story ilitoka kwanza gazeti la Dira. wacheni kuropoka.huyo si binti. ni mwanamke mwenye umri wa mwaka 21. ana watoto mapacha. You will make rubbish noise till Jesus comes back.
Kapuya kwa kumtishia kumuua hilo ni kosa la jinai. Pia Kapuya hana moral authority kwakuwa atakuwa alitembea naye. Ila ninachosema huyu binti Amina siyo mwanafunzi, na hana miaka 16. Ni mtu mzima na ameolewa na wanamtoto mmoja. Sasa ninachoshindwa kuelewa huyo mume huwa anayachukuliaje haya matukio ya huyu mke? Ila kwenye kesi ya rafiki yangu, huyu mme alitusaidia sana maana alijileta mwenyewe mahakamani kutoa ushahidi.
Jina alilotumia kwenye familia husika ni Amina. Yawezekana anatumia majina mengi. Katika maelezo yake, mimi ninachoweza amini ni jambo moja kwamba Kapuya alitembea naye. Kisa cha kuamini hivi nikwasababu hata rafiki yangu alikuwa ametembea naye. Cha ajabu ni mwanamke ambaye hana mvuto hata kidogo hata sijui wanaume wenzangu wanafuta nini mle.
Ninachobisha mimi nikusema kwamba yeye ni mwanafunzi na ana umri wa miaka 16. Mimi nimemwona mwaka 2011 nyumbani kwao rafiki na alisema yupo form six. Je imekuwaje umri kurudi nyuma?