jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,524
- 43,544
Matusi ya nini sasa mkuu?
M umeona nimekashifu dini ya mtu
Mbona lililopo kwenye mada husika hujaliongelea?
Yaan uko sahihi kabisa maisha ya kota sio kabisaPambana uhame, Kota wanga wengi....wanafuatilia kila nyayo, Yani wanahesabu hadi unaoga mara ngapi....maisha ya kikuda mno, Hama.
Ila wakati unajipanga kuhama, Kata mazoea ya baada ya Kazi, mkitoka ofisini jifanye hamjuani na yoyote....itakusaidia.
✊✊✊✊Huyu ndio Mimi kabisa Kwenye Eneo langu la kaziKatika ajira siku zote, ingia muda unaopaswa kuingia, fanya unachopaswa kufanya kwa weledi mkuu bila kufanya ushindani na wengine. Acha utendaji wako uongee wenyewe.
Chochote kisichokuhusu na kisicho na athari yeyote kwako ama ajira yako basi kipuuze kama vile hukioni.
Boss sio rafiki yako na haijalishi kwa kiasi gani anaonyesha kukupenda, ni kwamba anapenda nguvu yako na utendaji wako kwa wakati husika, akikosa matumizi na wewe atakuondosha bila kufikiria mara mbili.
Muda wa kuondoka ukifika fanya kama vile umefukuzwa, ni kwamba toka nduki uende nyumbani. Kazini sio kijiwe cha soga, usiweke mazoea sana.
Wafanyakazi wenzio sio rafiki zako. Ujamaa wenu unaishia pale muda wenu wa kazi unapoishia. Hawapaswi kujua zaidi ya kile chenye mahusiano na kazi yenu.
Kubwa na la muhimu zaidi, hakuna anaekupenda kazini hivyo usitarajie kuwa kuna anaethamini uwepo wako hapo. Kila rafiki wa kazini ni snitch mtarajiwa, ikitokea akapata fursa ya kukusnitch atakuuza bila jitimai ya nafsi.
Achaga ujinga na wwUmeona sasa tunatukanwa Imani yetu kwa sababu yako.....
Kulikuwa na haja gani kuitaja DINI katika masuala mtambuka ya kijamii ?!!
Kwani hao wanawake wakikaa majumbani hawana fitnah na husda ?!!! [emoji44][emoji44]
Are you misogynistic??!?
Kabisa....tulio nje ya mji mjumbe kaweka mkutano ili tutengeneze barabara..wananzengo wanapinga wanasema hilo ni jukumu la wenye magari🤐Mtaani ukiwa na gari ndiyo utachukiwa mara 10 zaidi
Tatizo liko hapo kwenye last paragraph. Tafsiri Yao unajikuta nani usiwe kama waoJinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike [emoji2]
Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu
Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life
Wapi hukoMtaani ukiwa na gari ndiyo utachukiwa mara 10 zaidi
Upo sahihi! Umeajiliwa na masikin kijana wa watu unajituma! Lakini vita vingi vya kiroho unaandamwa hadi uje ujinasue ni kudra za Mwenyezi Mungu tu! Inshort Moyo wangu ulishakataa kuajiliwa tenaShort tale..
Alisoma shule za seminari kuanzia kidato cha 1 mpk cha 4. Akapata mfadhili wa kumsomesha kidato cha 5&6. Akafaulu vizuri. Akapata scholarship nchi za nje. Akaweza kupata bsc. na masters. Alikua kijana mwenye haiba nzuri, mwerevu, mpole na mcha Mungu. Kiongozi flani (kwa sasa he is late) akaunyaka wasifu wake. Akamrudisha nchini na kumpa kitengo katika balozi za nchi zilizoko kusini.
Alivyoingia pale, wahafidhina wakamuona ni tishio. Aliendelea kumcha Mungu. Behind the scene kuna njama zikasukwa. Akapewa kesi ya human trafficking. Mpk kuja kuprove sio kweli, miaka imepita shwaa. Hakuweza kupata ajira tena. His character was assasinated. Akarudi mbwinde kuishi. Akaamua kulima zake mahindi madongoni. His career slapped him hard.
10 years later:
Paroko mmoja katika shirika la white fathers anatembelea mbwinde. Akasikia story yake. Ashukuriwe Mungu kuna mchongo wa maana na huyu victim ni fit candidate. Akatafutwa, fanyiwa counselling, pigishwa interview, akafaulu. Sasa aanze kujiandaa kwenda kureport nchi za mbali....guess what.......
Akapata ajali ya bodaboda, akiwa na passport yake mkononi. He is no more!!😞😞
Kuna msemo unasema keep your friends close and your enemies closer. Naona hapa ulibackfire kinoma....
