Binafsi siwezi kuishi kimapenzi na mademu wanaoandika xax, Xmas,ko, n.k

Yeye mwenyewe hana adabu ya maandishi yake halafu anakerekwa na uandishi wa wengine

Ila wanaoandika xaxa,mologolo,mlembo wanakera kinyama
Au sukali.lafiki.lula(rula)yani ni upuuzi uliopitiliza..huwa natamani kumlamba mtu vibao mfululizo wa kwenye mashavu
 
Ni ujana kila mmoja anapitia,siku wakiwa Watu wazima wataacha au wewe hukupita katika hatua hiyo?
Ni kweli hata mimi zamani nilikua naandika vifupi. Kuna siku nilikua nasoma chat zangu za zaman nikawa nashangaa huo mwandiko wangu eti 2o8 badala ya tuonane, hapo bado Internet slang

Ila ukimkuta mtu mzima anaandika vifupi hiyo ni shida nyingine
 
Mada juu yahusika.
Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni.
Mara xax, Xmas, meme, ko n.k
Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika.
Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni?
Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na wanaume 4 kwa wakati mmoja.
Sounds like slay queens wengi ndio wana hizo mambo. Hiyo ni sign kwamba no maturity kwa huyo manzi
 
Anyway mimi pia nikishaona mtu analeta hizi habari namkaushia tunshakutana na manzi yupo chuo diploma yani ni mikato mikato tu,nikaona wacha nibadili gia angani tu
ukikutan na degree sasa, had kimalkia anaandka kifup cha mwendokas, utajua hujui lol
 
Yn n upux kbs mtoa md.. uxwe unawjb w2 w ivo..

Asee nafuta na namba hapo hapo.. mdogo wangu alianza kunletea hizo pigo.. anantumia tezt WhatsApp nazisoma tu bila kumjibu.. akajiongeza.. anaandika vizuri tu..
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom