Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

Mada juu yahusika.
Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni.
Mara xax, Xmas, meme, ko n.k
Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika.
Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni?
Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na wanaume 4 kwa wakati mmoja.
Ukiona dem anaandika hivyo juwa unachat na kenge
 
Yeye mwenyewe hana adabu ya maandishi yake halafu anakerekwa na uandishi wa wengine

Ila wanaoandika xaxa,mologolo,mlembo wanakera kinyama
Mbulahati, Alusha, Tabola, Ilinga, halusi, kungulu hahaha
 
Anyway kwenye swala la L na R nahisi pia inategemea mkoa ambao mtu ametokea
Kwa waliotoka Mwanza, Shinyanga,Morogoro wengi hawajui the difference.
Huenda na walimu pia walichangia katika hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom