Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

Hii ni akili ya kijinga sana ,hakuna unaoloijua na kwa kuwa ni jobless umebaki una upambe wa kishambaa sana

sent from HUAWEI
Acha hasira dogo!! job less ni dhambi Mkuu??? Bongo mnalipwa sh.ngapi na certificate zenu hizo?? saana laki 2! hii hata kupanda ndege kwenda kibaha Mile moja hailipi!! sasa kwa nini msiwe na stress!! yaani unatamani kuajiliwa???
 
Hii ni akili ya kijinga sana ,hakuna unaoloijua na kwa kuwa ni jobless umebaki una upambe wa kishambaa sana

sent from HUAWEI
Teh!teee!! tetete!! mwenzenu kaona hii ngumu kumesa kajinywea kasumu kake!! sasa mnajidai kumuwekea Mnara wa kumbumbu! hee!!!! kumbukumbu samahani! yaani poleni sana hata sisi tulikuwa ivoivo!! usipasue computer yako please!! yataisha tu
 
Hospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitalini.

Hali hii inapelekea Hospital KUJIENDESHA Kwa mapato ya ndani, Mfuko wa BIMA NHIF umeshindwa kulipa hizi Hospitali zaidi ya Miez 5,

Hospitali Moja kama Muhimbili inadai zaidi ya Bil 15 kwenye mfuko Huu, na Hajalipwa na mkataba wao ni siku 60.

Mama Samia Raisi wetu Mpendwa huo Mfuko wa BIMA uangaziwe, ikiwezekana vunja Uongozi, unaua Huduma za afya.
Nyie mnatuchanganya. Si mna mkataba na NHIF? Kama wanalipa tofauti na muda wa mkataba kwa nini hamuwashitaki?
 
Hospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitalini.

Hali hii inapelekea Hospital KUJIENDESHA Kwa mapato ya ndani, Mfuko wa BIMA NHIF umeshindwa kulipa hizi Hospitali zaidi ya Miez 5,

Hospitali Moja kama Muhimbili inadai zaidi ya Bil 15 kwenye mfuko Huu, na Hajalipwa na mkataba wao ni siku 60.

Mama Samia Raisi wetu Mpendwa huo Mfuko wa BIMA uangaziwe, ikiwezekana vunja Uongozi, unaua Huduma za afya.
Mfuko umeona maoni haya juu ya malipo ya madai ya Vituo tajwa. Taarifa sahihi ni kwamba, mpaka sasa Mfuko hauna madai yoyote ya vituo husika yaliyowasilishwa kwa NHIF yaliyozidi muda wa malipo kimkataba.

Mfuko umejipanga na unaendelea kufanyia kazi madai kwa uharaka na ufanisi zaidi.

Kwa Mtoa huduma yoyote mwenye changamoto katika eneo hili atumie njia sahihi kuwasiliana na Mfuko kwa utatuzi wa haraka zaidi.
 
Hilo li Bima sasa litakufa kifo cha Mende tu!! waswahili siyo waelewa! watafoji mpaka Mfuko wa Bima ukataliwe Duniani kote!! ila watumiaji asee! wana foji sana ili wapate hela ! wengine wanachukua dawa za bei mbaya Hosp.

wanapeleka Madukani kwao ya dawa! ili kuuza tena kwa bei mbaya!!...na wanafanikiwa kweli.

WEngine wanawapa ndugu zao!! yaani ni vurugu tu kwa kwenda mbele ili mradi tu wapate hela ya kujikimu na wao! jamani africa mna kazi hasa!! Nasema hawa weusi walifaa kuwa watumwa tu milele! watu weusi ni mzigo wa Dunia!

Km Africa mlikosa Basi mjue Babu zenu ambao ndo nyie mlimkosea Mungu sana!! Mpaka mnaliabudu msilo lijua na bado!! Mpaka Yesu wa ukweli arudi mtakuwa mmesha koma kifukuto! kenge nyie!
Usijumklishe Afrika nzima. Sema Tanzania.

Humuhumu Afrika kuna nchi zinajielewa.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mama mnamuonea Bure haya yooote jiwe wenu huyo sasa athali zake ziko wazi na badoooo!!

Si mlikuwa mnamshangilia nyie mbwa sasa wacha muonje jotolake!! Mama wala usisumbuke na misukule ya kibongo usije ukafa Mapema bureeee!

weye Mama yapeleke peleke tu!! yamezoe shida hayo majitu! hayana hata shukrani!! yanashangilia ujinga ujinga sasa wacha wale jeuri yao!! hasa chato kaza uzi!! tuliyaambia yakaona sie walevi!

Jiwe alijua huu ugumu ulio mbele yake alivo kuwa muoga Akapandisha perssure akafa!! sijawahi ona Rais muoga km Jiwe!! Uoga ulimfanya aweke Risasi mbele!
Kila kitu mkishindwa lawama kwa jiwe, kwani waliopo madarakani si ni wale wale?
Baadaye atakuja mwingine lawama zitakuwa kwa mama
 
Kila kitu mkishindwa lawama kwa jiwe, kwani waliopo madarakani si ni wale wale?
Baadaye atakuja mwingine lawama zitakuwa kwa mama
Alikuwa ana kurupuka mno bana!! eti anamuiga sokoine mweee! hakufikiri, na hakuambilika yule km kichaa vile!!...basi pumzika hataki..sasa Mkuu Shetani na ubabe wake wooote ule anapumzika!! sasa jiwe nani asipumzike ??aliyataka muache afe!!
 
Acha hasira dogo!! job less ni dhambi Mkuu??? Bongo mnalipwa sh.ngapi na certificate zenu hizo?? saana laki 2! hii hata kupanda ndege kwenda kibaha Mile moja hailipi!! sasa kwa nini msiwe na stress!! yaani unatamani kuajili
Alikuwa ana kurupuka mno bana!! eti anamuiga sokoine mweee! hakufikiri, na hakuambilika yule km kichaa vile!!...basi pumzika hataki..sasa Mkuu Shetani na ubabe wake wooote ule anapumzika!! sasa jiwe nani asipumzike ??aliyataka muache afe!!
Sijui kama network yako inasoma
 
Watanzania sijua aliyetuloga Nani Makosa uzembe wa watu anasingizia aliyelala umilele
Jua kulala umilele ni uzembe wake!! asa km aliwekwa na Mungu kwa nini asimtafute!! ampe maelezo bana?? msitetee uzembe!! Kwanza ujue kabisa halikujua kutubu lile jamaa! fikiria tu liko wapi!!! ...wewe fanya masihara utalifuata huko kuzimu!
 
Alikuwa ana kurupuka mno bana!! eti anamuiga sokoine mweee! hakufikiri, na hakuambilika yule km kichaa vile!!...basi pumzika hataki..sasa Mkuu Shetani na ubabe wake wooote ule anapumzika!! sasa jiwe nani asipumzike ??aliyataka muache afe!!
Mama Samia alikuwa makamu wa rais
Majaliwa waziri mkuu
Mpango waziri wa fedha
 
Back
Top Bottom