Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

Mkuu Matola nimefanya biashara na NEWL muda mrefu nawajua wafanyakazi wake wengi hata hichi nilichoandika ni kwasababu ya huo uhusiano baada ya malipo yangu kukwama kwasababu ya kukosa saini ya mkurugenzi.Nimezungumza na wataalamu wake kuanzia procurement na Accountant wake.

Wewe hujui kitu, na wewe ni party affiliated, huyu jamaa ana elerai na ina wafanyakazi wengi tu na ndio company yake ya kwanza, umepewa story na watu wa NEWL pekee unakuja kuconclude, na ukae ukijua hakuna uonevu anafanyiwa. Elerai ndio imefanya ukwepaji mkubwa sana wa kodi, na mambo mengine kama kumtorosha huyo mwarabu, mengine hayapaswi andikwa humu, nenda pale tra arusha ulizia kodi anadaiwa through elerai and since when. Watu tunaomjua huyu raia nje ndani tunasema ilikuwa ni siku yake ya 40 tu. Bila kusahau kudra za mwenyezi Mungu kutupatia Magufuli sababu hakuna mwingine angemgusa na ndio tungekuwa tunazidi tengeneza mabomu ya inequality nchi hii. Kwa iyo wewe buda nasikitika kukutaarifu udhanivyo sivyo na punguza mahaba, Magufuli anatenda haki, kama ulifanya mambo yako sawa sawa hakuna tatizo kama ulikuwa na makando kando hata wewe ujiandae hima.
 
Hoshea vipi kaka ! Unakosoa mahaba na wewe unasimamia mahaba ! Nilitegemea ungelisifia jeshi la polisi na walio peleka taarifa polisi kwa kuThubutu au ndio unataka kutuaminisha ni amri toka juu ndio ilio fanya hao wafanya biashara wakamatwe !
 
Hii kitu sukuizi kimya hatakwenye vyombo vyetu vyahabari haisikiki tena wakati ndio ilikua ikipewa uzito kwenye kurasa za mbele but why?
 
Hoshea vipi kaka ! Unakosoa mahaba na wewe unasimamia mahaba ! Nilitegemea ungelisifia jeshi la polisi na walio peleka taarifa polisi kwa kuThubutu au ndio unataka kutuaminisha ni amri toka juu ndio ilio fanya hao wafanya biashara wakamatwe !

Amri imetokea juu mkuu, alishaachiliwa, kipindi ile masaa kadhaa kabla raisi hajatangaza kuna mwizi anatuibia mil 7 sijui kwa dakika, jamaa alikuwa ameshakamatwa, hela zikagawiwa, wakamwachia. Raisi alivotangaza ndio wakamsaka tena, alikuwa mpakani na malawi huko, ndio huyu fogo wa arusha alikuwa kwenye mchakato wa kumtumia nauli jamaa atoroke.
Ndio maana nina mahaba na hii serikali
 
Wewe si mzalendo, wewe una wivu wa maendeleo na watu wa kanda ya kaskazini.

Kijana pambana kupeleka maendeleo kwenu, acha wivu.

wivu wa maendeleo, mwacheni rais ajenge uwanja chato...

Mbona unahukumu kabla ya kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa?

mkuu,
ndio hawa watuhumiwa waliosomewa mashtaka zaidi ya 100? mimi nilidhani watakuwa wanaenda mahakamani mara kwa mara...
 
Kwa hali ya nchi yetu ilivyo hakuna mkandarasi yoyote anaeweza pewa tender yoyote bila kutoa chochote
Sasa ivi tender kalbia nyingi serikali inajipa yenyewe kupitia wakala wa majengo usishangae kuja kuckia kampuni za wazawa za construction kufilisika we c umeona wizara zinazohama kuja Dodoma wanasafirishwa na maroli ya jeshi badala ya kugawa tender kwa kampuni binafsi za usafirishaji ili wawasafirishe yeye anawapa wajeda kwa style hii tutaona kampuni nyingi sana zikifa.
 
kama umeanzisha kampuni kutegemea kusafirisha ma file ya serikali ,basi utakuwa una akili ndogo sana.Tena afadhali siku hizi,zamani kabla hujazaliwa serikali ilikuwa na kampuni ya usafiri kila mkoa,mabasi na malori,wote hao wangepanda MORETCO au CORETCO.
 
Wewe huna unalolijuwa, kama hujui kitu uliza uelimishwe, kabla ya jina la Dar huu mkoa ulikuwa ni sehemu ya Pwani ikiitwa Mzizima na hata kimipaka Gongo la mboto ilikuwa upande wa Kisarawe.

Wewe hujui kitu na siyo kazi yangu hapa kuandika historia ila wapo Wazaramo ambao kwao kiasili kabisa ni Kinyerezi na gongo la mboto Dar.

Ditopile Mzuzuri nyumbani kwao kabisa ni kinyerezi, kilwa road yote ndani ya mkoa wa pwani ni ya wamatumbi na wandengereko.
Hapo mnabishana tu wote nyie ni wazizabar ukiangalia mipaka
 
Unaambiwa wengi wanaojiita mabilionea hapa Tanzania, wengi utajiri wao una vikwazo na ukichunguza kiundani utaona umwagaji damu unahusika.
 
Kwa vile ni dodoma ingekuwa kaudo, malori ya bish yangetoka dodoma tupu bila mzigo kuja dsm kuhamisha watumishi.

Na washawasha!

Back
Top Bottom