muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 1,002
I see...
Jina lake yu linatangulizwa na heshima ya pesa sasa Kwa nini afungwe huyo ameenda kutembea tu segerea hamna mfungwa hapo ☺️☺️
Mimi mzalendo bhana, siwezi kushirikiana na wezi kuliibia taifa langu milioni saba kwa dakika, halafu najisifu eti hayo ni mafanikio, huku nikilalamikia serikali haijengi nchi.Mikoa isiyo yao ni ipi wewe kuna watu mna hasira Na watu Wa mikoa Fulani kisa mafanikio yao mkuu pambana Na Hali yako ndio utafikia mafaniko siyo kuona wivu wivu unaendana Na mapenzi siyo maendeleo
Mbona mwalimu aliwajaza wakurya majeshini? Utiifu ndio unatakiwa sio wizi kusifiwa.Acha jelous we tahira,mbona Kuna tetesi watu toka kanda anayotoka magu wanapewa nafasi zaidi serikalini Ila hakuna anayelalamika kwa. Sana....fanya kazi usikalie kula ugoro hku una post utumbo humu jf
Ulitakaka awajaze wazaramo watulee porojo jeshini?Mbona mwalimu aliwajaza wakurya majeshini? Utiifu ndio unatakiwa sio wizi kusifiwa.
Kwaiyo kuwa mzalendo ndio kubagua mikoa Fulani kisa wamechagua mabadilikoMimi mzalendo bhana, siwezi kushirikiana na wezi kuliibia taifa langu milioni saba kwa dakika, halafu najisifu eti hayo ni mafanikio, huku nikilalamikia serikali haijengi nchi.
Weee! Unaota nini? Ninahisi huenda magufuli analia, hachomoki mtu hapo.😡wanaweza shinda kesi Na wakarudi uraiani
Wazaramo ni majasiri, sio wakabila, wazaramo huridhika na wanachokipata.wazaramo watulee porojo jeshini?
Kwahiyo huridhika hata na umaskini huku wakishindana kucheza ngoma?Wazaramo ni majasiri, sio wakabila, wazaramo huridhika na wanachokipata.
Endelea kujidanganya kuamini MTU nchi hii inaendeshwa Na katiba ya jamuhuri ya muungano Mahakamani hakuna cha matakwa ya MTU ni Sheria zinasemaje tu. Kama kweli wewe ni mchukia ufisadi kuna ufisadi miaka mingapi umefanyika ndani ya ccm ujawachukia lugumi meremeta Richmond escrow EPA huu ufisadi wote umefanya Na ccm wewe unachukia chademaWeee! Unaota nini? Ninahisi huenda magufuli analia, hachomoki MTU hapo.😡
Itabidi hizo nazo zichunguzwe na interpol,huenda nazo ni zilezile.Hatari sana, huyu jamaa ana landcruiser mkonge za kusambaza mafuta kwenye minara ya simu nadhani si chini ya Mia na usheee
serikali inabidi hikusanye pesa kwa nguvu.
swissme
Sasa unataka na wao wajisifu, kuiibia serikali yao na kwa taarifa yako wazaramo wanautajiri halali wa korosho,hebu tembelea ikwiriri.Kwahiyo huridhika hata na umaskini huku wakishindana kucheza ngoma?