MUNGU atutetee katika sehemu zetu za kujipatia kipato. Kuna vita sana ktk kuupata mkate wa kila siku..
Neema ya Kristo ikae nawe...
Siwezi kuforce tabia ambayo sina ..kuongea sana 😥Tatizo liko hapo kwenye last paragraph. Tafsiri Yao unajikuta nani usiwe kama wao
Hizo ni hulka za binadamu na watu wamezaliwa hivyo,huwezi kuwabadikisha na Kwa taarifa Yako tuu watu wa hivyo ndio Mabosi wanawapenda maana wanawapa taarifa zenu nyie mnapowasema vibaya wakubwa.Ila kuna wanaume wengine nao ni kama wanawake tu yaani kuna mmoja niko naye job hatari sana yaan anafatiliana hatari hadi msosi ninaokula hom atahakikisha anajua na anafurahia kila mtu awe na life gumu isipokuwa yeye tu
Sisi tunaoishi nje ya mji tuna uzoefu wa kutosha juu ya watu wenye wivu wa maisha sasa ole wako upakane na majirani wajinga aisee watakusumbua Hadi utajutaKabisa....tulio nje ya mji mjumbe kaweka mkutano ili tutengeneze barabara..wananzengo wanapinga wanasema hilo ni jukumu la wenye magari🤐
Duuuh aisee ni wapi huko, na huyo mfu ni yule aliyekuwa anasimangwa???Kuna dada mmoja alikuwa anafanya almashauri Fulani, alikuwa anachukiwa na mwenzake, siku hiyo akamwambia na 'utakufa unuke mavi'...
Siku si nyingi dada yule akaingia chooni kujisaidia, akafia palepale chooni...
Nasikia walioenda kuzika maiti inanuka mavi...
Kuleni chuma hikoo...Katika ajira siku zote, ingia muda unaopaswa kuingia, fanya unachopaswa kufanya kwa weledi mkuu bila kufanya ushindani na wengine. Acha utendaji wako uongee wenyewe.
Chochote kisichokuhusu na kisicho na athari yeyote kwako ama ajira yako basi kipuuze kama vile hukioni.
Boss sio rafiki yako na haijalishi kwa kiasi gani anaonyesha kukupenda, ni kwamba anapenda nguvu yako na utendaji wako kwa wakati husika, akikosa matumizi na wewe atakuondosha bila kufikiria mara mbili.
Muda wa kuondoka ukifika fanya kama vile umefukuzwa, ni kwamba toka nduki uende nyumbani. Kazini sio kijiwe cha soga, usiweke mazoea sana.
Wafanyakazi wenzio sio rafiki zako. Ujamaa wenu unaishia pale muda wenu wa kazi unapoishia. Hawapaswi kujua zaidi ya kile chenye mahusiano na kazi yenu.
Kubwa na la muhimu zaidi, hakuna anaekupenda kazini hivyo usitarajie kuwa kuna anaethamini uwepo wako hapo. Kila rafiki wa kazini ni snitch mtarajiwa, ikitokea akapata fursa ya kukusnitch atakuuza bila jitimai ya nafsi.
Jinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike [emoji2]
Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu
Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life
Sidhani kama umesoma nilichoandikaTatizo Mabosi Waliooa wanapokuomba Papuchi unawanyima…[emoji30] Sasa Lazima wakunyine Fursa,Na Mwanaume Yeyote atakaekuwa na wewe haijalishi hajaoa au ameoa lazima nae afanyiwe figisu ikibidi hata kuondolewa Kazini au wote wawili Over[emoji1787][emoji16]
Mademu wanamnyanyasa huyo mshikaji Msonjo ?Hii ni shida
Kuna jamaa yangu kwenye kitengo chake yupo me 1 na ke 5, mwanzo walikuwa me 2 ila mwenzie uzalendo ulimshinda akaachia ngazi.
Hivyo na jamaa nae anafanya michakato ya kusepa.
Maana anakwambia hana amani na kazi kabisa, sababu ya hao mademu.
Siyo Binadam wote. Sisemi kuwa kwengine hayapo, lakini Tanzania yamezidi.Haiwezekani mtu sili kwako, hunipi msaada wowote, sina ukaribu wowote na wewe hizi chuki, fitina, figisu zinatoka wapi? Uwepo wangu kazini wewe unapungukiwa nini?
Tuheshimiane jinsia ya kike kazini upuuzi tupu. Mwenye masikio na asikie sitaki mazoea
Kuringa ni haki yako ya kikatiba.Hii ya kuringa nakutana nayo kila sehemu,nimeshaizoea
Sasa swali linakuja nikiringa wao wanapungukiwa nini 😅