Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Ikwiriri siyo kwa wazaramo, labda huijui vizuri Pwani.Sasa unataka na wao wajisifu, kuiibia serikali yao na kwa taarifa yako wazaramo wanautajiri halali wa korosho,hebu tembelea ikwiriri.
Ikwiriri siyo kwa wazaramo, labda huijui vizuri Pwani.Sasa unataka na wao wajisifu, kuiibia serikali yao na kwa taarifa yako wazaramo wanautajiri halali wa korosho,hebu tembelea ikwiriri.
Kongowe, kimanzichana, kisarawe sasa hivi wazaramo wako mpaka rufiji wanamashamba makubwa acha dharau.Ikwiriri siyo kwa wazaramo, labda huijui vizuri Pwani.
Unaropoka tu hujui unaloliandika, Wazaramo kwao ni Dar es salaam na Kisarawe.Kongowe, kimanzichana, kisarawe sasa hivi wazaramo wako mpaka rufiji wanamashamba makubwa acha dharau.
Kwa mtazamo huo basi wachaga kwao moshi tu, huku mikoani hawa waliopo watafutie identity.Unaropoka tu hujui unaloliandika, Wazaramo kwao ni Dar es salaam na Kisarawe.
Nani kaipinga katiba wewe una matatizo Na tatizo lako nimeshakuambia ni kichukia waliokuzidi uwezo pambana Na Hali yako mkuuSi ndio hiyohiyo mlikuwa munaipinga,.
Wewe huna unalolijuwa, kama hujui kitu uliza uelimishwe, kabla ya jina la Dar huu mkoa ulikuwa ni sehemu ya Pwani ikiitwa Mzizima na hata kimipaka Gongo la mboto ilikuwa upande wa Kisarawe.Kwa mtazamo huo basi wachaga kwao moshi tu, huku mikoani hawa waliopo watafutie identity.
Kunizidi uwezo wa kuiibia nchi yangu? Wanizidi hiyo dhambi.kichukia waliokuzidi uwezo
Hili gazeti lako lipeleke shule za chekechea,watu unowadharau unawaandikia gazeti?mbona wewe mgogo nakusitiri tu.Wewe huna unalolijuwa, kama hujui kitu uliza uelimishwe, kabla ya jina la Dar huu mkoa ulikuwa ni sehemu ya Pwani ikiitwa Mzizima na hata kimipaka Gongo la mboto ilikuwa upande wa Kisarawe.
Wewe hujui kitu na siyo kazi yangu hapa kuandika historia ila wapo Wazaramo ambao kwao kiasili kabisa ni Kinyerezi na gongo la mboto Dar.
Ditopile Mzuzuri nyumbani kwao kabisa ni kinyerezi, kilwa road yote ndani ya mkoa wa pwani ni ya wamatumbi na wandengereko.
Dawa imekuingia barabara, hii ndio raha ya JF hata kulala saa hizi utaki umenogewa.Sasa povu lote la nini au hawa wazaramo wanaugomvi na wagogo?
Ni upepo tu utapita..Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
acha ujinga yaani ulitaka hawa wezi waachwe?Tumeongea mengi sana kuwahusu hawa mabwana,
ila wakati wanapambana & kujinyima kuitafuta pesa tuliwaona na hatukusema kitu ila leo wamefanikiwa ndio tunaanza kuwazonga...
Kama sisi ni majasiri kwanini hatujaanza na watoto wa mkwere.?
Kama tunajisifia kwa kufanya kazi kwanini hatujamgusa Lugumi.?
Wapo wengi waliotuibia lakini kutokana na mihemko ya kisiasa tumewasahau na kuwasamehe wezi wote( )
badala yake tunabaki kuwakamata hawa waliojijengea misingi imara ya kutafuta pesa..
Ila mimi nafikiri ni chuki tu dhidi ya watu wakaskazini imetujaa kama sio hvyo kwaujasiri tusingewasamehe wakwepa kodi walioigarimu serikali ya tz akiwemo Said BAKHRESA.. na wenzie..
ila hao hawakupelekwa mahakamani wala kufungwa badala yake walipewa siku 7 kuhakikisha wameklia madeni yao..
Nasikia harufu ya Ukanda
Lugumi,baresa,riz, walifungwa?acha ujinga yaani ulitaka hawa wezi waachwe?
acha ujinga yaani ulitaka hawa wezi waachwe?
Lakini kwa nini ahukumiwe magufuli kwa mapungufu ya kikwete au mkapa, sawa wote ni ccm lakini kila mmoja ana mtazamo wake. Ni sawa na wewe kuhukumiwa kwa matendo ya babu au baba yako, fine mko related lakini ni zama tofauti kabisa. Mwacheni Magu afanye yake then akimaliza sasa ndio hukumu ifuate.Mdau makini, umedhihirisha umakini wako asee. Haiwezekani wale wakwepa kodi wakubwa walioingiza serikali hasara kubwa wakasamehewa kwa kupewa siku saba walipe madeni yao na hawa wakabanwa kiasi hiki. Hizi double standards zinatoka wapi? Its unfair.
Sitetei mkwepa kodi ila nasikitika kuona sheria yetu si msumeno wa kukata pande mbili kama wahenga walivyotuaminisha.
Kwa wale wa Arusha na wengineo mliomo katika construction industry mtakua mnajua vema bwana Lema au maarufu kama elerai.
Huyu ni mmiliki wa kampuni ya Elerai construction na pia Northern engineering. Ni kampuni zinazoanya vizuri sana hapa nchini especially kaskazini mwa tz.
Bwana Lema leo kapandishwa kizimbani kisutu akiunganishwa kwenye kesi ya yule bilionea wa million saba kwa kila dakika.
Kesi hyo haikueza sikilizwa kwa watuhumiwa kucheleweshwa kufika mahakamani na hivyo Lema na wenzie walipelekwa rumande hadi tarehe 26.

Wacha mihemko ccm kuna majipu wazee wa makengeza huwaonimajizi na mafisadi tu haya yote yakiasisiwa na babalao la mafisadi