Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

Sasa kama askari anapandishwa cheo kwa kugombana na mke wa waziri unashangaa nini tajiri akitiwa msukosuko ?.
Mimi sihangai mkuu mambo ya awamu hii, kama rais anaweza kusema angewapoteza watu kwa kuimba wana imani na mtu fulani halafu huyohuyo anasema tuienzi amani, hapo nitashangaa kipi zaidi ya hiki?! Najionea maigizo tu.
 
Hivi kwa nini watu wa Arusha wakikamatwa kwa kuiibia serikali mnawatetea na kusema wameonewa?
Mkuu macho_mdiliko sitetei naeleza mambo jinsi ninavyoyajua.Utakuja kushangaa Jamhuri inashindwa kesi nyingi si kwamba mawakili wa serekali ni wazembe au wanashirikiana na watuhumiwa lahasha unakuta msingi wa kesi tangu mwanzo umejikita katika siasa badala ya sheria.
 
Mimi sihangai mkuu mambo ya awamu hii, kama rais anaweza kusema angewapoteza watu kwa kuimba wana imani na mtu fulani halafu huyohuyo anasema tuienzi amani, hapo nitashangaa kipi zaidi ya hiki?! Najionea maigizo tu.


Kwa hiyo tukusaidiaje sasa, labda?
 
Sasa kama askari anapandishwa cheo kwa kugombana na mke wa waziri unashangaa nini tajiri akitiwa msukosuko ?.
Na usisahau Arusha na Dar Lowasa alimfunika Ngosha kwa kura nyingi kupita maelezo, hii mikoa miwili ana beef nayo, na Dar ndio ameamuwa kuhama kabisa bila hata bungeni kupitishwa bajeti ya shughuri hiyo.
 
Na usisahau Arusha na Dar Lowasa alimfunika Ngosha kwa kura nyingi kupita maelezo, hii mikoa miwili ana beef nayo, na Dar ndio ameamuwa kuhama kabisa bila hata bungeni kupitishwa bajeti ya shughuri hiyo.
Umefanya nicheke kwa sauti mkuu
Kumbe anahama dar kwa sababu flani?
 
Huna haja ya kuficha jina la Jizi hilo lililokua muhasibu wa Lema, alikua anaitwa Tarimo. Huyu jamaa alikua mshenzi sana na alijiona Mungu mtu ndani ya Elerai
Ila Lema ni mpambanaji haswa, hili balaa la kukwepa kodi itakuwa bahati mbaya tu au wahasibu wake ndio wanahusika sana na wao wamelamba hela nyingi kuliko yeye maana jamaa ni darasa la saba tu elimu ndogo, mwaka juzi alifukuza kazi karibu robo tatu ya wafanyakazi wake maana walikuwa wanamuibia sana, alikuwa na muhasibu anaitwa Ta....mo jamaa alikuwa mwizi sana, ameweza kuwa na yeye na vitega uchumi kadhaa, na alikuwa mchawi kweli dili likishtukiwa watu wanasubiri tu afukuzwe ila jamaa akisafikiri akirudi tu anaitwa ofisini kwa bosi na kupewa kazi ya kuhakiki mradi mpya watu wakawa wamechoka kabisa kumweleza bosi madhaifu ya jamaa. Ila mwisho alitimuliwa tu. Sasa hivi maskini ameajiri wazungu kwenye idara nyeti ili wasimzunguke, na balaa ni balaa tu yamemfika.
 
Heshima sana wakuu,

Issue ya Bwana Lema Mkurugenzi wa kampuni ya NEWL & Elerai Construction katika hii kesi nadhani ipo kishinikizo zaidi kuliko kisheria.

Bwana Lema alikuwa akifanya biashara na Mohamed Mustafa kwa muda mrefu kidogo.Mohamed Mustafa alikuwa akimuuzia Lema bidhaa mbali mbali kupitia kampuni zake alizosajili nyingi zikiwa za uongo (fake campany) zikiwa na TIN & VRN ambazo zote zinatolewa na TRA usajili wa kampuni unafanywa na BRELA.Baadhi ya bidhaa amabazo Mohamed aliuzia NEWL ni pamoja na filter za generators zilizoko kwenye minara ya simu cement na nondo aliuza Elerai amabayo ilikuwa na tender ya kujenga ofisi za mkuu wa mkoa Manyara na ofisi nyingi za serekali hasa wilaya na mikoa mipya.

Kwa upeo wangu sidhani kama ilikuwa sahihi kumuunganisha Bwana Lema na kampuni fake za Mohamed kwasababu zifuatazo.

