Tetesi: Binti aitwaye Farida ametekwa

Tetesi: Binti aitwaye Farida ametekwa

Screenshot_20250927_084055_Instagram.jpg

Utaishauri nini familia ya huyu binti ikuelewe isiingie barabarani kudai haki?
 
Unaomba? Huu ndo ujinga wa watu mnaosubiri kuandamana hadi tarehe 29 kwanini watu wasiandamane sahivi? alafu unasema unaomba wasimbake nyie ndo wale mijitu mioga iliyojaa mtandaoni mnapiga mikwara ila yakiitishwa maandamano hamtoki sasa hata wakimfanya chochote kati ya hayo uliyoyasema utafanya nini? Kama kuandamana huwezi?

Mdude kapotea, soka kapotea ila tayari mmeshawasahau na ni juzi tu, kama kweli nia ya maandamano ipo ilitakiwa ianze sasa laa sivyo ukijijua huna ujasiri wa kujitoa kuandamana na mtandaoni kaa kimya laa sivyo mwisho wako unaweza kuwa kama huo wa kutekwa na hamna mtu atakaetoka kuandamana kwaajili yako kwasababu mitandaoni wamejaa wanafikiki hawawezi kuandamana hata hatua 10 kwaajili yako, wako kwaajili ya kutafuta comments na likes.

Na mkiendelea na unyumbu huu mwisho wenu wote utaishia kutekwa laa sivyo muandamane sasa hivi bila kuogopa chochote
Tukiwa weng itakua poa sana tukupitie wapi sisi tunatokea bagamoyo road
 
Nitoe ushauri tu hata kama hamtaki kushauriwa.

Ukitaka kufanya au kwenda kinyume na WATAWALA.. kwa kutumia TECHNOLOGY hasa social media etc basi hakikisha unakuwa ANONYMOUS. sasa ww ni mwanaharakati wa mtandaoni ila bado umejipost mara uweke namba za simu hapo hapo.. unategemea nini?

Sometimes wazee wa Spana mtumie akili..
Pengine wewe ndiye hasa unatakiwa kutumia akili. Kukosoa utawala ni haki ya kila mwananchi, havunji sheria ndiyo maana anaona hakuna haja ya kujificha. Wanaonyemelea na kuteka ndiyo wanavunja sheria kwa sababu wanajificha. Zile zama za kuogopa zimepita.
 
Unaomba? Huu ndo ujinga wa watu mnaosubiri kuandamana hadi tarehe 29 kwanini watu wasiandamane sahivi? alafu unasema unaomba wasimbake nyie ndo wale mijitu mioga iliyojaa mtandaoni mnapiga mikwara ila yakiitishwa maandamano hamtoki sasa hata wakimfanya chochote kati ya hayo uliyoyasema utafanya nini? Kama kuandamana huwezi?

Mdude kapotea, soka kapotea ila tayari mmeshawasahau na ni juzi tu, kama kweli nia ya maandamano ipo ilitakiwa ianze sasa laa sivyo ukijijua huna ujasiri wa kujitoa kuandamana na mtandaoni kaa kimya laa sivyo mwisho wako unaweza kuwa kama huo wa kutekwa na hamna mtu atakaetoka kuandamana kwaajili yako kwasababu mitandaoni wamejaa wanafikiki hawawezi kuandamana hata hatua 10 kwaajili yako, wako kwaajili ya kutafuta comments na likes.

Na mkiendelea na unyumbu huu mwisho wenu wote utaishia kutekwa laa sivyo muandamane sasa hivi bila kuogopa chochote
Naanza kukuelewa.
 
