Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
Haha mtaisoma?! Sema tunaisoma nambaNINGESHANGA UIPONGEZE SERIKALI WEWE SO MTETEZI WA MAFSAD MTAISONA NAMBA
Haha mtaisoma?! Sema tunaisoma nambaNINGESHANGA UIPONGEZE SERIKALI WEWE SO MTETEZI WA MAFSAD MTAISONA NAMBA
Na lema siyo kwamba ni Jizi, basi tu balaa humpata yoyote.Mikoa isiyo yao ni ipi wewe kuna watu mna hasira Na watu Wa mikoa Fulani kisa mafanikio yao mkuu pambana Na Hali yako ndio utafikia mafaniko siyo kuona wivu wivu unaendana Na mapenzi siyo maendeleo
Lema ni mwizi..alikua anaibia taifa mapato mingi sanaaa..kwa kukwepa kodi kwa kutumia machine zisizo tambuliwa na tra...uchakachuaji wa tender n.kNa lema siyo kwamba ni Jizi, basi tu balaa humpata yoyote.
Huyu ni moja ya matajiri walioanzia chini kabisa na ameweza kuikuza na kuendesha biashara yake hadi kufikia ubilionea akiwa na certificate ya electrical tu
Kuna sheria inamzuia kuwa nazo?Hatari sana, huyu jamaa ana landcruiser mkonge za kusambaza mafuta kwenye minara ya simu nadhani si chini ya Mia na usheee
Kwa hali ya nchi yetu ilivyo hakuna mkandarasi yoyote anaeweza pewa tender yoyote bila kutoa chochoteLema ni mwizi..alikua anaibia taifa mapato mingi sanaaa..kwa kukwepa kodi kwa kutumia machine zisizo tambuliwa na tra...uchakachuaji wa tender n.k
Huyu ndio umemwona fisadi? Mbona wapo mafisadi papa kwenye chama chenu.majizi na mafisadi tu haya yote yakiasisiwa na babalao la mafisadi
Dah nimecheka sana, mkuu angle unayoyaangalia mambo.Uugomvi kati ya mgogo na mzaramo kwasasa haukwepeki, wazaramo walizizoea STK, STL nk Dar ila sasahivi Magu kaamua awawpelekee wagogo Dom
Hyo Hali inatakiwa ibadilike...ss tumeanza on a nikawaida..Kwa hali ya nchi yetu ilivyo hakuna mkandarasi yoyote anaeweza pewa tender yoyote bila kutoa chochote
Lema ni cha mtoto kwa mafisadi wa makontena na geji ya mafuta.Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
Lema ni cha mtoto kwa Lugumi, lakini Lugumi anapata mtaani.Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
Mbona mshauzwa zamani, wakati mnapigania vyeo serikalini wenzenu wanamiliki maelfu ekari za mashamba vijijini kwenu, mashimo ya madini, biashara za utalii, maduka ya nguo, maduka ya rejareja, uchumi unamilikiwa na kanda ya kaskazini.Chadema kingechukua dola watanzania wa mikoa isiyo yao tungeuzwa utumwani.