Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

walioiba Escrow?

swissme
Hahaha hao ni miungu mkuuu
Sasa nadhani atakae fuata ni Minja kupelekwa mahakamani maana jamaa pale dukani kwake kumefungwa na serikali na kuzungushiwa tepe za polisi kabisa zile za njano hakuna kukatisha eneo hilo na lina ulinzi kabisa wa polisi 24 hrs. Kazi ipo.
 
Sasa kama askari anapandishwa cheo kwa kugombana na mke wa waziri unashangaa nini tajiri akitiwa msukosuko ?.
Hahahah kaguswa mchaga jambazi mnalialia.. Watetezi wa mafisadi.
 
Mkuu Matola nimefanya biashara na NEWL muda mrefu nawajua wafanyakazi wake wengi hata hichi nilichoandika ni kwasababu ya huo uhusiano baada ya malipo yangu kukwama kwasababu ya kukosa saini ya mkurugenzi.Nimezungumza na wataalamu wake kuanzia procurement na Accountant wake.
Naomba uende mahakamani ukamtetee
 
Watu wa Arusha kwa kupenda kujiita mabilionea heri wa dar wanakula mahindi na chumvi na kikao na kuendesha passo
Wezi sana hao majaa na wakina Lema
 
Sikatai lakini kama ungejua hata kwa 2% nilichokueleza basi usinge andika ulichoandika unless unapenda kubishana wakati msingi wa hoja either huna au hujui unachosema.Labda nikusaidie kiduchu wakati wa kuwasilisha online VAT return kila mwezi kuna mambo yafuatayo utataikiwa kufanya

VAT output.
a. mauzo yanayotozwa VAT
b.mauzo yanayotozwa kiwango sifuri
c.mauzo yaliyo samehewa kodi

VAT inputs
a.Manunuzi ya hapa nchini yanayotozwa VAT
b.Manunuzi ya nje yanayotozwa VAT
c.Manunuzi ya nje yanayostahili marejesho ya VAT
d.Marejesho ya VAT ya mwezi uliopita

Ukimaliza section hiyo unakwenda kwenye sheet ambayo utaingiza VRN za wateja wote walikuuzia bidhaa au kukupatia huduma.Ukiingiza VRN automatic inakuletea jina la likuuzia bidhaa au kukupatia huduma automatic sasa kama ni magumashi system itakugomea kabisa.Kitu cha kushangaza VRN ilikuwa inaleta jina kama kawaida kwahiyo kama ni kosa basi lilitakiwa kuangaliwa kuanzia BRELA na TRA.

Natumaini kama ulikuwa unataka kuelewa basi utakuwa umeelewa na siku nyingine utakuwa mdadisi mzuri si kukubali kila kitu unachoambiwa kabla haujafanya uchunguzi wako mwenyewe na kuridhika.
Kamanda utavunjika vidole jiandae kwenda kumtetea hapa unapoteza muda. Lema ni fisadi nyangumi.
 
Wabongo bwana mnamuhukumu mtu mtathani nyie ndio mahakimu hamjajua hata anatuhumiwa kwa kosa gani au anamashtaka mangapi mnashangilia sana kuona tajiri anapelekwa rumande au afilisiwe awe maskini kamanyie au aishi kama shetani mhaa watz nomaaa sana full majungu na roho mbaya
Jumla ana mashitaka 383 yanayo mkabili.
 
Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
Masamaki, Lugumi, tiba, ngeche ni wa wapi vile!
 
27 JULY 2016
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
Tanzania: Two in Dar Court Over 14 Billion/ - Fraud
Tagged:

Tweet
Robert Okanda/Daily News
A business tycoon from Arusha, Samwel Lema (second right), and his co-accused, Mohamed Yusufali, wait to enter the dock in the case in which they have been charged with evading tax and occasioning loss to the government to the tune of over 14bn/- at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam.
By Faustine Kapama
Two prominent businessmen, Samwel Shanshasen Lema, and Mohamed Mustafa Yusufali, appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam yesterday charged with 223 counts of conspiracy, forgery, money laundering, evading tax and occasioning loss of over 14bn/-.

They were not allowed to enter any plea to the charges before Principal Resident Magistrate Wilbard Mashauri because they have been charged under the Economic and Organised Crime Control Act, which falls under the jurisdiction of the High Court.

The two were committed to remand custody until July 28, when the prosecution will respond to the request by the defence team, led by advocates Alex Mgongolwa, Hudson Ndusyepo and Nehemia Nkonko, who are challenging the validity of the charge of money laundering.

