Binti afia gesti,Kinondoni!!!

Maelezo ya mhudumu yana walakini, from my point of view.. Eti nilikuta mlango wazi, nikamuita, hakuitika, nikachungulia, nikaona amelala, nikajaribu kumuamsha, hakuamka, nikawaita wenzangu, tukampepea n.k..

Kama kweli hoja yake ni kurudishia tu mlango, kwa nini hakuurudishia tu mpaka akaamua kwenda kumuamsha?

Kuna kitu anaficha huyu, si bure... RIP marehemu
 
Duuuuh kama ni hivyo wengi tutakwisha, yaani toto lile linivyoliona kwenye picha ile globalpublishers limeathirika!

Kweli kipimo cha macho ni feki kupindukia!
 
ndo hivyo man chukua tahadhari na kuwa makini sana na hali ilivyo!
Duuuuh kama ni hivyo wengi tutakwisha, yaani toto lile linivyoliona kwenye picha ile globalpublishers limeathirika! Kweli kipimo cha macho ni feki kupindukia!
 
mwanafunzi huyu kumbe alikua ni mwathirika man!!inasikitisha sana
 
Kumbe na gesti alilipia yeye.....amejitahidi kurefusha maisha ikashindikana, rest in peace dada....
...Huenda binti ugwadu ulimzidi nguvu mpaka kulipia chumba mwenyewe na hali aliyokuwa nayo ya kujiuguza na ma-ARV juu akaona bora na yeye apate mambo mambo kweli hii kitu ni kiboko kabisa!!...
 
Inaelekea kuna a serial killer kwenye hiyo guest,watauliwa wengi isipochukuliwa kwa umakini , uchunguzi wa police unasemaje kuhusu huo mwili ulikua na majeraha yeyete ? wakisha ona mtyu kafa guest basi hawachunguzi wala hawafuatilii sababu wamesha hukumu ni malaya. Halafu hii tabia ya kuandika medical info za watu kwenye magazeti ni maadili gani ya uandishi na huyo police aliye toa taarifa naye maadili gani ya kipolice hayo?
 
aisee inasikitisha ila kiukweli inabidi tuchukue tahadhari juu ya hili maana ufie guest eti watoto wako wanaambiwa baba yenu kafia guest tena alikua na mwanafunzi mwathirika sijui watasemaje na mkeo pia!hata ndugu zako na marafiki pia wanaokujua
Hapana nadhani rahi zilizidi akaenda kuzimu moja kwa moja...sijui angepigwa kavu angesikia raha zaidi?
 

Saa 10 hadi saa 1 usiku.
Mpira mmoja umetumika.
Binti ni muathirika.
Binti kakutwa amekufa
Tafakari.....!!!!
 
hahaaaaaa ukiwa kwenye lile tendo hata kama mtu ana ngoma hakiyanani kama ni mdhaifu utaangukia tu kulila tunda lile kavukavu jamaa yawezekana kabisa alipiga moja na condom then mengine akapiga kavu then akagundua kaua na ina maana huyu mzee hivyo vyeti vya madawa ya kuongeza siku hakuviona??au wote walikua waathirika!
Saa 10 hadi saa 1 usiku.
Mpira mmoja umetumika.
Binti ni muathirika.
Binti kakutwa amekufa
Tafakari.....!!!!
 
Inabidi kufanya uchunguzi wa kina, huyo jamaa atafutwe na afanyiwe uchunguzi, kama majuzi ndo mtu katoka mbio na nguo mkononi, hili lathibitisha huyu jamaa maumbile yake ni oversize
 
Miaka 25-30 bado anaitwa mwanafunzi, msichana! Sasa uanafunzi wake ni wa wapi iwapo alimaliza 1999? Huyo ni kahaba tu, hata gesti alilipa yeye! Halafu Amina Ramadhan si anatakiwa azikwe haraka haraka siku hiyo hiyo alipokufa?

Siku hizi makahaba wanatembea na vitambulisho vya shule ili wewe mteja ukiona kitambulisha unajua ni denti eti upo salama kumbe unauawa. kwa hiyo huyo mwanamke hakuwa denti ila ni super kahaba.

Pia kwa sasa kuna jamaa wengine wanaongeza maumbile ya uume zao na kusukumiza hadi ndani ya kizazi - ni hatari sana - Dada zetu mjiangalie - mtu ana nchi 12 urefu na upanda nchi mbili na nusu lazima akuue tu.

Madactari wampime wanaweza wakaona ndani vitu vimepata ajali ndani ya kizazi - kuna midume haina akili kabisa. miuaji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…