Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,588
- 188,805
Au sukali.lafiki.lula(rula)yani ni upuuzi uliopitiliza..huwa natamani kumlamba mtu vibao mfululizo wa kwenye mashavuYeye mwenyewe hana adabu ya maandishi yake halafu anakerekwa na uandishi wa wengine
Ila wanaoandika xaxa,mologolo,mlembo wanakera kinyama
Ni kweli hata mimi zamani nilikua naandika vifupi. Kuna siku nilikua nasoma chat zangu za zaman nikawa nashangaa huo mwandiko wangu eti 2o8 badala ya tuonane, hapo bado Internet slangNi ujana kila mmoja anapitia,siku wakiwa Watu wazima wataacha au wewe hukupita katika hatua hiyo?
Sounds like slay queens wengi ndio wana hizo mambo. Hiyo ni sign kwamba no maturity kwa huyo manziMada juu yahusika.
Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni.
Mara xax, Xmas, meme, ko n.k
Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika.
Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni?
Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na wanaume 4 kwa wakati mmoja.
Wewe mbona umeandika “mademu”
Nafikiri na wewe Uko kwenye levo hiyo hiyo ya hawo waandikao xaxa,ko,ndo,kabixa
Bora hata umuambie lol,Mkuu sio kosa lako, ukiona hivyo ujue umri unakutupa mkono.
Hizo wao kwa sasa ndio swaga zao, kikubwa tafuta wakubwa wenzio achana na hao watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ko umeamuaje xasa?
Hili nalo ni janga jamani
ukikutan na degree sasa, had kimalkia anaandka kifup cha mwendokas, utajua hujui lolAnyway mimi pia nikishaona mtu analeta hizi habari namkaushia tunshakutana na manzi yupo chuo diploma yani ni mikato mikato tu,nikaona wacha nibadili gia angani tu
Na wanajua kulia banaMkuu sio kosa lako, ukiona hivyo ujue umri unakutupa mkono.
Hizo wao kwa sasa ndio swaga zao, kikubwa tafuta wakubwa wenzio achana na hao watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada ana loho mbaya xana! Kwanini anaingiria maisha ya wengine xaxa?Ko umeamuaje xasa?
😂😂😂😂ukikutan na degree sasa, had kimalkia anaandka kifup cha mwendokas, utajua hujui lol
Mara momo, jomon,Wanakera vibaya sana
Xaxa xi ndo maneno ya kixaxandio nyie akina miquel mnayemchukiza huyu jamaa na hizo term zenu ( jomon)