Binti akiri kutembea na wanaume 5,000

Wewe unayesama wachaga 1000 unabuni. wachaga si malaya. Zungumzia wakina nanii.
 
wengine wanapitisha watatu tu inakuwa kama skrepa....ila yake nadhani itakuwa zile unique ina super power ndio maana hao wanaume waliomptia walifurahia....:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
5x20x12=1,200x4=5,000

Inawezekana kabisa, tena wengine ni zaidi ya huyo. Kuna wanawake wanaweka vibatari nje ya nyumba wateja huwa wanajipanga mpaka kumi na zaidi kwa siku, biashara ikiwa mbaya ni watano kwa siku.

fanya anafanya kazi kwa siku 20 kwa mwezi x wateja watano tu, zidisha mara 12 kwa mwaka, kwa miaka 4 ni wateja 5,000 na wapo wengine wapo kwenye hiyo biashara kwa miaka 20. Utajaza mwenyewe.

Halwa haina makombo.
 
Miaka 26 x 365 = siku 9,490
Amefanya mapenzi na wanaume 5,000. Kwa wastani toka siku ya kwanza azaliwe kila baada ya siku 1.9 amefanya mapenzi na mwanaume 1(kama sijakosea)
Huyu kiboko...

Mkuu hayo maesabu yenu ndio mnatuharibia nchi yetu
Watu wana kanyaga hadi watu watano kwa siku, Bao buku 10
Hayo mahesabu yenu ndio mnaishia uchumu unakua wakati wananchi wanakufa njaa
 
...halafu mnasema mungua hana upendeleo?jamaa fuluna namfahamu alikuwa kwa ukimwi wakati hakufikisha hata mademu 10 maisha yake yote
 
Sidhani na siamini; labda ndotoni.
inawezekana. kama unavyoona hiyo imetokea ulaya. ulaya kuna wanawake wanafanya hiyo kama biashara. kwa siku anaweza akatembea na wanaume hadi wa nne au zaidi. Kuna dada mmoja alikuwa jirani yangu alikuwa mara nyingi nilidhani anaingiza watatu kwa siku. nilikuwa nafanya kazi kuanzia midnight hadi asubuhi siku moja nikatoka kazini mapema nafika mlangoni kwangu namuona anamtoa mwanaume mwingine ambaye ni wa nne niliyomshuhudia. nilidhani ni watatu kumbe zaidi. nilishangaa sana, lakini siku hizi sishangai tena. Yaani usishangae kabisa.
 
4/day x 7days = 28
28 x 4wks(1month) = 112
112 x 12months = 1344/ year
OR
28 x 52wks = 1456/year

Hence 5000 means 3 years and 6 months
So kwa aliye katika biashara kwa miaka kumi is likely for bigger figure
 
Ndahani siamini kuwa ni wewe umepost hapa! Kidole kimefanya nini? wamefika 30 sio 32

Erotica, so sorry vidole viliteleza wakati naandika...namba sahihi ni 29. Na ni rahisi kuhesabu kwa vidole...imagine uhesabu kwa vidole 5000!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom