Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,493
- 11,570
Yasivyokuwa na akili wala aibu hilo ndio la kwanza yatakalokuwa yamemfanyia huyo binti.Wasje wakambaka tu aisee
Kama hayo ''mapolisi' yako tayari kuuwa ili mtu mwingine abaki madarakani, ni dhahiri kubaka liakuwa jambo dogo sana kwao.