Kampuni za Lema yaani Elerai & NEWL zilikuwa zikinunua huduma / bidhaa kutoka kwa kampuni za Mohamed baadhi zilikuwa na usajili na nyingine zilikuwa na usajili wa magumashi lakini zote zilikuwa na VRN,TIN,Clearance Certificates,Certificate of Incorporation na leseni za biashara.Mwisho wa mwezi wahasibu walikuwa wakitumia invoices za kampuni za Moahamed to claims VAT utshangaa wakiingiza VRN kwenye system inakubaliwa ?.

Hivi ukienda dukani kununua bidhaa ukakuta leseni fake,tin fake.... kosa linakuwa kwa mnunuzi au muuzaji ?.Nadhani mnunuzi hayuko katika nafasi nzuri ya kugundua iwapo sehemu anayonunua bidhaa au huduma kuna tatizo la kisheria.

Nadhani vyombo vyetu vya sheria vingi vinafanya kazi kwa hofu,kujionyesha..... lakini mwisho wa siku wakienda mbele ya sheria wanajikuta wanashindwa kwakuwa mara nyngi hawafanyi utafiti wa kutosha na kujiridhisha kabla ya kupeleka kesi mahakamani.

Umeongea point sana kiongozi na kama iko hivyo basi tusubiri maana mahakama itatenda haki na lema atakua huru
 
Acheni Mamlaka husika zifanye kazi zake akipatikana na hatia sheria ichukue mkondo wake.
 
Daah huyu si ndo alikuwa anashika tender zote za majengo ya Serikali? Kajenga almost ofisi zote za makao makuu ya wilaya na mikoa zilizojengwa from 2000's kumbe jipu??
Dodoma kajenga stand zote za mabasi ya mikoani na za vituo vya Daladala, bado na 50% kwa Madiwani kumbe hela ipo
du kweli mwisho umefika
 
Huo ndio ugomvi uliopo mkuu. Area D inaenda kua kama Masaki sasa
Uugomvi kati ya mgogo na mzaramo kwasasa haukwepeki, wazaramo walizizoea STK, STL nk Dar ila sasahivi Magu kaamua awawpelekee wagogo Dom
Du nimecheka sana
sisi wagogo hamtupendi
ila Lowassa akichukua 2020 atayahamishia Makao Makuu ya Nchi Arusha kwani bado uamuzi huu si wa Kikatiba na haupo na matakwa ya Nyerere na Magu kutunyanyua.
 
Mkuu nasita kuyaamini maneno yako lakini kuna sehemu nimekuta haya maneno ambapo ukiunganisha dots iantoa mwanzo wa kuanza kufikiri kama wewe! Ngoja tusubiri kuona muda utatueleza nini.
Na usisahau Arusha na Dar Lowasa alimfunika Ngosha kwa kura nyingi kupita maelezo, hii mikoa miwili ana beef nayo, na Dar ndio ameamuwa kuhama kabisa bila hata bungeni kupitishwa bajeti ya shughuri hiyo.
“Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Josia Kibira University College cha Mjini Bukoba, Dk. Ezavel Lwaitama aaliponda kauli ya mwenyekiti mpya wa CCM, Rais Magufuli aliyedai kuwa siku ambayo wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM waliingia ukumbini wakiimba nyimbo ya ‘tuna imani na fulani’, kama angekuwa yeye angewapoteza, si kauli ya ustaarabu ikizingatiwa nafasi aliyonayo.
 
Kila mtu ajiangalie,JPM hana huruma na wezi, zile Zama za kusifia wezi ndio zinaisha hvyo
 
Wakimaliza hayo kuna epa
Rada mbovu
Kivuko kibovu
Tegeta escrow
Richmond nk

Nje ya hapo tunafarijiana tuu wanasiasa nao wengi majizi tuuuu na bado tunawaita waheshimiwa
 
Lakini kwa nini ahukumiwe magufuli kwa mapungufu ya kikwete au mkapa, sawa wote ni ccm lakini kila mmoja ana mtazamo wake. Ni sawa na wewe kuhukumiwa kwa matendo ya babu au baba yako, fine mko related lakini ni zama tofauti kabisa. Mwacheni Magu afanye yake then akimaliza sasa ndio hukumu ifuate.
Wote ni zao la ccm ambayo yeye ameihudumu kwa miaka kadhaaa
 
Mabillionaire wengi wa Arusha ni wezi na majambazi.
 
LHRC na Ukawa watasema hii ni kinyume cha haki za binadamu
 
Back
Top Bottom