In the case, both accused persons are facing one count of conspiracy to defraud, 181 counts of forging tax invoices for two different companies, one count of money laundering and one charge relating to occasioning of loss to a specified authority.


Lema, an Arusha based tycoon, separately faces 38 counts of forging value added tax (VAT) returns and one count of tax evasion. This case is the second for Yusufali, popularly known as 'Mzee wa Milioni 7 kwa Dakika', to face before the same court.

The first case involves tax evasion to the tune of 15bn/-. During the court session, the prosecution team comprised Senior State Attorney Mutalemwa Kishenyi and State Attorneys Jacqueline Nyantori and Diana Rukondo and a prosecutor from the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) Leonard Swai.

The prosecution told the court that the accused persons and other persons not in court conspired to defraud the Tanzania Revenue Authority (TRA) of 14,052,011,435.69 between January 1, 2012 and December 3, 2014 within the cities of Arusha and Dar es Salaam.

It is alleged that on diverse dates in Dar es Salaam, the two accused persons made false tax invoices bearing different numbers and dates, purporting to show that Northern Engineering and Elerai Construction Co. Limited purchased commodities from various companies worth billions of shillings.

The prosecution alleged further that on different dates in the city, with intent to defraud, Lema made several VAT returns for different months, purportedly showing that Northern Engineering Works Limited during such months purchased commodities worth billions of shillings, while it was false. Lema is also charged with evading tax amounting to 14,052,011,435.69 between January 1, 2012 and December 31, 2015 -- in Dar es Salaam.



Being director responsible for management affairs of his companies, Northern Engineering Works Limited and Elerai Construction Co. Limited, which are registered VAT payers, with a view to fraudulently evade tax, he allegedly submitted to the Commissioner of TRA false returns.



All the accused persons were charged with an offence of money laundering allegedly committed between February 1, 2012 and February 25, 2013 within the cities of Arusha and Dar es Salaam.

They are alleged to have directly engaged themselves in a transaction of 420m/-, which, according to the prosecution, was proceed of predicate offences by depositing the amount in a bank account by the name Igba Jeferali Jafferjee at I and M Bank (T) Limited and subsequently withdrawing the same in cash.

The prosecution told the court that at the time of depositing and withdrawing of the money, the accused persons knew or ought to have known that the said sum was proceeds of predicate offences, which are forgery and tax evasion.

It is alleged further that between January 1, 2012 and December 31, 2015, in the city, by reason of their wilful acts, Lema and Yusufali submitted to the Commissioner General of TRA false value added tax returns, hence the government to suffer a pecuniary loss of 14,052,011,435.69.


Immediately after the prosecution had read over the charges to the accused persons, Advocate Mgongolwa, on behalf of the defence team, rose up and requested the court to strike out the money laundering charge "because it was incurably defective".

"The defect goes straight to the particulars of the offence. Those particulars of the offence are fatal and cannot be cured under the law. Money laundering offence must contain four elements like Illicit source Placement, layering and integration," Mr Mgongolwa argued.

Under the Anti-Money Laundering Act, money laundering is defined as engagement of person(s), direct or indirectly in conversion, transfer, concealment, disguising, use or acquisition of money or property known to be of illicit origin and in which such engagement intends to avoid legal consequence.

From such definition, he submitted, one could rightly say that for there to be an offence of money laundering, there must be intention on the part of the accused person to avoid the legal consequences of such action -- hence, the intention forms a basic element in particulars of the offence.

According to the advocates, looking at the count, the particulars of the offence were insufficient to meet test required under section 3 which defines the offence of money laundering and constituent acts provided for under section 12 (a) (b) (c) and (d) of the Anti-Money Laundering Act.


Sent from my iPhone
 
Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
Yapo madudu kama Lugumi, Escrow ni hayagusiki hata mkuu amegonga mwamba hapo.
 
Kupe Lugumi ndani ya suti ya ghali haonekani kwakuwa ameshika sehemu nyeti, ukijidai kumnyofoa, ananyofoka na tezi. Pango la kambale dagaa wataisoma namba.
 
Hii Kesi ya Elerai inaendeleaje au ndio kimya kimya kumfunza adabu
Ukiona kimya ujue kuanzia waandishi wa habari, wahariri, makahama na wale wa mashitaka wameshazungushiwa rupia, mchezo unasomwa jinsi ya kudhoofisha kesi. Ni hatari kabisa kuwaachia watu wa kipato kidogo kuyashughulikia mapapa!!
 
Back
Top Bottom