Tumeongea mengi sana kuwahusu hawa mabwana,
ila wakati wanapambana & kujinyima kuitafuta pesa tuliwaona na hatukusema kitu ila leo wamefanikiwa ndio tunaanza kuwazonga...
Kama sisi ni majasiri kwanini hatujaanza na watoto wa mkwere.?
Kama tunajisifia kwa kufanya kazi kwanini hatujamgusa Lugumi.?
Wapo wengi waliotuibia lakini kutokana na mihemko ya kisiasa tumewasahau na kuwasamehe wezi wote( )
badala yake tunabaki kuwakamata hawa waliojijengea misingi imara ya kutafuta pesa..
Ila mimi nafikiri ni chuki tu dhidi ya watu wakaskazini imetujaa kama sio hvyo kwaujasiri tusingewasamehe wakwepa kodi walioigarimu serikali ya tz akiwemo Said BAKHRESA.. na wenzie..
ila hao hawakupelekwa mahakamani wala kufungwa badala yake walipewa siku 7 kuhakikisha wameklia madeni yao..
Nasikia harufu ya Ukanda