Kwa wanaomfuatilia alikua anahamasisha maandamo na pia alikua anaikosoa serikali, binti mdogo sana huyu sijui atarudi au ndio basi tena

KAMA MNASOMA HII MLIENAE HUYU BINTI TUNAOMBA MSIJE MKAMBAKA TUU NA KUMUINGILIA KINYUME NA MAUMBILE HUKU MKIMREKODI MAANA TUNASIKIA NDIO MICHEZO YENU.
Rostam azizi anajua alipo huyo msichana....wakristo mtamalizwa na hao washenzi wa misikitini niliwaambia akina mwamposa na sampori zake wametengenezwa kuwapotezea wakristo muda na kuwafanya watupwe nje ya serikali ndiyo maana majuzi huyo muhuni mwamposa katoa mafundisho ya kuponda wakristo kuangaika na ajira za serikali akidai ni kupoteza muda na kutotumia akili ...swali mbona Rostam azizi na tajiri wake wote yupo tayari hata kuwa diwani wa ccm au mkuu wa wilaya ? Anaweza kutuambia sababu ni nini ?
 
Ntawaambia tena watoto wa maskini wenzangu........ Ukiona umeanza uanaharakati wa kisiasa na ghafla umeanza kupata milege na Tsh kadhaa kutoka kwa wanaharakati wakubwa kama Maria na wenzake......

Ndugu kifo ki karibu yako kuliko wanaharakati.

Dola na nguvu havitengamani, madaraka ni matamu sana kuyaachia kwa sababu tu muuza nguo anataka CHADEMA iingie madarakani.

Siasa Tz bado haijafikia kiwango cha kuwatoa watanzania ndani waliopo wote ni product domant za chama tawala ikiwemo alieko ndani.

Choose wisely.
 
Hiyo kupiga spana umeiweka vibaya inakua kama mtu anasema uongo, sema SEMA UKWELI WAKO HALAFU TULIA, halafu mwanaume unakuaje muoga hivyo unazidiwa hadi na wanawake? Kama wewe umeshindwa kaa nyumban oga utakate ukae kwenye sofa upake na manukato halafu subiri usaidiwe na watoto wa kike.
Haya... Mkuu.
 
Pengine wewe ndiye hasa unatakiwa kutumia akili. Kukosoa utawala ni haki ya kila mwananchi, havunji sheria ndiyo maana anaona hakuna haja ya kujificha. Wanaonyemelea na kuteka ndiyo wanavunja sheria kwa sababu wanajificha. Zile zama za kuogopa zimepita.
Sawa..

Remember: Nyerere alitumia njia gani kudai uhuru.., Mandela na wapigania uhuru wenzie tumewapa makazi hapa Tanzania wakafanya mipango yao huku.

Uzuri hata hao WATAWALA wenu wanawajua hamna Akili. Na watawabeba kama Kuku mpk muishe.
 
Nchi inaongozwa na viongizi wenye akili ndogo sana sasa uyo mtoto anamadhara gan adi watumie kodi zetu kwenda kumteka ayo ndo ukisikia matumizi mabaya ya kodi za wananchi
 
Unaomba? Huu ndo ujinga wa watu mnaosubiri kuandamana hadi tarehe 29 kwanini watu wasiandamane sahivi? alafu unasema unaomba wasimbake nyie ndo wale mijitu mioga iliyojaa mtandaoni mnapiga mikwara ila yakiitishwa maandamano hamtoki sasa hata wakimfanya chochote kati ya hayo uliyoyasema utafanya nini? Kama kuandamana huwezi?

Mdude kapotea, soka kapotea ila tayari mmeshawasahau na ni juzi tu, kama kweli nia ya maandamano ipo ilitakiwa ianze sasa laa sivyo ukijijua huna ujasiri wa kujitoa kuandamana na mtandaoni kaa kimya laa sivyo mwisho wako unaweza kuwa kama huo wa kutekwa na hamna mtu atakaetoka kuandamana kwaajili yako kwasababu mitandaoni wamejaa wanafikiki hawawezi kuandamana hata hatua 10 kwaajili yako, wako kwaajili ya kutafuta comments na likes.

Na mkiendelea na unyumbu huu mwisho wenu wote utaishia kutekwa laa sivyo muandamane sasa hivi bila kuogopa chochote
Tegemea matusi tu hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom